Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

Mm hata shemeji yangu aliwe siwez ongea kwan k yake yangu
 
Mi na mwanangu mmoja ameoa ila mke wake anajitongozesha kwa marafiki wa mume wake dada kama anapepo la ngono kanusurika tu kwa sisi ambao tuna moyo wa kukinai wake za jamaa zetu ila sijui kama amenusurika kwa marafiki wa jamaa wenye tamaa.

Sasa huyo mwanangu anavyo msifia mke wake akiwa mbele yetu huwa moyoni naishia kumuonea huruma tu maana mwanamke anamvua nguo mbele ya marafiki zake bila yeye kujua.
 
Wanawake sio wa kuwamini broo
 
Ni fedheha kubwa kwa kweli.......
 
Walijiharibu wenyewe ndugu kwa kuokotana barabarani.....kama mmoja wao ingekuwa amemuoa nisingekaa nalo rohoni lakini wote ni wazinzi nikaona haina haja
Kwani siyo wewe uliyosema rafiki yako mmoja anajiandaa na kufunga ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…