Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka

Mzee baba naona umevurugwa hadi kupangilia maneno inakuwa tabu...

Mbwa kama wa Wema Sepenga ni mbwa wa maonesho, kwanza ulipaswa umbebe uende naye church maana yule sio wa kuachwa ndani mwenyewe...
 
Ahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ila kweli kujua kusoma na kuandika sio kuwa na pesa .
Imagine jamaa hata ukuta hajui unavyoabdikwa lakini anamiliki mbwa kama wa Wema Sepetu.
Sasa wewe unamilikiwa na wahuni wa CCM ambao wanakupa buku saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…