We unafuga chiwawa unategemea utoko!? Fuga jibwa kama Shepherd au carne caso sio kiumbwa kama manunuuLeo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Naona na ww huko pamoja na samiaTV ilikuwa HUKUTANI eeh?
Umbwa nayo imeibwa!?🤣🤣🤣Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Wezi wanajua nyendo zenu wote na wamemlia timing huyo kijana.Shida kinapenda wanawake sana
Pole sana, najua maumivu yako hili tukio nishapigwa siku moja.Inawezekana maana kijana zipu inamcheza sana na maviatu yake
Chihuahua kaibiwa sio mbwaUmbwa nayo imeibwa!?🤣🤣🤣
niku changanyikiwa au ni mimi ndio nime changanyikiwa?.Mbona sielewi?.Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Hukuta hajachukua?Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Jamaa alikuwa anategemea 'manunu' afukuze wezi.
Unaishi karibu na wahehe?🤣wazuri kwa kubweka ila naye kabebwa