Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Mbwa chiwiwi unategemea alinde nyumba.
Hapo hata wewe unaweza kua bwabwa
 
Hivi unajua kuandika kunaponza wengi? Hususan vijana. Utamuona mtanashati mweleze akuandikie jina lake. Mtihani
Imagine mdada au mkaka mzuuri hawezi kuandika sentence ilyonyooka anchanganya R na L au kila sentensi anaweka kituo haachi nafasi ..hapo kuna haja ya kuhoji kiwango chake cha ufahamu?
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.

Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
[emoji28] pole, ila we nae hivo vimbwa hua siobkwa ajili ya ulinzi bwana[emoji28], hua ni,vya kupendezesha nyumba na kuchangamsha familia, sasa wewe ukakipa kazi ya ulinzi[emoji23]
 
Mwanaume Unamwamini Mbwa akulindie mamilioni?
15971ADB-2234-459C-8FAD-D3888EA1074D.jpeg
 
[emoji28] pole, ila we nae hivo vimbwa hua siobkwa ajili ya ulinzi bwana[emoji28], hua ni,vya kupendezesha nyumba na kuchangamsha familia, sasa wewe ukakipa kazi ya ulinzi[emoji23]
Nilishawai kuishi na unayosema ila wengi mnaona kama unafuga mbwa wa maziwa
 
Back
Top Bottom