Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Sijaanza kuibiwa leo .Ila sio aliyekuwa JF anaishi maisha ya kiafrika angalia mada zangu kwanza alafu naweza kwenda dukani leo kununua wamaenifunza wezi.Ndio nikawajulisha hapa
KINGINE

UKIAMKQ MWOMBE MUNGU AKULINDE

MSHUKURU.MUNGU KWA ULINZI WAKE

MM NA SHEMEJI NDUGU SWALA 5 ILA N MWIZI KAACHA 2018

YAAN TOKA 2010 ARUSHA HAKUNA ASIEMJUA

AKIPITA NA GARI LA MSHAHARA LA WATU UKISIKIA WAWILI WAMEKUFA YE HAYUPO

UKIENDA KWAKE IJUMAA MSIKITNI...ZILE SHEREHE ZETU WEWE UTAMPENDAAAAA

NN MANAKE

HATA HAWA MAJAMBAZI HUWA WANAMOMBA MUNGU AWASAIDIE KAZINI KWAOOO WAKIKUTA NA WEWE KIDOGO UJAWEKA ULINZI WA KIROHO WANAKUPITIA VIZURI SHEHE
 
  • Thanks
Reactions: Fbn

Tunaishi kushukuru mungu sana kwa kila jambo ndio maana tunajulishana hapa JF kama ndungu
 
Sijaanza kuibiwa leo .Ila sio aliyekuwa JF anaishi maisha ya kiafrika angalia mada zangu kwanza alafu naweza kwenda dukani leo kununua wamaenifunza wezi.Ndio nikawajulisha hapa
Wewe ni Me au Ke
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.

Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
 
Attachments

  • nani amefungulia chiwawa šŸ˜‚šŸ˜‚ aki mkale _song _baby _deanlewis _traveldestinations _amapiano _li...mp4
    1.2 MB
Nunua mguu wa kuku then weka mfumo ambao mtu akivuka line unakufahamisha ukiwa ndani. Nyata taratibu dirishani tawanya mtu ubongo. Mambo ya kulisha mbwa kama mtoto hapana
 
šŸ˜šŸ˜šŸ˜‚šŸ˜‚Unafuga Manunu unadhani atakulindia na una mbwa kumbe Unafuga Kakimoto kalikochangamka Fuga Bull Dog au German Shepherd uone balaa lake hata kama una Binti wahuni hawawezi kumfuata šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Kwa hyo TV+ Hako katoto ka Mbuzi Katoliki Vimeibiwa?? Kataa wahuni
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.

Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Mbwa wa wema ni mbwa wa nyama.
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.

Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Pole sana
 
TV zetu huku mtaani tunazijua wenyewe.
Wahuni wanatumia TV nzuri kuliko maelezo pana dogo mmoja nilimkuta ana mzigo wa 2025 nikasema nyi mapimbi vitu vizuri mnavijua ndio maana mnasotewa TV na Sub woofer/Sound bar ya JBL 5.1 dogo anafungia na kufuri sehemu aliyopanga Arusha nilicheka sana akisema kaibiwa unaweza kuweka picha ya hizi za kwetu kumbe kavuka mto..
 
Back
Top Bottom