Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

hivi wema sepetu ni vizuri kwa kushtua ila likijana la maviatu lilitoka
Screenshot_20250831-110521.png

Screenshot_20250831-104505.png
 
Kwenye hu hapo weka u

pole bana kama sio chai

mbwa wenyewe wa mjini hao mnawapa mpaka uji Kwa vijiko badala ya kuvutisha bangi
Hii ni supu naona watanzania wengi hata pole pole kasema mnaona ni akili mnemba
 
Nimecheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣
ujue wezi nao watu na Wana akili mbwa wanaofugwa jijsia Moja kama ilikuwa dume mwizi lazima kaenda na jike linahitaji kupandwa.......dume limejikuta libweke ili iweje Bora lichezeshe mkia yaishe mwalimu mbeleyake
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.

Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka

1.
Inategemea uliipataje hio TV
2.kama ulinunua hizo pesa za kununua ulizipataje
3.kama n msilamu.ama.mkristo jitahidi uwe unatoa sadaka na zakaa

Sisi wakristo iko na maandiko ukimwibia Mungu anatuma madumadu na sen...kukuadhibu angalia hili

4je matumizi ya hio TV..Kuna wazazi mnawanyima hata uhuuru wakuangalia TV watoto wenu wakisoononeka mwiba unapita na mbwa hata uwekee simbaaaaotherwise


Sio kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke wengine wako na mbwa nyuma yake

Soma. Attavhment
 

Attachments

  • 1756627530539.jpg
    1756627530539.jpg
    288.8 KB · Views: 17
Naona Mungu kaku-let down.
Umeenda kumuomba na kuwapa watu wake sadaka just to come back to disappointments!
Oh! Useless Mzungu Gods!
 
1.
Inategemea uliipataje hio TV
2.kama ulinunua hizo pesa za kununua ulizipataje
3.kama n msilamu.ama.mkristo jitahidi uwe unatoa sadaka na zakaa

Sisi wakristo iko na maandiko ukimwibia Mungu anatuma madumadu na sen...kukuadhibu angalia hili

4je matumizi ya hio TV..Kuna wazazi mnawanyima hata uhuuru wakuangalia TV watoto wenu wakisoononeka mwiba unapita na mbwa hata uwekee simbaaaaotherwise


Sio kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke wengine wako na mbwa nyuma yake

Soma. Attavhment
Sijaanza kuibiwa leo .Ila sio aliyekuwa JF anaishi maisha ya kiafrika angalia mada zangu kwanza alafu naweza kwenda dukani leo kununua wamaenifunza wezi.Ndio nikawajulisha hapa
 
Back
Top Bottom