Duh hao wezi hawana akili utawakamata kuoitia mbwa. Toa tangazo mtaani na mitandaoni.huyu mbwa nimetoka naye ujerumani
Pole sana mkuuSijaweka na ndio nilikuwa nataka kuweka maana nafunga server ya forex
Kama huyu?Chihuahua kaibiwa sio mbwa
Sio German shepherd puppy 🤣😂🤣Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Chihuahua km wa wemaKama huyu?View attachment 3459699
Huyo hata akili zake ziliibwaNimecheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣