Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Kama uko Dar nanunataka mbwa mkali weka booking ya mbwa wadogo nina mbwa German shepherd ana mimba.
Niliacha kufuga maana mabucha siku hizi kilo ya marapu marapu ni sawa na nyama
 
images.jpeg
 
ndio walimpeleka kaburni mzee kingunge, hawana utani.. Kabla hujawafungua lazima uwaangalie mood yao ya siku hiyo tofauti na hapo kinaweza umana 😅😅
Na yule mchezaji wa Zambia kule South Africa

Ananyofolewa korodan familia inamwangalia na kulia akuna aliekqribia
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Mfano wa "Manunu"?Hell no!Watakuwa walikabandika kofi moja matata la kichwani kakakimbilia chumbani kujiliza tu.Pole sana.Tatizo siyo la "Manunu",ni wewe mwenyewe!
 
Usiniletee mtiti mkuu, wasiojulikana wakidaka mtu nasikia wanaanza mtatua marinda kabla ya mengine kuendelea
WAANZE na wewe maana ndio idara tunaficha mbakuri
 
Na yule mchezaji wa Zambia kule South Africa

Ananyofolewa korodan familia inamwangalia na kulia akuna aliekqribia
Hao mbwa ni vichaaa, nina jamaa yangu ana shamba la hao mbwa, kwenda kuwa hudumia anafungulia mmoja mmoja, huku cha moto kipo tayari akileta fyoko anapasua😅😅😊
 
Kwenye hu hapo weka u

pole bana kama sio chai

mbwa wenyewe wa mjini hao mnawapa mpaka uji Kwa vijiko badala ya kuvutisha bangi
 
Back
Top Bottom