Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na sio mara ya kwanza kulifua huwa ninalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia.

Basi nilivomaliza nikiwa nimeshika lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua we maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana.
Mungu asisingiziwe kwa vitu vya kipumbavu!
 
Hela uisahau mwenyewe alafu unatuletea utoto humu
 
Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na sio mara ya kwanza kulifua huwa ninalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia.

Basi nilivomaliza nikiwa nimeshika lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua we maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana.
Nimependa script, ( wale wa "YT #shorts", "insta reel" watakuwa wameelewa) | BTW Unakipaji cha kuandika short stories, kitumie.
=
Audio:

I was in a deep financial crisis, no job, and I had nothing. One day, I woke up not even knowing what my family would eat. I only had a small amount of charcoal. To distract myself, I decided to gather dirty clothes along with my backpack and wash them. I emptied the contents of the bag, and it wasn't the first time I had washed it. I often emptied and checked it, but I had never found anything unexpected.

When I finished, holding the bag, I asked God for a miracle. I said, "God, please perform a miracle. If I check this bag, let me find money." I searched, and to my surprise, I found a 10,000 shilling note along with 400 shillings in coins. I was utterly astonished.
 
Tukutane ktk madhabahu ya Mwamposa jpili pale mbele humu jukwaani hawakuelewi, walio wengi ni Wagaratia....
 
Haihitaji elimu ya Kimungu kujua kuna shida mahali kawaone Madokta ndugu
Huoni wewe ndio una shida? Kumlazimisha mwenzako aone ama shida hiyo ni shida ya akili. Yeye kafurahia muujiza wake, wewe unatesekaje sasa.
 
Nimependa script, ( wale wa "YT #shorts", "insta reel" watakuwa wameelewa) | BTW Unakipaji cha kuandika short stories, kitumie.
=
Audio:
View attachment 3022760

I was in a deep financial crisis, no job, and I had nothing. One day, I woke up not even knowing what my family would eat. I only had a small amount of charcoal. To distract myself, I decided to gather dirty clothes along with my backpack and wash them. I emptied the contents of the bag, and it wasn't the first time I had washed it. I often emptied and checked it, but I had never found anything unexpected.

When I finished, holding the bag, I asked God for a miracle. I said, "God, please perform a miracle. If I check this bag, let me find money." I searched, and to my surprise, I found a 10,000 shilling note along with 400 shillings in coins. I was utterly astonished.

Mzee umetisha. Hakika imetoka poa sana
 
Nimegundua watu hawaamini Mungu zaidi ya wanavojiamini wenyewe na miili yetu hii ya udongo
Kukuta elf 10 uliyoisahau mwenyewe kwenye begi na kuhusisha na muujiza ni kuonesha una hitilafu kidogo kwny ubongo mkuu
 
Najua ila humu ni vile tu hatuonani ila ww mwenyew una shida ya akili zaidi yangu maana kupambana na mtu usiyemjua kaandika Uzi akiwa na maana gani ww ndo unatatizo la kujifanya motivation speaker... Mungu ndo anajua saiz una hali gani ya maisha
 
Back
Top Bottom