displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Kwanini shetani anamzidi nguvu katika kikiendesha kiumbe chake alichokiambua (mwanadamu)
asante jirani ila huko nyumba ya pili sitii maguu kamwe...mana hata akili ya kawaida tu ya uwezo wa chini ya kufikiri haikubali kumkataa mungu..huu ulimwengu jinsi ulivoumbwa complex hivi burebure tu..mambo mengi ya ajabu na maarifa ya hali ya juu yamepangiliwa kiufundi hayawezekaniki kukosa aliyeumba na kuyaratibu.nikienda chumbani kwangu nikakuta kuna gunia la mkaa kitandani lazima nishtuke kuwa kuna aliyeliweka..akitokea mtu akasema hakika hilo gunia limetokea tu from nature nitamwona punguani...hvyo hvyo kwa ulimwengu na vilivyomo kuna muumbaji lazima.naamini nina moyo na unasukuma damu japo sijawahi kuuona,naamini dunia ni umbo kama la tufe na inalizunguka jua japo sijafanya safari ya kwenda nje ya dunia kushuhudia hayo.daktari akiniambia nina vidudu vya maleria kaona yeye kwenye darubini yake naamini kabisaa na ananipa dawa napona..sasa kwa mambo madogo hivi nayaamini kwa nini la mungu nilikatae eti kwa kuwa simuoni?? ethiests mna tumia akil ndogo sana kumkana Mungu..jirani toka huko uliopo njoo uishi upande huu
Shetani hana nguvu za kumzidi Mungu mwenyezi, maana shetani amekwisha hukumiwa jehanamu ya moto. Kama wafikiri ananguvu basi ajitoe katika hiyo hukumu!
Kiranga umekariri vitu vingi mnoo, unatiririka pasipo kuifuata hoja ilivyo.Hata unapopewa operation manual, unapewa operation manual baada ya software engineer kuhakikisha kila kitu anachoweza kufanya kukupa software isiyo na bugs kakifanya.
Software engineer hawezi kukupa manual huku anajua software ina bugs na anajua kuzi fix.
Huyo si software engineer ni kajanja.
Mungu wenu kwa nini kaacha bugs kwenye system ambayo angeweza kuiumba bila bugs kutoka mwanzo?
Mungu hajawahi kuumba mtu ambaye hajakamilika wakati mtu anahitaji kula na anaenda chooni?
Na pia ana waste system iliyo na high inefficiency, unafahamu kukamilika ni nini wewe?
Mungu hajawahi kuumba mtu ambaye hajakamilika wakati mtu anahitaji kula na anaenda chooni?
Na pia ana waste system iliyo na high inefficiency, unafahamu kukamilika ni nini wewe?
I already pointed out the logical inconsistency of your god idea, where do you need extra tutoring?
Kiranga umekariri vitu vingi mnoo, unatiririka pasipo kuifuata hoja ilivyo.
Nimekwambia Software engineer ametengeneza software na kuna baadhi ya maeneo ni kwa ajili ya matumizi yake.amefanya testing nawe kwa matumizi yako wewe baada ya UAT na kukabidhiwa unaanza mbwembwe zako , Mara unajikita umefanya visivyotakiwa na bugs wakaivaa machine yako.
Ni akili pungufu kumshushia engineer lawama kwa curiosity yako
Kulamilika kwa kitu ni pale ambapo kitu husika hakina sababu ya uwepo wake au utendaji wake kutugemea kitu kingine.
Mungu ndiye mkamilifu...
This too low, labda Kama ni sababu za kukariri mambo !
Waste system iliyo na high inefficiency ? Hebu toa mfano wa efficiency waste system ya kibinadam kuthibitish inefficiency ya waste system ya binadam wa Mungu ?
Dawkins kakubrainwash kabisa upo kuonyesha arrogance ya kiwango cha juu mnoooo
Yes Umeonyesha kabisa kwamba kwamba.
1.God existence depends on evil and suffering free world
2.World is full of evil and suffering
3.Therefore God does not exist.
Wanakusumbua na maswali magumu badala ya kukuuliza swali jepesi ili uwaambie kimantiki
Umejuaje kuwa uwepo wa Mungu unategemea ulimwengu usio na maovu na mateso ?
Watiririkie kariri zako wakuelewe wewe kuwa ni smart kuliko wasivyodhani...
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimqengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Swali hilohilo miaka yote hadi unakosea.
Hujalijibu, ukiweza kulijibu unaweza ku graduate kupata maswali mengine.
Huwezi kupewa maswali advanced kama maswali basic huyawezi.
Umeshuka kitoka kujadili hoja mpaka kuplay part ya kuwa secretary wangu sasa.Nimetoa q.
Mjadala wa kule umeukimbia.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Ndiyo maana akaubwa binadamu mwenye akili na uamuzi wakuchagua kati ya jema na baya. Watambua kwamba hata shetani aliumbwa na Mungu ila aliasi...na hapo patakokea utengano "Nuru na Giza" sasa ukiwa binadamu mwenye akili kwanini ushurutishwe kuchagua?. Wakati tukijua shetani naye anatafuta wafuasi wake,
Mungu yupo fair sana, uhuru unao wewe binafsi kipi kikufaachao na kukufuata na kuamini ila mwisho wa nyakati ndipo utakuja na hitimisho Mungu mwenyezi ni nani hasa na uwezo wake ni wanamna gani.
Mungu wako anahitaji UAT?
Kama mkamilifu kwa nini ulimwengu aliouumba si mkamilifu na una mapungufu kibao?