Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Mwenye upendo wote na uwezo wote anaachia anaowapenda wapatwe na mabaya au haachii?

Kwa nini mwanadamu aweze hata kufikiri kwamba hili ni baya, hapa nimeonewa, sijatendewa haki etc.

Hilo wazo tu lilitakiwa lisiwepo kama mungu mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli.

Umeelezwa juu ya "fallacy of definition " kuwa ndiyo msingi Mkuu kwenye hoja zako zinazokosa uhusiano wa kimantiki huku ukiwa umeng'ang'ana na mwenye upendo wote,uwezo wote pasipo kujua uwezo wote na upendo wote ni kitu gani.
Wewe umekariri kwamba upendo wote na uwezo wote unakomea pale kariri zako zilipoishia...
Hoja kuu ni kuweka hoja ya kimantiki inayokufanya upate nguvu kuandika na kuonyesha kuwa MUNGU HAYUPO KWA VILE KARIRI ZAKO ZINAONA MAMBO AMBAYO YANAFANYA ASIWEPO, MAMBO YENYEWE NI MAOVU AU MABAYA YANAYOWEZEKANA KUTOKEA.
ELEZA KANUNI ULIYOTUMIA AMBAYO IMEKUWEZESHA KUHUSIANISHA KUWEPO KWA MAOVU DUNIA NA KUTOKUWEPO KWA Mungu.
Usilete kariri zako na kuweka maswali kana kwamba hayo maswali ndiyo kanuni ya kimantiki.
Atheism is totally a blind faith...
Ujanja ya kujibanza kwenye sayansi kuficha dini yenu umeonekana siku nyingi Sana ni kwa kuwa hamjitambui wataalam wa kukariri pasio kureason...
Kauli zenu sio kauli za kisayansi , sayansi na Atheism ni Kama usiku na mchana havikutani.
Angalau Mimi nikisoma .... Hapo mwanzo Mungu aliumba...
Sayansi imegundua uwepo wa mwanzo wa ulimwengu...
Angalau biblia imeitangulia sayansi kwenye ujuzi wa ulimwengu kuwa na mwanzo na hata nyakati kuwa na mwanzo.
Tofauti ni malengo na maudhui tu lakini Atheism ni imani/dini isiyo na mahusiano na sayansi kimtazamo lakini waumini wake hujibanza kwenye sayansi ili kujikinga na mvua ya hoja zinazotakiwa wazijibu.
 
Ungekuwa na uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya 1000 (including watoto), ungezuia au ungeacha?

I bet hutajibu hili swali.

Mkuu hivi ushawahi kufikiri kuokoa maisha ya wanyama wanaochinjwa kwa ajiri ya vitoweo? Maana nao hupenda kuishi ila binadamu tunawachinja na kufanya vitoweo.
 
Ukishasema kuna mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyeumba huu ulimwengu wenye shida na mabaya mengi tayari wewe ndiye unakuwa umeshindwa ku reason.

Umeshindwa ku reason kwa sababu unakubali contradiction.

Imekuwaje mu gu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezelana?

Hujajibu hili swali.

Na kama hujajibu, huwezi kusema unaheshimu reason.

Umeshindwa kueleza kwa kina mabaya ni vitu gani.
 
Mm huwa sioni haja ya kubishana au kujadili swala la Mungu kiundani mtu unaweza ukajikuta umetenda dhambi nachoshukuru kila mtu ana nafsi yake na roho yake wewe amin unachoamin kama unaamin Mungu hayupo endelea hvyo hvyo na wanaoamin yupo Mungu awatie nguvu waendelee kuwa hvyo hvyo
 
Mtu kweli unadhubutu kujadili kuwa Mungu hayupo wakat kuna vtu mwanadamu anashindwa ansema nimemuachia Mungu na for sure kama alikuwa anaumwa anapona kama Mungu hayupo mbona mwanadamu kashindwa kumtengeneza mwanadamu au kuna mahali mwanadamu anaumwa anafkia hatua madaktari wote wanashindwa but mtu anweza akenda kwenye maombi na akapona?
 
Mwanzo kabsaa wa uumbaji wa dunia kulikuwa hakuna dhambi wala shida pale tu Adam na hawa walipoenda kinyume na masharti ya Mungu ndipo hapo laana na mambo magumu vikaanza kutokea
 
Mkuu hivi ushawahi kufikiri kuokoa maisha ya wanyama wanaochinjwa kwa ajiri ya vitoweo? Maana nao hupenda kuishi ila binadamu tunawachinja na kufanya vitoweo.

Hao watu zaidi ya 1000 waliokufa Nepal kwa tetemeko la ardhi ni vitoweo vya nani?
 
Mwanzo kabsaa wa uumbaji wa dunia kulikuwa hakuna dhambi wala shida pale tu Adam na hawa walipoenda kinyume na masharti ya Mungu ndipo hapo laana na mambo magumu vikaanza kutokea

Lucifer kujaribu kumpindua mungu ni dhambi?

Hiyo ilikuwa ni baada au kabla ya kuumbwa kwa Adam na Hawa?

Mungu alijua Adam na Hawa wataenda kinyume na masharti yake?
 
Umeelezwa juu ya "fallacy of definition " kuwa ndiyo msingi Mkuu kwenye hoja zako zinazokosa uhusiano wa kimantiki huku ukiwa umeng'ang'ana na mwenye upendo wote,uwezo wote pasipo kujua uwezo wote na upendo wote ni kitu gani.
Wewe umekariri kwamba upendo wote na uwezo wote unakomea pale kariri zako zilipoishia...
Hoja kuu ni kuweka hoja ya kimantiki inayokufanya upate nguvu kuandika na kuonyesha kuwa MUNGU HAYUPO KWA VILE KARIRI ZAKO ZINAONA MAMBO AMBAYO YANAFANYA ASIWEPO, MAMBO YENYEWE NI MAOVU AU MABAYA YANAYOWEZEKANA KUTOKEA.
ELEZA KANUNI ULIYOTUMIA AMBAYO IMEKUWEZESHA KUHUSIANISHA KUWEPO KWA MAOVU DUNIA NA KUTOKUWEPO KWA Mungu.
Usilete kariri zako na kuweka maswali kana kwamba hayo maswali ndiyo kanuni ya kimantiki.
Atheism is totally a blind faith...
Ujanja ya kujibanza kwenye sayansi kuficha dini yenu umeonekana siku nyingi Sana ni kwa kuwa hamjitambui wataalam wa kukariri pasio kureason...
Kauli zenu sio kauli za kisayansi , sayansi na Atheism ni Kama usiku na mchana havikutani.
Angalau Mimi nikisoma .... Hapo mwanzo Mungu aliumba...
Sayansi imegundua uwepo wa mwanzo wa ulimwengu...
Angalau biblia imeitangulia sayansi kwenye ujuzi wa ulimwengu kuwa na mwanzo na hata nyakati kuwa na mwanzo.
Tofauti ni malengo na maudhui tu lakini Atheism ni imani/dini isiyo na mahusiano na sayansi kimtazamo lakini waumini wake hujibanza kwenye sayansi ili kujikinga na mvua ya hoja zinazotakiwa wazijibu.

Tuanzie mwanzo kabisa.

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Ukishindwa hili, lolote utakalosema kuhusu mungu linakuwa kimejengwa katika msingi wa kitu kisichokuwa na uthibitisho.
 
Yeah lucifer alitenda dhambi na ndo maana Mungu akamtupa duniani kama angekuwa na nguvu si angebaki mbinguni?
 
Mungu n mweza Wa yote na hakuna anachoshundwa na ndo maana binaadamu anaogopa kifo kama ungekuta Mungu hayupo basi binaadamu angejua siku yake ya kufa na angejua baada ya muda kadhaa n kitu gan kitatoke but hana huo uwezo
Na ukimwona MTU anapinga habar za kutokuwepo kwa mungu ujue n Lucifer follower
 
Don't ever try to defend you urgement of God's absence by using non reasonable answer becose human knowledge are limited but for God its infinity
 
Siwezi kuthibitusha chochote. Hivyo Kama sina uwezo wa kukuthibitishia sio Mungu tu Bali na kitu kingine chochote Ina maana hicho nitachoshindwa na nimekiri kwako kuwa sina uwezo, kinakuwa hakipo ?
 
Hao watu zaidi ya 1000 waliokufa Nepal kwa tetemeko la ardhi ni vitoweo vya nani?

Hiyo assumption ya kwamba watu wakifa wanakuwa vitoweo umeipataje ? Kabla hatujajua wanawakuwa vitoweo vya nani tujulishe umejuaje kuwa wanakuwa vitoweo ?
Tiririka na kariri zako...
 
Ndiyo alijua sna na ndo maana aliwaonya kabla wasidhubutu kula hlo tunda

Yeah lucifer alitenda dhambi na ndo maana Mungu akamtupa duniani kama angekuwa na nguvu si angebaki mbinguni?

Mungu n mweza Wa yote na hakuna anachoshundwa na ndo maana binaadamu anaogopa kifo kama ungekuta Mungu hayupo basi binaadamu angejua siku yake ya kufa na angejua baada ya muda kadhaa n kitu gan kitatoke but hana huo uwezo
Na ukimwona MTU anapinga habar za kutokuwepo kwa mungu ujue n Lucifer follower

Don't ever try to defend you urgement of God's absence by using non reasonable answer becose human knowledge are limited but for God its infinity

Weak points!Fuatilia hatua tuliyofikia katika mijadala hii kisha uje upya.
 
Mm huwa sioni haja ya kubishana au kujadili swala la Mungu kiundani mtu unaweza ukajikuta umetenda dhambi nachoshukuru kila mtu ana nafsi yake na roho yake wewe amin unachoamin kama unaamin Mungu hayupo endelea hvyo hvyo na wanaoamin yupo Mungu awatie nguvu waendelee kuwa hvyo hvyo

Mtu kweli unadhubutu kujadili kuwa Mungu hayupo wakat kuna vtu mwanadamu anashindwa ansema nimemuachia Mungu na for sure kama alikuwa anaumwa anapona kama Mungu hayupo mbona mwanadamu kashindwa kumtengeneza mwanadamu au kuna mahali mwanadamu anaumwa anafkia hatua madaktari wote wanashindwa but mtu anweza akenda kwenye maombi na akapona?

Ndugu jaribu kuweka vituo katika uandishi wako.Lakini hata hivyo uko nyuma sana
 
Mm nadhan hakuna mwanadamu mwenye haki ya kujadili Mungu yupo au hayupo maana kuwepo kwa mwanadamu tu na kuvuta pumzi na vtu vilivyoko dunian tayar n maajabu na ukimuulza mwana damu yeyote kwann au vimetokea wapi hana jibu au ukimuuliza mwanadamu yeyote uwepo wa ulimwengu,jua,mwezi na nyota vimetokea wapi kamwe hawezi kukupa jbu lolote.
 
Mungu yupo na alivyomuumba mwanadamu alimpa Uhuru wa kuchagua moyo wake unachokitaka maana alikuwa anaouwezo wa kumuumba na akamwabudu Mungu tu lakn Mungu n wa haki na Uhuru na kufa kwa mwanadamu kwa Mungu si shda maana ndo ratba aliyoiweka na dunian n njia tu ya kupita kuelekea tunapopataka
 
Back
Top Bottom