Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Nilichosema ni kwamba tunaua wanyama na kuwafanya vitoweo(sijasema kwamba wanyama wao wana haki ya kuuliwa kwa sababu ni vitoweo),ndipo nikakuuliza je,ushawahi kufikiri kuokowa maisha ya hao wanyama?

Unajuaje kama I am a vegeterian and an animal rights activist? Hivyo nishawahi kufikiri kuokoa lakini sina uwezo wa kuzuia watu kuwaua.

Mpaka sasa hujajibu swali nililouliza.
 
Ningekua na uwezo wa kumzuia kutokwenda Somalia, ningemzuia in the first place.

Mpaka sasa sijajibiwa hili swali.

Hujajibu la kwangu pia. Ungeweza kumzuia kurudi nyumbani?

Kwasababu sina muda wa kukaa jamvini, ninapenda kukuambia tu. Kwa mkristu kufa ni faida. Maana ni njia ya kwenda kwa Mungu, so haijalishi umekufa usingizini au kwa tetemeko ni kitendo cha kuingia kwenye ndege kutoka Misri kwenda Kaanan kwenye nchi ya ahadi
 
Kufikiri ni majanga kwenu wakana mungu ? Dhambi huja pale palipo na sheria, utawezaje kutambua dhambi/kosa kabla ya sheria kuwepo ?
Hiyo incest kuwa a sin umetumia nini kuitambua ?
Jitahidi kujikita katika kutafakari kabla hujabonyeza post !

You are funny.

Nimeuliza maswali very basic.

Nimeuliza watoto wa Adam na Hawa walizaa na nani? Hujajibu.

Nimeuliza, Je incest ni dhambi? Hujajibu.

Umeishia na blah blah.
 
Mwanao mpenzi aliyeondoka miaka 2 au 70 iliyopita, akaenda Somalia kwenye kila aina ya shida kuanzia njaa vita magonjwa, kukataliwa etc. Amepata nauli ya kurudi kwako kwenye nchi ya amani upendo furaha etc. Ungezuia asije kama uwezo huo unao?

Ningekua na uwezo wa kumzuia kutokwenda Somalia, ningemzuia in the first place.

Mpaka sasa sijajibiwa hili swali.

Nimeipenda hoja yako. Umeulizwa ungemzua kurudi Kama uwezo unao wewe umeamua kumzua kwenda Kama uwezo ungekuwa nao.
Goooood....
 
Swali lako lina makengeza, unatakiwa mmuuliza swali nawewe uwe na uwezo wa kutafakari.
Nini kinaweza kumfanya MTU kuamua kufanya au kutofanya kitu ?
Je ? Uwezo pekee ndiyo waweza kuamua MTU afanye au asifanye

Swali lako umeuliza kana kwamba maamuzi juu ya kufanya au kutofanya jambo hutegemea uwezo wa MTU wa kufanya jambo husika. Hapa naona iko shida mukichwani mwako ...

Pope Francis aliulizwa a similar question na alisema hajui jibu.

Hakujaribu kukimbia swali. That's honesty.

Wewe hapa blah blah.

A simple question, ungekua na uwezo wa kuzuia watu zaidi ya 2000 wasife Nepal ungezuia au la? Jibu ni either ningezuia au nisingezuia.

Unaogopa kujibu kwa sababu jibu lolote utakalotoa litakueka katika angle mbaya na imani yako potofu ya uwepo wa mungu.

Kibaya zaidi badala ya kukubali ukweli huo unaanza kuzungukazunguka.

A waste of time. Jifunze kuwa mkweli kama imani yako inavyokuambia. Acha blah blah.
 
Nimeipenda hoja yako. Umeulizwa ungemzua kurudi Kama uwezo unao wewe umeamua kumzua kwenda Kama uwezo ungekuwa nao.
Goooood....

Do you get the logic?

Kama ulikua na uwezo wa kumzuia kwenda Somalia in the first place ungemzuia au la? In other words, you lot are depicting god to be reactive and not proactive. Signs of failure. Sijui hata kama unaelewa.

Kwa sababu wewe ni muweza wa yote.

Huo ubungo wako unautumia kwa kazi gani huelewi vitu rahisi hivi?

Bado hujajibu swali.
 
Hujajibu la kwangu pia. Ungeweza kumzuia kurudi nyumbani?

Kwasababu sina muda wa kukaa jamvini, ninapenda kukuambia tu. Kwa mkristu kufa ni faida. Maana ni njia ya kwenda kwa Mungu, so haijalishi umekufa usingizini au kwa tetemeko ni kitendo cha kuingia kwenye ndege kutoka Misri kwenda Kaanan kwenye nchi ya ahadi

Nimekujibu kwamba ningekuwa na uwezo wa kumzuia asiende Somalia ningemzuia in the first place. Kwa nini nimruhusu aende Somalia kuteseka kama nina uwezo wa kumzuia kutokwenda huko?

Kufa kwa mtoto wa siku moja au mwaka kuna faida gani?

Hizi imani kweli ni sumu. Utasemaje kufa ni faida huku huna uhakika kwamba kuna kitu chochote baada ya kifo? Huoni kama unauziwa mbuzi kwenye gunia.

Basi bovu linatembea barabarani na kuua watu kihasara hapa unasema hii ni faida.

Sasa kama kufa ni faida kwa nini kuzaliwa in the first place?

You need help.
 
Pope Francis aliulizwa a similar question na alisema hajui jibu.

Hakujaribu kukimbia swali. That's honesty.

Wewe hapa blah blah.

A simple question, ungekua na uwezo wa kuzuia watu zaidi ya 2000 wasife Nepal ungezuia au la? Jibu ni either ningezuia au nisingezuia.

Unaogopa kujibu kwa sababu jibu lolote utakalotoa litakueka katika angle mbaya na imani yako potofu ya uwepo wa mungu.

Kibaya zaidi badala ya kukubali ukweli huo unaanza kuzungukazunguka.

A waste of time. Jifunze kuwa mkweli kama imani yako inavyokuambia. Acha blah blah.

Sasa hu mjadala na wewe ni wa kiji.nga, umeuliza Kama ningekuwa na uwezo ningezuia ? Nimekwambia hatutendi au kuacha kutenda kwa kuangalia uwezo pekee.
Sasa wewe kwa kuwa hutaki kutafakari unataka nami nikujibu pasipo kutafakari. Situmii akili ya Papa Francis kujadili nawe.
Kama kwa uwezo ndicho kigezo pekee cha kutenda au kutotenda eleza
Acha bla bla zako.
Sina nilichokariri najibu kadri ya hoja yako na kuhoji uhalali wa hoja yako.
 
Nimekujibu kwamba ningekuwa na uwezo wa kumzuia asiende Somalia ningemzuia in the first place. Kwa nini nimruhusu aende Somalia kuteseka kama nina uwezo wa kumzuia kutokwenda huko?

Kufa kwa mtoto wa siku moja au mwaka kuna faida gani?

Hizi imani kweli ni sumu. Utasemaje kufa ni faida huku huna uhakika kwamba kuna kitu chochote baada ya kifo? Huoni kama unauziwa mbuzi kwenye gunia.

Basi bovu linatembea barabarani na kuua watu kihasara hapa unasema hii ni faida.

Sasa kama kufa ni faida kwa nini kuzaliwa in the first place?

You need help.

Unaulizwa uwezo wa kumzuia asije
Unajibu kumzuia asiende.
Kukariri ni shidaaa

Halafu swala la kutokuwa na uhakika na chochote baada ya kifo linawahisu Atheist , wakristo tunalotumaini linalothibitishwa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Acha kushusha kariri zako kwa vile usivyojua maana yake.
 
Sasa hu mjadala na wewe ni wa kiji.nga, umeuliza Kama ningekuwa na uwezo ningezuia ? Nimekwambia hatutendi au kuacha kutenda kwa kuangalia uwezo pekee.
Sasa wewe kwa kuwa hutaki kutafakari unataka nami nikujibu pasipo kutafakari. Situmii akili ya Papa Francis kujadili nawe.
Kama kwa uwezo ndicho kigezo pekee cha kutenda au kutotenda eleza
Acha bla bla zako.
Sina nilichokariri najibu kadri ya hoja yako na kuhoji uhalali wa hoja yako.

What is the point ya kuwa na uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi na kutokuzuia? Go look yourself in the mirror.

Huna decency ya kujibu maswali nayouliza unaishia kuleta blah blah.

Nimekuuliza kuhusu watoto wa Adam na Hawa wamezaa na nani? Umeishia kuleta the same blah blahs

Nimekuuliza kuhusu earthquake Nepal. Same blah blahs.

Hapa kwako sitegemei anything intelligent zaidi ya Usimba na Uyanga tu.
 
Unaulizwa uwezo wa kumzuia asije
Unajibu kumzuia asiende.
Kukariri ni shidaaa

Halafu swala la kutokuwa na uhakika na chochote baada ya kifo linawahisu Atheist , wakristo tunalotumaini linalothibitishwa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Acha kushusha kariri zako kwa vile usivyojua maana yake.

Wewe hizi habari za yesu kufufuka umetoa wapi kama si kwenye kukaririshwa na kunyweshwa sumu ya imani ukiwa mtoto bila akili ya kujitambua?

Umekaririshwa mtu kafufuka, hao watu walikuletea hizo story wao sasa hivi hawana time nazo.

Mmatumbi huku umekomaa eti yesu kafufuka.

Get your head outside of that box.

Ndiyo maana nikauliza what is the point ya kuzaliwa kama kufa ni faida? Sitegemei jibu zaidi ya blah blah.
 
Do you get the logic?

Kama ulikua na uwezo wa kumzuia kwenda Somalia in the first place ungemzuia au la? In other words, you lot are depicting god to be reactive and not proactive. Signs of failure. Sijui hata kama unaelewa.

Kwa sababu wewe ni muweza wa yote.

Huo ubungo wako unautumia kwa kazi gani huelewi vitu rahisi hivi?

Bado hujajibu swali.

Logic zako ziko fyongo. Umeruhusu aende ili akafanye participative research mwenyewe. Mtoto anataka kurudi uwezo wa kumzuia unao utamzuia ? Hilo ndilo swali la jamaa wala hajauliza uwezo wako wakati anaondoka. Unawaza kwa kutumia nini ?
 
You idiot, where is participative research in cancer, famine, wars and diseases? Kwa nini uruhusu hivi vyote in the first place?

Unaelewa kweli chochote.

Unaweza kumruhusu mtoto wako aende in a war torn area? Au sehemu yenye black plague? Au sehemu yenye earthquake ya 7.9 magnitude?

Au unajibu tu ili kutetea imani!
 
What is the point ya kuwa na uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi na kutokuzuia? Go look yourself in the mirror.

Huna decency ya kujibu maswali nayouliza unaishia kuleta blah blah.

Nimekuuliza kuhusu watoto wa Adam na Hawa wamezaa na nani? Umeishia kuleta the same blah blahs

Nimekuuliza kuhusu earthquake Nepal. Same blah blahs.

Hapa kwako sitegemei anything intelligent zaidi ya Usimba na Uyanga tu.

Unajidhirisha unavyokariri.
Adam alizaa watoto wa kike na wakiume na ndipo uzao wa binadam ulianza.
Nikwambia wakati huo hapakuwa na sheria ya kutambua incest.
Mlivyokaririshwa hamuwezi fikiri kinyume chake na kupokea kitu kipya.
Wewe nimekuomba ukarabati swali lako ueleze Kama kadri ya kariri zako ni uwezo pekee unahitajika kutenda au kutotenda unaogopa kutoa ufafanuzi.
Hamfundishiki mlivyokaririshwa mnazuia mawazo mapya
 
You idiot, where is participative research in cancer, famine, wars and diseases? Kwa nini uruhusu hivi vyote in the first place?

Unaelewa kweli chochote.

Unaweza kumruhusu mtoto wako aende in a war torn area? Au sehemu yenye black plague? Au sehemu yenye earthquake ya 7.9 magnitude?

Au unajibu tu ili kutetea imani!

Jibu swali LA Somalia kwanza then njoo na utumbo wako usafishwe.
Atheism Ina assassinate brain za waumini wake.
Hamjitambui tuuu...
 
Unajidhirisha unavyokariri.
Adam alizaa watoto wa kike na wakiume na ndipo uzao wa binadam ulianza.
Nikwambia wakati huo hapakuwa na sheria ya kutambua incest.
Mlivyokaririshwa hamuwezi fikiri kinyume chake na kupokea kitu kipya.
Wewe nimekuomba ukarabati swali lako ueleze Kama kadri ya kariri zako ni uwezo pekee unahitajika kutenda au kutotenda unaogopa kutoa ufafanuzi.
Hamfundishiki mlivyokaririshwa mnazuia mawazo mapya

This exposes your ridiculous belief. Kwamba at one point ni sawa kwa dada na kaka kuzaa. At another point in time si sawa.

This shows that sins are relative and not absolute, according to your answer.

If sins are relatives, then what is a sin?

Nina hofu kama unaelewa jinsi gani jibu lako linapingana na notion nzima ya uwepo wa dhambi.
 
Jibu swali LA Somalia kwanza then njoo na utumbo wako usafishwe.
Atheism Ina assassinate brain za waumini wake.
Hamjitambui tuuu...

Wewe unasema mtoto anaenda kwenye participative research in Nepal (7.9 magnitude earthquake) unahitaji msaada wa daktari zaidi ya hizi arguments nazokupa hapa JF.
 
Hivi Atheist nani kawabrainwash kiasi cha kuamini kwamba ukiwa Atheist wewe unakuwa na haki miliki ya Uhuru wa kufikiri ? Newton aliamini Mungu lakini aliyotenda wewe hutii mguu.
Nani kawarogaaa ?

Na hapo ndio tatizo langu kubwa na huu upande, wanataka wanaoamini uwepo wa Mungu waonekane ni wakosaji na wamepotea.
 
Wewe hizi habari za yesu kufufuka umetoa wapi kama si kwenye kukaririshwa na kunyweshwa sumu ya imani ukiwa mtoto bila akili ya kujitambua?

Umekaririshwa mtu kafufuka, hao watu walikuletea hizo story wao sasa hivi hawana time nazo.

Mmatumbi huku umekomaa eti yesu kafufuka.

Get your head outside of that box.

Ndiyo maana nikauliza what is the point ya kuzaliwa kama kufa ni faida? Sitegemei jibu zaidi ya blah blah.

Ndugu unajidhalilisha, habari ya kuzaliwa na kufa hadi kufufuka kwa Yesu Kristo iko documented
Nimeandika Atheism inatabia ya kua assassinate brain za waumini wake kiasi cha kushindwa kutafakari wanabaki na Yale waliyokaririshwa.
Mimi sijakwambia MTU kafufuka nimekwambia Kufufuka kwa Yesu Kristo ndiko kunakonifanya niwe Mkristo haijalishi atheist Ana mtazamo gani, nafahamu mlivyo brainless linapokuja swala linalohitaji REASONING hivyo sina tatizo nanyi ado ado tunaweza fufua brain nanyi muwe binadamu wa kureason.

Mmatumbi Mimi nimekomaa na kufufuka sawa na mmatumbi wewe ulivyokomaa na bb na evolution Kama ndiyo mwongozo wa chanzo cha maisha duniani. Ambvyo ndivyo vinathibitisha ulivyo mindless...toka kwenye box.
Sio kwamba wewe unatakiwa kuuliza tu na kupewa majibu hata wewe umeumbwa binadam unawsjibu wa kujiuliza na kutoa majibu.
Kwa nini binadam wanaishi then wanakufa.
Jifunze kujiuliza swali hilo na kulitolea majibu hapa na sio kukariri maneno ati "what is the point ya kuzaliwa..."
Sitegemei jibu zaidi ya swali lile lile au jipya ili kukwepa kujibu.
Mindless atheist....
 
Back
Top Bottom