financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Kwani bodaboda ana shida gani, Hana mkuyenge ama? Binadamu wote ni sawa bana na kama una bodaboda mwingine nipatie na mimi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kujisahau sana yaan....Gaza matajiri wamekuwa ombaomba....Tanzania ajali kibao matajiri wamekuwa viweteUmealiza yote!Uzi ufungwe!
Anakuja mkuu, tulia hivyo hivyoKwani bodaboda ana shida gani, Hana mkuyenge ama? Binadamu wote ni sawa bana na kama una bodaboda mwingine nipatie na mimi mkuu
Asichelewe sasa kabla December haijaisha hiiAnakuja mkuu, tulia hivyo hivyo
Bodaboda mmoja alinichana kua ata akiamka saa sita mchana akakomaa adi saa mbili usiku hakosi 50K per day. Per month hio ni 1.5M na hapo ameamka mchana, na hapo bado hatuja jumlisha dili za hapa na pale. Tu assume anaingiza 2M per month, huo ni zaidi ya mshahara ya watu wengi sana walioajiriwa. Usione bodaboda wanapendwa sana na wanawake unabaki kujiuliza kwanini na kukuna kichwa!Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Acha ukuda mkuuKuna aina ya kazi ni risk kwa Muolewaji..
Ajiandae kuwa Mjane
Ajiandae kuuguza Mume mara kwa mara..
Ni ukweli Mchungu.
😂😂 kweli bwana mambo yasije yakawa mengiAsichelewe sasa kabla December haijaisha hii
Aiseee boda ukifanya Kwa malengo inalipa maana Kuna vijiwe mtu kuingiza 30K Kwa Siku kawaidaDuh mleta hoja una mtindio wa ubongo,bodaboda ni binadamu kama alivyo mama samia au Mh Majaliwa,by the way hatuwezi wote kuwa maafisa wa serikali,lazima wawepo watu kama hao,kwahiyo unataka bodaboda asioe!?
Kuna jamaa tumeoa mji mmoja,yeye kaoa mkubwa mimi mdogo,japo umri namzidi,jamaa alikuwa ni bodaboda mimi mwalimu,ya Mungu hayajulikani,nikasikia anajenga nyumba ya bati za rangi vyumba vinne,mara kanunua nyumba ya 40M,sijakaa sawa kanunua gari,hadi muda huu mimi sina gari wala maisha anayoishi huyu bwana siwezi kumfikia,ananizidi mara mia na huu ualimu wangu.
Mwaka jana nilienda kumsabahi nikaiona nyumba yake ,ni jumba kubwa la watu wenye pesa ndo wanaweza ishi humo
punguza dharau kwa watu unaodhani unawazidi kiapato kijana!!
Wacha weehIvo yaan
😝😂😂mbona hivyo?! Sijasema ni Mimi mkuu....mie ni single mom tu hapa townWacha weeh
Huyo mtoto sio wa "afisa usafirishaji"😝😂😂mbona hivyo?! Sijasema ni Mimi mkuu....mie ni single mom tu hapa town
Dume suruali!, Dume Shostito!.., dume mbea mbea!Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kwanza si kweli. Lakini ni kazi kama nyingine,akitulia,anafanya mbambo yake na anapatiaBodaboda mmoja alinichana kua ata akiamka saa sita mchana akakomaa adi saa mbili usiku hakosi 50K per day. Per month hio ni 1.5M na hapo ameamka mchana, na hapo bado hatuja jumlisha dili za hapa na pale. Tu assume anaingiza 2M per month, huo ni zaidi ya mshahara ya watu wengi sana walioajiriwa. Usione bodaboda wanapendwa sana na wanawake unabaki kujiuliza kwanini na kukuna kichwa!