Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Wamekupinga wengi, lakini ni wanafiki. Wengi ya wazazi wenye elimu na maisha mazuri hawatafurahi kusikia binti yake anataka kuolewa na bodaboda. Watapinga vibaya sana. Kitakachofanya wapinge siyo kama bodaboda siyo binadamu ila social culture yao siyo nzuri kwa jamii. Glenn ametusaidia kuweka ''sifa'' yao moja mbaya kati ya nyingi... wanaongoza kwa kutembea na wake za watu..
 
Bodaboda wengi wao ni Malaya kishenzi
 
Boss lakini kuna boda boda waungwana na wastaarabu mnoo, wanafanya kazi hiyo kama kipindi cha mpito kwao, na wana maono makubwa na wanayaendea mdogo mdogo.

Nina mifano kadhaa, tena wapo wenye elimu nzuri tu mkuu
 
Hili nakunali kabisa mkuu. Ila point yangu ni kuwa mzazi anayejielewa akisikia binti yake anataka kuolewa na bodaboda mwanzoni atashtuka na kuhoji maswahili mengi zaidi. Itachukuwa muda mrefu wa uchunguzi wa kina ili ajiridhishe. Kuwa mkweli rohoni, hata wewe nina uhakika kama una binti na akaja na mchumba kama huyu lazima utagwaya kwanza!
 
Swali lilikuwa hili.

Kwani dereva wa bodaboda si mtu?

Hujalijibu.

Kuhusu swali lako, anayeoa ni mtu au ni kazi ya bodaboda ndiyo inaoa?
wazazi waliitilia mashaka hiyo kazi ndo maana na mimi nikaielezea hiyo kazi kwa namna yangu inawezekana wazazi wamekosea kuingilia uhuru wa mtoto wao kuchagua mpenzi anayemtaka.
 
Ukweli usemwe huwa unaponya ukiukubali
Ahahahahah..hapana bwana.Labda kama nimeshindwa kusanuka kabisa yan nikose hata kuona red flags wala manyoya kujua kashaliwa!. Kama nimefanyiwa ujasus wa hali ya juu namna hiyo bas tena no way. But kikawaida bado mzee
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kwani bodaboda sio NTU.???
 
Una akili ndogo sana aisee, pabovu zaidi unakuta na wewe ni baba wa familia
 
wazazi waliitilia mashaka hiyo kazi ndo maana na mimi nikaielezea hiyo kazi kwa namna yangu inawezekana wazazi wamekosea kuingilia uhuru wa mtoto wao kuchagua mpenzi anayemtaka.
Huyo mke huenda ndiye angeenda kututengenezea mume tycoon wa bodaboda kwa kumshauri vizuri mume wake jinsi ya kui modernize business, kuipatia technology ya app na tracke, online payment, na kumfanya mwanetu awe bonge la CEO wa bodaboda.

Ila ndiyo hivyo tena, imekuwa si riziki!

Unajua nini? Huwa nakaa naangalia Wamarekani wanatengeneza biashara kama Uber, halafu nikisoma historia zao, nagundua kwamba hawakuwa na chochote zaidi ya idea nzuri tu ya biashara, idea ambayo ukimpa Mtanzania wa kawaida kabla haijaletwa na watu wa nje, anaidharau, atasema "hii mbona biashara ya bodaboda". Kumbe mtu akijishusha akaisoma biashara hata ya bodaboda na kuleta solutions kuifanya iwe bora, anaweza kufanya biashara kubwa sana.

Lakini, sisi tumeishia kuona "hii biashara ya bidaboda".

Granted, naelewa kuna tabu za mitaji na kukubakika, but still, siku hizi ukiwa na idea nzuri unaweza kupata mitaji hata kutoka nje.

So, tusipende kudharau watu kwa sababu ni bodaboda tu.

Kuna mabinti hawaangalii mtu alipo, wanaangalia huyu ana uwezo wa kuwa wapi miaka 5, 10 na zaidi ijayo. Tunaweza kujenga future gani?
 
Huu uzi ni uthibitisho tosha kuwa sio mabinti tu wanataka wanaume walio stable financially bali hata wazazi. Kwahiyo nyie mnaolalamikiaga wanawake kumbukeni nanyi ni wazazi wajao. Soon mtajikaanga kwa mafuta yenu.
 
Kwani bodaboda siyo mwanaume....ukipewa nafasi ya juu usimdharau wa chini.....usipojiangalia utapewa ya chini kabisa...ukipofu au ukiwete...hii ni dunia mkuu
Halafu utakuta anae mponda bodaboda ni mwalimu anae lipwa laki Saba take home laki nne .

Ambayo in average amalipwa elfu 15 kwa siku ambapo sawa na boda anae beba vichwa 20 kwa siku
 
Halafu utakuta anae mponda bodaboda ni mwalimu anae lipwa laki Saba take home laki nne .

Ambayo in average amalipwa elfu 15 kwa siku ambapo sawa na boda anae beba vichwa 20 kwa siku
Hivi nyie mnaijua vizuri biashara ya bodaboda au mnaongea tu?
 
Back
Top Bottom