Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kwani bodaboda siyo mwanaume ?
 
Cha ajabu nini hapo! Wawili wakipendana waachwe jamani.
 
Duh mleta hoja una mtindio wa ubongo,bodaboda ni binadamu kama alivyo mama samia au Mh Majaliwa,by the way hatuwezi wote kuwa maafisa wa serikali,lazima wawepo watu kama hao,kwahiyo unataka bodaboda asioe!?
Kuna jamaa tumeoa mji mmoja,yeye kaoa mkubwa mimi mdogo,japo umri namzidi,jamaa alikuwa ni bodaboda mimi mwalimu,ya Mungu hayajulikani,nikasikia anajenga nyumba ya bati za rangi vyumba vinne,mara kanunua nyumba ya 40M,sijakaa sawa kanunua gari,hadi muda huu mimi sina gari wala maisha anayoishi huyu bwana siwezi kumfikia,ananizidi mara mia na huu ualimu wangu.

Mwaka jana nilienda kumsabahi nikaiona nyumba yake ,ni jumba kubwa la watu wenye pesa ndo wanaweza ishi humo

punguza dharau kwa watu uliowazidi umri kijana!!
Kwa kazi ya bodaboda tu au aliamua kujiongeza?
 
Hili andiko halijaonyesha tatizo la huyo binti, ila limeonyesha tatizo lako mwanangu una dharau sana acha hiyo mambo usiwachukulie bodaboda au mtu yeyote anaejitafuta kuwa ni mtu asie na maana hayo ni Mapito tu.
 
Ni sawa umewaskia mama na binti wananijadili Mimi kwa sababu Leo naendesha boda na ww ukaja humu kunibeza......Sina mda wa kujitetea wala kuwaelewesha chochote...npo low key
 
Kuna boda boda hapa amechukua goma linalopokea mshahara kila mwisho wa mwezi, boda boda ndio anaupangia matumizi; mahusiano huwa yanaendeshwa na kichwa kidogo.​
 
Back
Top Bottom