Hahahaaa!!Kwa hii comment yako,naona kabisa kua huyo Boda boda ni wewe na hapa umekuja tu kutafuta ushauri indirect,
Mwambie huyo Binti mkafunge ndoa ya kiserikali na aachane na hayo mawazo ya Mama yake kwani maisha ni yake.
Aolewe tu wala usimbishie, mpe sawa sawa na chaguo lakeNasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kwani binti huko kwenye ndoa anafuata ugali? Bodaboda hana dushe? Mwambie huyo maza ajiheshimu aisee!Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Pinga kwa hoja tafadhari.Mkuu huu ndiyo mwisho wako wa kufikiria au umeandikiwa hii comment maana hata mlevi hawezi waza hivi?
Mali kwanzaKila mzazi anataka jambo zuri kwa mwanae.
Boda boda wanaoata maokoto makubwa kuliko watumishi wengi wafanyao kazi chini ya halmashauri.Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Hayanaga mwongozo ausio🏃!Mambo yao waachie wenyewe...
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Hayanaga mwongozo ausio🏃!
Mamake anakosea amwache kijana apambaneNasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno.
Naamini boda boda anajituma mno.
Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Mambo yao waachie wenyewe! Wasikuumize kichwa !Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Mama ana taarifa kuwa baadhi ya mitaa 80% ya bodaboda wana shahada ya kwanza?Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Kikubwa ni upendoNasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.