Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Aolewe tu wala usimbishie, mpe sawa sawa na chaguo lake
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kwani binti huko kwenye ndoa anafuata ugali? Bodaboda hana dushe? Mwambie huyo maza ajiheshimu aisee!
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Boda boda wanaoata maokoto makubwa kuliko watumishi wengi wafanyao kazi chini ya halmashauri.

pia kwa sasa ni wasomi na watumishi wengi ambao ni bodaboda.
 
Kuna bodaboda wengine ni kweli wanajielewa na wanakuwaga na mipango mizuri kama binti mwenyewe anavyosema
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Mamake anakosea amwache kijana apambane
 
Waduanzi ndo hudhani bodaboda haina malipo mazuri wakati kuna watu wanatengeneza more than 400k kwa week ambapo kuna wasomi watabaki wakiotaga hicho kipato
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Mama ana taarifa kuwa baadhi ya mitaa 80% ya bodaboda wana shahada ya kwanza?
Kingine wanaume waliowengi ndio huongoza kwa kuwacheka wanawake wanaoolewa na bodaboda kama vile wamekosa uelekeo na kuchukua miozo.
Najiuliza kuwa bodaboda kunapoteza uanaume wa mtu? Je kuna uhusiano gani gati ya aina ya kazi na aina ya mke?
Kwangu mimi mwanaume yeyote mwenye utu, vigezo anaweza kuoa any woman hali ya kuwa wameongozwa na upendo na shauku ya kujenga familia yao vile vile mwanamke.

Kuna watu wamesoma na shahada zao kipato kwa mwezi hakizidi 500k net sasa wanatofauti gani na bodaboda au mchoma mahindi mwenye mtaji wa 30k?
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Kikubwa ni upendo
 
Back
Top Bottom