Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Hahahaaa!!Kwa hii comment yako,naona kabisa kua huyo Boda boda ni wewe na hapa umekuja tu kutafuta ushauri indirect,
Mwambie huyo Binti mkafunge ndoa ya kiserikali na aachane na hayo mawazo ya Mama yake kwani maisha ni yake.