Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kwani bodaboda siyo mwanaume ?
 
Cha ajabu nini hapo! Wawili wakipendana waachwe jamani.
 
Kwa kazi ya bodaboda tu au aliamua kujiongeza?
 
Hili andiko halijaonyesha tatizo la huyo binti, ila limeonyesha tatizo lako mwanangu una dharau sana acha hiyo mambo usiwachukulie bodaboda au mtu yeyote anaejitafuta kuwa ni mtu asie na maana hayo ni Mapito tu.
 
Kazi ni kazi Mkuu, cha msingi ni huyo Boda awe na uwezo wa kumuhudumia huyo Binti.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kuna Boda hapa kitaa ana nyumba kubwa na wapangaji, wanacheza michezo,pia mkewe anachukua mikopo yeye ndo mlipaji,anapaki town makazi ununio,

Boda wanapata hela cha msingi malengo tu nadhani
 
Ni sawa umewaskia mama na binti wananijadili Mimi kwa sababu Leo naendesha boda na ww ukaja humu kunibeza......Sina mda wa kujitetea wala kuwaelewesha chochote...npo low key
 
Kuna boda boda hapa amechukua goma linalopokea mshahara kila mwisho wa mwezi, boda boda ndio anaupangia matumizi; mahusiano huwa yanaendeshwa na kichwa kidogo.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…