Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

unajua matokeo ya kazi ya boda boda baada ya miaka 10?
Huyo boda kakuambia atafanya hyo kaz miaka 10? kuna mwamba ni graduate contract yake ikaisha alikuwa na boda kadhaa kawapa vijana, akaongeza nyingine akawa anaendesha mwenyewe huku anasikilizia ajira nyingine, alipopata akamkabidh kijana hyo boda, alikuwa anasema bora akusanye hata buku tano kwa siku kuliko kukaa tu home bure.
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
weka picha zao.
 
je, angekua mlinzi ingekuaje hapo kama tu bodaboda anapigwa vita. Mwache amdanganye binti yake aolewe na mwenye hela alafu akageuzwe sextoy
Au ageuzwe single mama ambayee bibi ndio ataachiwa mjukuu amlee Binti akatafutee [emoji23][emoji23][emoji23]

Dharau zingine hazitakiwi mama anatakiwa akubali tu maaana wanapendana hayo mambo ya kipato n mapambano ya Kila mtu ,km n rahis hvyo kwann mama yy akuolewa na mwenye helaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kataa NDOA
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
naamini kabisa hii ni fake news
 
Duh kumbe bado hatujafikiwa🤙
 
Back
Top Bottom