Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Shida siku hizi heshima ya utu inapimwa kwa aina ya kazi unafanya.

Mimi ndio maana mtu akiniuliza nafanya shughuli gani namuuliza nikikutajia kazi gani utanipa heshima kubwa ili anitajie nimwambie anipotezee sitaki mazoea
 
Binti mwenyewe anadai anahitaji kuwa na familia na huyo ni mtu sahihi kwake.

Binti ni mrembo kwakweli amekwenda shule.
Kwa hii comment yako,naona kabisa kua huyo Boda boda ni wewe na hapa umekuja tu kutafuta ushauri indirect,
Mwambie huyo Binti mkafunge ndoa ya kiserikali na aachane na hayo mawazo ya Mama yake kwani maisha ni yake.
 
Back
Top Bottom