Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

Yupo humu JF na hii mada yako ameshaisoma.

Pole sana kijana.
 
Lengo la uzi ni kushirikisha uzoefu ili pengine dada zetu wasifanye hivi maana sio ustaarabu. Kusaidia jamii hakuwezi kuachwa kwasababu ya makosa ya mtu mmoja.
Sema kuna wengine huwa hawanaga uwezo wa kusaidia, lakini kwa vile kuna aliyesaidiwa lakini hakurudisha fadhira, NAO HUSIMAMA HUMO, KWAMBA HAWASAIDII
 
Tuko mmoja nilimsadia ugonjwa wake akaponA ilihali alikuwa na hali ambaye sanan

Alikuja kupona hakuwai kurudi hata siku moja kusema ahsante

Yupo yupo tuu kama puyanga huko sijuagi hata tuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…