Hakunaga msaada wa watu wa jinsia mbili tofauti ambao hakuna udugu baina yao .
Mwanaume ukianza kumsaidia mwanamke huwa kinafuata kutegwa muwe mahawara.
Wapo wanaume walianza kwa kujifanya kuwasaidia wanawake mwisho wakaangukia kwenye ngono hadi kupelekea ndoa zao kuvunjika na kubaki historia.
Na hiyo huwatokea hata wanaume ambao ni watumishi wa Mungu , wengi wamejikuta wakianguka kwenye uzinzi na uasherati baada ya kuanza kuwasaidia wanawake wenye shida ikiwemo wajane.
Mwanamke skisaidiwa na Mwanaume ambaye si ndugu yake wa damu huyo Mwanaume anayetoa msaada ajiandae kufanya ngono na huyo mwanamke husika ,
Wanawake wanaosaidiwa na wanaume hutoa miili yao kama shukrani kwa wale wanaume walowasaidia,
Na wanawake hujitoa miili yao kingono kwa wanaume wakijua watawashika zaidi hao wanaume na wengine kuwategeshea mimba.
Wanaume msiwachukulie Poa wanawake hata kama akjifanya mkimya kama kondoo lakini moyoni huwa wamejaa hila na uovu mkubwa wa kuangamiza ndoa yako!