Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

Watu wameumizwa humu jamani, wanavyoponda wanawake humu utadhani huko duniani hawaishi nao..!!
Huu ni mrejesho kutokana na experience yangu. Tunaishi nanyi na tunawapenda ila mnaweka emotions hadi mahali pa kutumia hekima na akili.
 
Kuna watu wanahitaji huruma zaidi kuliko tunavyofikiria. Ukimsaidia mtu haina maana ni lazima nawe akutendee kama ulivyomtendea. Watu wanapitia magumu/ Tusihukumu ili nasi tusije tukahukumiwa.
 
Kuna watu wanahitaji huruma zaidi kuliko tunavyofikiria. Ukimsaidia mtu haina maana ni lazima nawe akutendee kama ulivyomtendea. Watu wanapitia magumu/ Tusihukumu ili nasi tusije tukahukumiwa.
Kama umesoma vizuri wala sikuwahi kutaka fadhila kwa miaka mingi. Hii ilikuwa dharula
 
Mzee Championship... ukarimu wako usizuiwe na watu wabaya.

Nimesaidia watu wengi sana, kuanzia ngazi ya familia,ma- ex, wadada wa chuo na hata mitandao ya kijamii nisiowajua. Msaada kwangu ni kama sala/hazina mbinguni.
Hauwezi kuzuiwa boss. Tutaendelea kushiriki kusaidia watu kwa kadri ya uwezo tunaopewa na Mungu.
 
Kumbe ukiwa haujaolewa ndio unakuwa hauna majukumu!! Mkuu jifunze kuwa unapotoa msaada usiiweke kama deni kwa muhusika, lakini pia si kwamba kwasababu ulimsaidia basi wakati wowote atakuwa ana pesa tu zinasubiri akusaidie. Usimpangie mtu na mshahara wake maana kweli huwezi jua ana majukumu gani.
 
Back
Top Bottom