Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu? Sawa, vita inaendelea.Ni kosa kwa mwanaume kuonyesha shida kwa Mwanamke,
Hisia zinaisha hapohapo .
Reason: Ubinafsi
Solution: Fight your battles
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu? Sawa, vita inaendelea.Ni kosa kwa mwanaume kuonyesha shida kwa Mwanamke,
Hisia zinaisha hapohapo .
Reason: Ubinafsi
Solution: Fight your battles
Mara nyingi huwa inakuwa hivyo. Wataalamu wanaita karma. Ila Mimi simuombei mabaya, afanikiwe na kuwa msaada kwa wengine.Ni suala la muda tu.
Hako kakibarua kake kakiyumba tu atakuja kuhitaji booster toka kwako.
They are shameless
Huo ndio ukweli isipokuwa binti yangu.Note ::: Mwanamke sio ndugu yako
Mungu atakulipa mkuuHuyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
kweli mkuu wangu,Tenda wema nenda zako.
Mfadhili kwa upendo tu,kama ni pesa wewe mpe tu at your own risk..Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
Nyie ndio huwa mnacheza cheza tukiwa kwenye vikao. Tulishasema hakuna kusaidia mwanamke.Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
Itakuwa hivyo vikao sijawahi kuhudhuria..😄Nyie ndio huwa mnacheza cheza tukiwa kwenye vikao. Tulishasema hakuna kusaidia mwanamke.
Akikuacha kwa sababu hajapata pesa kwako aende akafanye biashara mahali pengine. FULL STOP
Kuomba kwa sms kiasi hicho hata we mwenyewe hukua na uhakika plus aibu kumface na kumwambia shida yako,japo hata kwa kumpigia.Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
Mtu wa namna hyo kaa nae mbali sanaHuyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo.
Miaka zaidi ya saba imepita na tumekuwa tukiwasiliana kawaida kama kaka na dada. Alipomaliza chuo alipata kazi kampuni kubwa sana hapa dar na alinitumia meseji nyingi sana kushukuru.
Wiki kadhaa zilizopita nilipata changamoto kwenye biashara zangu na kuna malipo fulani yalichelewa sana kuingia na nikawa natakiwa kulipia baadhi ya huduma kwa haraka.
Kwasababu huwa tunawasiliana nikamtumia ujumbe whatsap kuomba anisaidie 400k (ninafahamu mshahara wake upo kwenye 2.5m). Alisoma ujumbe halafu hakujibu kwa wiki mbili.
Sasa amenijibu kuwa anayo majukumu mengine, nitafute alternative ingawa najua bado hajaolewa.
Nimeanza kuelewa kwanini moyo wangu ulikataa kumuoa.
Pambana bro!Ni kosa kwa mwanaume kuonyesha shida kwa Mwanamke,
Hisia zinaisha hapohapo .
Reason: Ubinafsi
Solution: Fight your battles
Ungekuwa ulimsaidia bila kuwanae kima penzi tu lazima angekusaidia nawewe ukitaka Kula pesa ya mwanamke husiwe mpenzi wake ila muwe marafiki kama ndugu wa damu hapo ukimuomba msaada anakupa lakini kama mlikuwa wapenzi husitegemee kupata pesa zake, fikra zao wakikupa pesa unaenda kuhonga tu kwa wanawake.Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.