Hizo ndio zitakuwa ndege za kuendeshwa kwa faida kuliko aina nyinginezo. Nchi nyingi duniani zilisharuhusu hii aina na jana hapo China imeruhusu. Lile tatizo lilikuwa kwenye mfumo wa kompyuta na Boeing wamerekebisha, orders zake zishakuwa nyingi.
..kwa hiyo atcl wakianza kutumia 737 max wataanza kujiendesha kwa faida?