Hizo ndio zitakuwa ndege za kuendeshwa kwa faida kuliko aina nyinginezo. Nchi nyingi duniani zilisharuhusu hii aina na jana hapo China imeruhusu. Lile tatizo lilikuwa kwenye mfumo wa kompyuta na Boeing wamerekebisha, orders zake zishakuwa nyingi.
Hapana hakuna tatizo, hata mgao wa umeme na maji wala siyo issue yanii.... Na juzi tumepokea mkopo wa covid wa Trilioni 1.3Kwani kunatatizo
Nafikiri nimekujib hapo. Mostly itahusika team ya wataalam wanaotangulia kucheki ndege kwanza kabla haijaletwa nchini. Probably ukawaulize wahusika..je, serikali ya Tz ina uhakika kwamba 737 max tutakazoletewa ni salama?
Tangu zimeruhusiwa hakuna aviation expo au air show ya maana imefanyika duniani. Ukiona ndege yoyote imeuzika sana kwenye Dubai Airshow ujue iko sawa na inakubalika. Kwanza tukumbuke kuwa hizi 373 Max zilikuwa grounded kwa sababu ya gritches kwenye software wala sio hardware. Kubadili software sio kazi ngumu wala haiwashtui mamlaka wala wanahisa.Taarifa za kuruhusiwa hizo ndege zilipokelewa kwa tahadhari kubwa na kama zipo chache zilizoanza kuruka zitakuwa kwenye mashirika ya ndege ya Marekani. Kwa mashirika nje ya Marekani bado wateja wanazitilia shaka.... Sasa sisi ndio tununue mbuzi kwenye gunia?
Ushauri wangu, kama ikiwezekana wanunue hiyo B787 na B767 freighter. Hizo Max zisubiri.. mbona tuna Airbus nne?.
Mkuu mbona hizi ndege zina bima ukinunua ikiwa mbovu unakuwa refunded. Simu zina warranty sembuse ndegeTaarifa za kuruhusiwa hizo ndege zilipokelewa kwa tahadhari kubwa na kama zipo chache zilizoanza kuruka zitakuwa kwenye mashirika ya ndege ya Marekani. Kwa mashirika nje ya Marekani bado wateja wanazitilia shaka.... Sasa sisi ndio tununue mbuzi kwenye gunia?
Ushauri wangu, kama ikiwezekana wanunue hiyo B787 na B767 freighter. Hizo Max zisubiri.. mbona tuna Airbus nne?.
Kwenye reply uliyoquote kuna sehemu umeona ATCL imetajwa?..kwa hiyo atcl wakianza kutumia 737 max wataanza kujiendesha kwa faida?
Kuzinunua sio tatizo, kuaminika kwa watumiaji kwa sasa baada ya matukio mawili ndio tatizo kubwa ambalo Boeing wanasumbuka nalo. Hapa naona Lobbing ya Boeing imeelekezwa kwetu, tuwe makini tu.Tangu zimeruhusiwa hakuna aviation expo au air show ya maana imefanyika duniani. Ukiona ndege yoyote imeuzika sana kwenye Dubai Airshow ujue iko sawa na inakubalika. Kwanza tukumbuke kuwa hizi 373 Max zilikuwa grounded kwa sababu ya gritches kwenye software wala sio hardware. Kubadili software sio kazi ngumu wala haiwashtui mamlaka wala wanahisa.
China hapo jana imeziruhusu, leo kuna Mhindi kazinunua 72 kwa pamoja. Ingawa ilitabiriwa kabisa kuwa Airbus ataizidi Boeing kwa mwaka huu hasa Neo zinanunuliwa sana
Wanaumia nchi kununua ndege wakati chama chao hakina hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu 😂😂Tatizo liko wapi CHADEMA?
Halafu cha kuchekesha unakopa 1.3T unajenga shule,yaani mkopo ule ilibidi uingizwe kwenye circulating sector kama kilimo, n.k unajiuliza hela ya kulipa itatokana na nini kitakachozalishwa na madarasa?Binafsi nshajikatia Tamaa na hii nchi....
Niko nakunywa bia na kuchakata nyama kibao nsubiri kufa niende kwa sir GOD
YANII TUNALIALIA 1.2TRILLION IMF KWA MKOPO WA KUJENGA SHULE NA HOSPITALI
HALAFU TUNATOA HELA 1.7 TRILLION KWENY NDEGE
Qumamaqe hii nchii sijapata kuona
May be we are fake human beings.Unatumia $726m kununua ndege halafu unaenda kukopa $937 IMF ya kujenga madarasa na matundu ya choo.
Ubongo wa waafrika huenda uko tofauti na binadamu wa mabara mengine
Tanzania yakopa 1.3 trilion kutoka IMF kwa ajili ya kujenga madarasa
Hapa kunaufisqdi... Magufuli kanunua ndge 11 kwa trillion 1.2 harafu hizi ndegenne kwa trioni 1.7...na kwanini wasingesubiri hizo alzinunua magufuri ziendelee kufanya biashara kwanza?