Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Mbona haueleweki kwanza umesema Ukirsto waka haujakusaidia halafu hapo hapo unakiri ukabila umekusaidia kama ukabila umekusaidia kupata kazi kwa nini Ukirsto wako ushindwe kukusaidia.

Kuwa mkristo hakujanisaidia kupata ajila kwa sababu huo mfumo kristo mnaousema haupo ni wakufikirika tu.... something does not exist.... ila ukabila ni kweli upo... lakini si jambo la kujivunia kusaidiwa kwa misingi ya ukabila....

Je wewe unapenda mfumo uislam uwepo???? na ili ukusaidie katika kufanikisha mambo yako kama ajila, madaraka, elimu nk?????
 
Me naona kanisa kama kanisa halina influence yoyote katika dola yetu kwa sababu ser8kali haina dini bali wananchi wake wana dini.

Naona tusirubane kwa ajili ya dini. bali tuangalie maendeleo ya taifa letu

Saifdyn
Umejipanua kiasi gani kupata fikra za uyasemayo mbona nikisoma maandishi yako naona kama nyuma ya maandiko hayo pana ukweli na si uliyoandika?!!
 
Kuwa mkristo hakujanisaidia kupata ajila kwa sababu huo mfumo kristo mnaousema haupo ni wakufikirika tu.... something does not exist.... ila ukabila ni kweli upo... lakini si jambo la kujivunia kusaidiwa kwa misingi ya ukabila....

Je wewe unapenda mfumo uislam uwepo???? na ili ukusaidie katika kufanikisha mambo yako kama ajila, madaraka, elimu nk?????

Mi nataka mfumo haki uwepo na tumeenishe tukisemacho ama ikisemacho hiyo Serikali,
 
Mkuu Mohamed Said Uko wapi kutoa majibu ya msingi?

Maana kile ulichotaka kuaminisha umma Kua MFUMO KRISTO Kutokana na tukio la Kilindi Umeshindwa kukitetea! Au ile dhuruma dhidi ya uislam iko wapi?

Njoo tusaidie Mkuu!
 
Na fursa pekee ya kueleweshwa ni hii hapa Jamvini ili kama unanipotosha kila mtu aone na aku-challenge nijuavyo mimi watu wengi wamekuwa wanapotoshwa kwenye vinyumba uchwara vya ibada ibada za kishetani mpaka inafika mahala vijana wanaamini na wanafikia hatua ya kujitoa Mhanga kupigania hizi imani potofu kabisa, haiwezekani unamshawishi mtoto wa mwenzio akajiue kwa ajiri ya Imani eti mwisho wa siku ataenda peponi as if hao viongozi wa hizo Imani hawataki kwenda peponi kwanini wasijitoe wao, wanawapotosha watoto wa watu wanakufa huku wao wakiendelea kutwanga Mvinyo na nguruwe rost duniani, Ninaamini kabisa hapa duniani kusingekuwa na Imani za kishenzi kama hizi, dunia ingekuwa salama sana

Mtu kama wewe kukulaumu ni kukuonea tu!
Wacha wewe! Tokea babu zako, mnakuwa mkienda kanisani mnaambiwa :-
Funua wakolosai 2:5
Mnafungua!
Mnaambiwa someni:-
Mnasoma;
Mnaambiwa "haya toeni mchango wa bwana muokoke!
Mnatoa zile akiba zenu zote;-
Mnaambiwa "fungeni macho tuombe"
Mnafunga halafu mchungwaji anawapigia bla..bla.bla...
Halafu anaseme "Bwana Yesu kayabeba MADHAMBI YENU YOOTE! Na NYIE MMESAMEHEWA !
MUENDE KWA AMANI"!

Ukirudi nyumbani unamuadithia jirani yako kuwa;-
" Duhh leo mchungwaji kamaliza kila kitu" yaani Kapiga DUA ya nguvu! Na madhambi yetu Yooote kamtwisha Yesu! Sisi katusamehe!
Yaani ule wizi mnaofanya serikalini na kwa ummah. Uzinifu. Ndoa za waliberali. Ulevi wa pombe haramu na uchafu wa rushwa Wooote mnaamini kabisa kuwa KAUBEBA YESU! Na nyie kwa kusoma hio "wakolosai 2 na kutoa mchango tu mmekuwa WASAFIIIII!

Maskini za Mungu ndio mkawa kama mlivyo.
Chochote mtakachoambiwa na nyinyi mnabeba kama mlivyosikia!
Kwa hivyo wewe kusema sisi ni magaidi si jambo la ajabu kabisa.

Mi bado nakuonea huruma.

Back to the topic now!
 
Yesu sio MUNGU Wala hajawahi kusema yeye ni Mungu wala MWANA WA MUNGU"! Hio mmezua nyie na yule muongo PAULO.

Uko sahihi YESU si MUNGU ..... LAKINI YESU NI MWANA WA MUNGU...... YOHANA 14:28 "Mlisikia kwamba niliwaambia, Ninaenda zangu nami nitakuja tena kwenu. Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu kuliko mimi.

Sehemu zenye msisitizo (
italics) zinaeleza jinsi Yesu anavyomuita Mungu Baba....ikimaanisha kwamba Yesu ni Mtoto au Mwana.... na pia anakiri wazi kuwa BABA ni MKUU KULIKO YEYE mwana...hivyo Yesu ni mdogo kuliko Mungu..... Yeye si Mungu.
 
Usiwe ukibadilisha maneno...... mimi SIJASEMA SINA FAIDA NA UKRISTO WANGU BALI NIMESEMA SIFAIDIKI NA HUO UNAOUITA MFUMO KRISTO.......MFUMO WA KUFIKIRIKA....... na sijaona ushahidi wowote kuhusiana na kuwepo kwa mfumo huo.... na hata ukiwepo ni mfumo ambao upo kwa nasibu......bila mpango mkakati..... na pia hata ukiwepo ni mfumo ambao si rasmi kwa wakristo wote (wakristo walio wengi hawaufahamu na hata wakiufahamu hawata ukbali)....... na mwishoe hata ukiwepo huo mfumo kristo si kwa mujibu wa biblia... maana maandiko hayaruhusu kuunganisha dini na siasa.... hata Yesu waipotaka kumfanya mfalme wa Wayahudi.... Yeye alikataa kwa kujua kwamba falme hizi zote za binadamu ni batili.....zipo kwa muda tu...... bali Ufalme wa Mbinguni ambao Mungu wa Mbinguni atausimamisha ndiyo utakaotawala baada ya kuzivunja falme zote hizi......

Lingine ni kuwa usipende kudharau wengine..... kwa kuwaita wanafiki..... Mbona wewe ni mnafiki na dhaifu hatukusemi...... unajifanya kutetea uislam wakati hata mara moja huonekani wazi kuanzisha mjadala wa kitaifa wa jinsi ya kuweka usawa kwa watanzania wote bila kujali imani zao.... unabaki kujificha kwenye kompyuta na kuanza kuandika uchochezi miongoni mwa watanzania..... kama wewe kweli una nia ya dhati kurekebisha hali jitokeze kwa wazi..... eleza jinsi unavyohisi.... na hata hapa kwenye JF weka jina lako kamili.... vinginevyo wewe ni kunguru tu ambaye utaishi miaka mingi lakini ya kiunafiki.....
Yaani muoga hivyo halafu... unathubutu kuwasema vibaya mtu kama Mtume Paulo ambaye alikuwa jasiri na mpaka akafa kwa kusimamia imani yake......

Hata unamshambulia kwa maneno makali Mwl. Nyerere kwenye JF wakati hata 1/8 ya IQ yake huifikii... eti bla bla bla... wewe ambaye wala hufahamiki unafanya nini .... unakaa wapi na labda unafanya nini ili kuiendeleza nchi yako......
unajificha ficha tuuu.... jiweke wazi kama kina Nyerere ujulikane na watu wajue kama wewe kweli una jambo jema kwa taifa hili....

Kama kweli wewe ni mpigania haki wa kweli achana nahiyo kazi ya kubebba maboksi halafu uende nyumbani ukijenge Tanzania yako....

Teh teh teh teh!
Unajua binaadamu akianza maradhi ya kichwa huwa anaanza na tabia za kudhani dhani sana!

Hebu jaribu kujisoma hapo juu!
Hakuna cha maana ulichoandika ispokuwa ni dhana tu.!
Ohh mara mfumo kristo haupo!
Ohhh hata kama upo haitufaidishi wakristo!
Ohh hata kama upo biblia haijafundisha hivyo!
Na maneno meeengi yasiokuwa na mashiko!
Unasifu ujasiri wa yule MNAFIKI PAULO!
Vipi kama wewe ni MKIRISTO WA KWELI utamsifu mtu ALIYEUWA WAKRISTO WA KWELI KWA.MAMILIONI TU KWA SABABU WALIMFUATA YESU??
Na je huyo MNAFIKI PAULO Alipokwenda kule ANTIOKIA wale WAKRISTO WA KWELI WALIMFANYA NINI??
Muuwaji LAZIMA AUWAWE!.
Na suala la kumsifia nyerere kuwa ana akili sana ni dalili ya mapungufu ya fikra.

Yule aliyedhulumu mali za watu na kutenganisha familia na zile sera zake za ujamaa wa kinafiki ndio unaziita 8/8 IQ??

Watu kama wewe ni hatari kuliko cancer!
Manake binaadamu akiwa" AKILI KUAMBIWA" Anaweza kufanya lolote.lile.

Amka! Kapate elimu na uache kuishi maisha ya kudhani dhani!
Matokeo yake utakuja dhani mkeo ana kitu kibaya anakifanya. Kumbe mwenzio anapaka wanja tu.
 
Waislamu wa wapi wanafanyiwa Ushenzi?.Kama ni Tanzania siamini kama Serikali ya CCM inaweza kuyafanya haya.Jengeni vyuo watu waelimike.

Huwa nashindwa kuelewa mtu wa Dini fulani anapokuwa anahamasisha mambo ya JIHAD,je ikitokea WAZAZI na NDUGU watakuwa wanaishi hewani????Tuwe na hekima katika kujadili mambo,mambo ya udini ni mambo ya ziada katika maisha ya mwanadamu.Tusipende kugombana kwa ajili ya mambo ya kidini.
 
Teh teh teh teh!
Unajua binaadamu akianza maradhi ya kichwa huwa anaanza na tabia za kudhani dhani sana!

Hebu jaribu kujisoma hapo juu!
Hakuna cha maana ulichoandika ispokuwa ni dhana tu.!
Ohh mara mfumo kristo haupo!
Ohhh hata kama upo haitufaidishi wakristo!
Ohh hata kama upo biblia haijafundisha hivyo!
Na maneno meeengi yasiokuwa na mashiko!
Unasifu ujasiri wa yule MNAFIKI PAULO!
Vipi kama wewe ni MKIRISTO WA KWELI utamsifu mtu ALIYEUWA WAKRISTO WA KWELI KWA.MAMILIONI TU KWA SABABU WALIMFUATA YESU??
Na je huyo MNAFIKI PAULO Alipokwenda kule ANTIOKIA wale WAKRISTO WA KWELI WALIMFANYA NINI??
Muuwaji LAZIMA AUWAWE!.
Na suala la kumsifia nyerere kuwa ana akili sana ni dalili ya mapungufu ya fikra.

Yule aliyedhulumu mali za watu na kutenganisha familia na zile sera zake za ujamaa wa kinafiki ndio unaziita 8/8 IQ??

Watu kama wewe ni hatari kuliko cancer!
Manake binaadamu akiwa" AKILI KUAMBIWA" Anaweza kufanya lolote.lile.

Amka! Kapate elimu na uache kuishi maisha ya kudhani dhani!
Matokeo yake utakuja dhani mkeo ana kitu kibaya anakifanya. Kumbe mwenzio anapaka wanja tu.

Mimi nitakapo ona kweli wewe si mnafiki na kunguru mwoga (licha ya faida za kuishi kwingi) ni pale utakojitokeza hadharani ili utoe mawazo yako peupe siyo kujificha nyuma ya kompyuta na kuanza kutoa hadithi za akina alfu lela ulela..... jitokeze kama wale wenzako wa uamsho....... vinginevyo unamaliza muda wako muhimu ambao ungeutumia kubeba maboksi huko uliko.....

lingine lete andiko linaloonesha kuwa Mtume Paulo aliuawa kwa ajili ya kuwaua wakristo.....
 
Hizo ni personal feelings zako!
Unanpopewa jibu ni mawili. Aidha uridhike na hilo jibu! Au kama kuna kitu hukuridhika nacho uulize.
Sio kudadavua kwa kuonyesha kile UNACHODHANI WEWE KUWA NDICHO KILIPO!
Hio statement aliyokujibu Mzee Mohamed Said wewe badala ya kutoa hitimisho. Ulitakiwa uulize. Je! Kwanini mzee umeandika hivyo??
Sio kuandika. Ohhh ingekuwa kiongozi huyu dini hii ingekuwaje!
Au yule dini ile ingekuwaje!

Hio tunaita "dhana" na mara nyingi utakuta hizi dhana zinakupeleka.kusiko takiwa!

Na kwa kumalizia. Kama ulikuwa hujui Influence ya kanisa ndani ya dola yetu. Basi kijana una kazi kubwa sana ya kueleweshwa.
hapo kwenye bold; Hivi mtadanganya Watz hadi lini? Unataka kutuambia hapa kuwa sera za nchi zinatengenezwa na kanisa? au viongozi wakitaka kufanya maamuzi wanaenda kanisani kuuliza? ONLY a foolish will say YES to these questions. Maana wengine tumo katika hiyo system and we are doing that, HUU ujinga ww na wenzako mmeutoa wapi? Au ndiyo mkakati wa kuombea pesa kwa wafadhili. Tuoni hoja za msingi sio ujinga huu jamani, mnataka kuwaaminisha Watoto uongo na mwishowe ni chuki tu, YOU HAVE TO STOP IT, WAZAI WENU WALIWAELIMISHA ILI MUWE FAIDA KWA KUIJENGA JAMII SIO KULETA CHUKI KWA KUFUNDISHA UONGO
 
Sure,ushauri ni wao kujikomboa kwa kujenga vyuo,na sio kulalamika kuonewa kila wakati,hiyo haiwezi kusaidia kizazi kijacho cha jamii ya Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla,majengo ya TANESCO MOROGORO walipewa lakini hamna mtu yeyote aliyepiga kelele,na hata kuna mashule mengi yaliyokuwa yanamilikiwa na makanisa bado hayajarudishwa,still wakristo hawajapiga kelele,je mnataka jema lipi ili mridhike,coz wanadamu wote tunategemeana na ni lazima tukubali kuishi kwa umoja na kuepusha kutengana kwa ajili ya DINI zetu tulizoletewa na watu weupe.
 
Mtu kama wewe kukulaumu ni kukuonea tu!
Wacha wewe! Tokea babu zako, mnakuwa mkienda kanisani mnaambiwa :-
Funua wakolosai 2:5
Mnafungua!
Mnaambiwa someni:-
Mnasoma;
Mnaambiwa "haya toeni mchango wa bwana muokoke!
Mnatoa zile akiba zenu zote;-
Mnaambiwa "fungeni macho tuombe"
Mnafunga halafu mchungwaji anawapigia bla..bla.bla...
Halafu anaseme "Bwana Yesu kayabeba MADHAMBI YENU YOOTE! Na NYIE MMESAMEHEWA !
MUENDE KWA AMANI"!

Ukirudi nyumbani unamuadithia jirani yako kuwa;-
" Duhh leo mchungwaji kamaliza kila kitu" yaani Kapiga DUA ya nguvu! Na madhambi yetu Yooote kamtwisha Yesu! Sisi katusamehe!
Yaani ule wizi mnaofanya serikalini na kwa ummah. Uzinifu. Ndoa za waliberali. Ulevi wa pombe haramu na uchafu wa rushwa Wooote mnaamini kabisa kuwa KAUBEBA YESU! Na nyie kwa kusoma hio "wakolosai 2 na kutoa mchango tu mmekuwa WASAFIIIII!

Maskini za Mungu ndio mkawa kama mlivyo.
Chochote mtakachoambiwa na nyinyi mnabeba kama mlivyosikia!
Kwa hivyo wewe kusema sisi ni magaidi si jambo la ajabu kabisa.

Mi bado nakuonea huruma.

Back to the topic now!

Usinishawishi nirudi kwenye Topic wakati wewe upo nje ya Topic ndiyo haya haya nimetoka kuyaandika mda si mrefu kwamba unafundisha hiki Mswikitin alafu wewe huonyeshi kwa vitendo, unafundisha vijana wajitoe mhanga wakati wewe unajiwekea mipango yako ya maisha ya baadaye na familia yako, hebu niambie Umedai Wachungwaji wanadai sadaka then wanawaambia waumini wao wamesamahewa Dhambi zao... Sasa nakuhoji je hili swala limewahi kusababisha mauaji ya watu wakiwemo watoto na vikongwe? nashangaa sana mimi nimejikita katika kuzishambulia hizi Imani za kishenzi kwa kusababisha uharifu wa mauaji na ndiyo maana zinahusishwa na Magaidi duniani kama wanavyo kiri Alshabab, Alqaeda na makundi zaidi ya 200 ya kigaidi yote yanasema yanapigania dini ya Mnyaaazi Mungu, haya tuanmini kweli huyo Mnyaaz Mungu anapiganiwa, je vitoto vichanga vilivyokufa Westgeti na kwingineko vimemkosea nini Mnyaaaz Mungu? Kama siyo ushetani ni nini?
 
Mimi ni Muislam na nipo Kilindi kulikotokea hayo yanayosemwa. Kiukweli walioshambuliwa na polisi SI WAISLAM kwa matendo yao. KUFUNDISHA WATOTO KUUA, KUCHUKIA MAKUNDI FULANI YA JAMII, KUNYANG'ANYA ARDHI WATU, KUUA WATU HADHARANI KAMA KULE LULAGO, KUKATA WATU MIKONO, KUENDESHA MAFUNZO YA KIJESHI, KUJITENGA MBALI NA JAMII, KUTOTII VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI, KATA HADI TAIFA, KUINGIZA WAGENI TOKA NCHI ZA NJE BILA UTARATIBU, KUFUNDISHA CHUKI KWA WASIO WAAMINI. Nk Huo sio uislam kwani hayo si msfundisho ya dini yetu. Dini yetu inatufundisha UPENDO NA AMANI. KUTAMBUA NA KUHESHIMU WASIO WAISLAM Nk.
 
Mohamed Said uko wapi Mkuu?

Kuna hoja za msingi utusaidie majibu Mkuu!
 
Sure,ushauri ni wao kujikomboa kwa kujenga vyuo,na sio kulalamika kuonewa kila wakati,hiyo haiwezi kusaidia kizazi kijacho cha jamii ya Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla,majengo ya TANESCO MOROGORO walipewa lakini hamna mtu yeyote aliyepiga kelele,na hata kuna mashule mengi yaliyokuwa yanamilikiwa na makanisa bado hayajarudishwa,still wakristo hawajapiga kelele,je mnataka jema lipi ili mridhike,coz wanadamu wote tunategemeana na ni lazima tukubali kuishi kwa umoja na kuepusha kutengana kwa ajili ya DINI zetu tulizoletewa na watu weupe.

Sasa wewe ndie unaeleta chuki,unatafuna na kupuliza,umeanza kwa kuwasimanga waislamu kuwa wamepewa majengo ya tanesco mara shule zinazomilikiwa na kanisa,kisah unamalizia kwa kusema eti "tuishi kwa umoja na kuepusha kutengana"sasa kwa akili yako statement yako ipo hai kweli kwa huo umoja unaoutaka wewe??umesharopokwa yooote kisha unataka muishi kwa umoja,kauli zako ni za kinafik sana,wewe bado mtoto mdogo ws miaka ya 70 au 80 na hata pengine wa miaka ya 90,hujui lolote khs mfumo wa uongozi ulioletwa na julius nyerere,cha uzuri kabisa nyerere alikuwa hafichi kitu wala hana hiyana ya kusema ukweli,mara ngapi alishasema nchi hii itaungana na kanisa km ilivyo nchi nyengine ili kupata maendeleo ya haraka,ht alipoanza kuongoza nchi hii ilianza kwa mfumo kristo,nyinyi watoto hamuelewi haya wacheni kupiga kelele tu,wakati huo watu waliogopa kusema lkn saivi wanasema yote,nyerere aliwakandamiza sana waislam na kutamka hadharani kuwa "tumechoka na waislam na uislam" we unayajua hayo??tatizo mnazaliwa nchi mnaikuta na vyama vingi hamjui historia yenu mnabaki kuropokwa na kujifanya mnaijua sana nchi.
 
Usinishawishi nirudi kwenye Topic wakati wewe upo nje ya Topic ndiyo haya haya nimetoka kuyaandika mda si mrefu kwamba unafundisha hiki Mswikitin alafu wewe huonyeshi kwa vitendo, unafundisha vijana wajitoe mhanga wakati wewe unajiwekea mipango yako ya maisha ya baadaye na familia yako, hebu niambie Umedai Wachungwaji wanadai sadaka then wanawaambia waumini wao wamesamahewa Dhambi zao... Sasa nakuhoji je hili swala limewahi kusababisha mauaji ya watu wakiwemo watoto na vikongwe? nashangaa sana mimi nimejikita katika kuzishambulia hizi Imani za kishenzi kwa kusababisha uharifu wa mauaji na ndiyo maana zinahusishwa na Magaidi duniani kama wanavyo kiri Alshabab, Alqaeda na makundi zaidi ya 200 ya kigaidi yote yanasema yanapigania dini ya Mnyaaazi Mungu, haya tuanmini kweli huyo Mnyaaz Mungu anapiganiwa, je vitoto vichanga vilivyokufa Westgeti na kwingineko vimemkosea nini Mnyaaaz Mungu? Kama siyo ushetani ni nini?
vile vichanga vinavyouliwa na drone huvionagi ila vichanga vya westgate!!
 
Mimi ni Muislam na nipo Kilindi kulikotokea hayo yanayosemwa. Kiukweli walioshambuliwa na polisi SI WAISLAM kwa matendo yao. KUFUNDISHA WATOTO KUUA, KUCHUKIA MAKUNDI FULANI YA JAMII, KUNYANG'ANYA ARDHI WATU, KUUA WATU HADHARANI KAMA KULE LULAGO, KUKATA WATU MIKONO, KUENDESHA MAFUNZO YA KIJESHI, KUJITENGA MBALI NA JAMII, KUTOTII VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI, KATA HADI TAIFA, KUINGIZA WAGENI TOKA NCHI ZA NJE BILA UTARATIBU, KUFUNDISHA CHUKI KWA WASIO WAAMINI. Nk Huo sio uislam kwani hayo si msfundisho ya dini yetu. Dini yetu inatufundisha UPENDO NA AMANI. KUTAMBUA NA KUHESHIMU WASIO WAISLAM Nk.

Haya Wakuu maoni hayo ya mdau!
 
Usinishawishi nirudi kwenye Topic wakati wewe upo nje ya Topic ndiyo haya haya nimetoka kuyaandika mda si mrefu kwamba unafundisha hiki Mswikitin alafu wewe huonyeshi kwa vitendo, unafundisha vijana wajitoe mhanga wakati wewe unajiwekea mipango yako ya maisha ya baadaye na familia yako, hebu niambie Umedai Wachungwaji wanadai sadaka then wanawaambia waumini wao wamesamahewa Dhambi zao... Sasa nakuhoji je hili swala limewahi kusababisha mauaji ya watu wakiwemo watoto na vikongwe? nashangaa sana mimi nimejikita katika kuzishambulia hizi Imani za kishenzi kwa kusababisha uharifu wa mauaji na ndiyo maana zinahusishwa na Magaidi duniani kama wanavyo kiri Alshabab, Alqaeda na makundi zaidi ya 200 ya kigaidi yote yanasema yanapigania dini ya Mnyaaazi Mungu, haya tuanmini kweli huyo Mnyaaz Mungu anapiganiwa, je vitoto vichanga vilivyokufa Westgeti na kwingineko vimemkosea nini Mnyaaaz Mungu? Kama siyo ushetani ni nini?

After killing several people on one part of the island, he went to the other, and, dressed in his police uniform, calmly convinced the children huddled there that he meant to save them. When they emerged into the open, he fired again and again. (“For Young Campers, Island Turned Into Fatal Trap.” The New York Times, July 23, 2011) -

See more at: Christian Terrorism and Islamophobia : : Sam Harris
 
Sasa wewe ndie unaeleta chuki,unatafuna na kupuliza,umeanza kwa kuwasimanga waislamu kuwa wamepewa majengo ya tanesco mara shule zinazomilikiwa na kanisa,kisah unamalizia kwa kusema eti "tuishi kwa umoja na kuepusha kutengana"sasa kwa akili yako statement yako ipo hai kweli kwa huo umoja unaoutaka wewe??umesharopokwa yooote kisha unataka muishi kwa umoja,kauli zako ni za kinafik sana,wewe bado mtoto mdogo ws miaka ya 70 au 80 na hata pengine wa miaka ya 90,hujui lolote khs mfumo wa uongozi ulioletwa na julius nyerere,cha uzuri kabisa nyerere alikuwa hafichi kitu wala hana hiyana ya kusema ukweli,mara ngapi alishasema nchi hii itaungana na kanisa km ilivyo nchi nyengine ili kupata maendeleo ya haraka,ht alipoanza kuongoza nchi hii ilianza kwa mfumo kristo,nyinyi watoto hamuelewi haya wacheni kupiga kelele tu,wakati huo watu waliogopa kusema lkn saivi wanasema yote,nyerere aliwakandamiza sana waislam na kutamka hadharani kuwa "tumechoka na waislam na uislam" we unayajua hayo??tatizo mnazaliwa nchi mnaikuta na vyama vingi hamjui historia yenu mnabaki kuropokwa na kujifanya mnaijua sana nchi.

Tuzungumzie swala la Kilindi ili tuone dhuluma dhidi ya uislam!
 
hapo kwenye bold; Hivi mtadanganya Watz hadi lini? Unataka kutuambia hapa kuwa sera za nchi zinatengenezwa na kanisa? au viongozi wakitaka kufanya maamuzi wanaenda kanisani kuuliza? ONLY a foolish will say YES to these questions. Maana wengine tumo katika hiyo system and we are doing that, HUU ujinga ww na wenzako mmeutoa wapi? Au ndiyo mkakati wa kuombea pesa kwa wafadhili. Tuoni hoja za msingi sio ujinga huu jamani, mnataka kuwaaminisha Watoto uongo na mwishowe ni chuki tu, YOU HAVE TO STOP IT, WAZAI WENU WALIWAELIMISHA ILI MUWE FAIDA KWA KUIJENGA JAMII SIO KULETA CHUKI KWA KUFUNDISHA UONGO

Sio zinatengenezwa,zilishatengenezwa zamani sana wakati wewe hujui,muulizeni kingunge ndie anaeelewa haya,alivutana na nyerere kwa kipi unajua?? Hatuyaki kusema mengi tu yatamwaika mengi sana.
Na usidanganye watu eti umo kwenye system,kufanyakazi ktk halmashauri na manispaa ndio kuwemo kwenye hiyo system??au ndio utajua siri za serikali??ht km ukiwa usalama wa taifa bado huwezi kuelewa kitu wacha uzandiki wako wewe,unatoa povu kwa mambo usiyoyajua,nani asiejua kuwa nchi inaendeshwa kwa mfumo kristo???au kwakuwa rais muislam unaona nchi ya kiislam sio??rais anaongozwa na usitake yasemwe mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom