Tatizo ni dini hii ilianza kwa ushauri wa mganga wa kienyeji, kitabu cha maisha ya muhamad uk.7. tatizo lilianzia hapa. unategemea nini matokeo ya wafuasi wake kama si kuwa na hakili za kiganga ganga?. nauliza tu.
Waislamu wa wapi wanafanyiwa Ushenzi?.Kama ni Tanzania siamini kama Serikali ya CCM inaweza kuyafanya haya.Jengeni vyuo watu waelimike.[/QUOTE
ukiona mtu anavaa tineti na yeye ni mwanaume ogopa sana hii mikitu, imekalia kulalamika tu na kujazana ujinga. kila sehemu ya dunia yenye mauaji yapo majitu haya.badilikeni ndg zangu mkifuata mambo ya Osama Mungu atawachinjia baharini.
kwanini walijitenga na jamii, au uisilamu unaagiza hivyo, mbona wewe hauko polini? nauliza tu.
Tatizo ni dini hii ilianza kwa ushauri wa mganga wa kienyeji, kitabu cha maisha ya muhamad uk.7. tatizo lilianzia hapa. unategemea nini matokeo ya wafuasi wake kama si kuwa na hakili za kiganga ganga?. nauliza tu.
Kuna mambo kama haya hayana maaana kabisa
sisi tunasaka pesa na kusoma sana hatuko bize kuangalia dini wakati dini zimeletwa na watu kwa hiyo sina muda wa kujadili vitu hivyo
nikianza kujadili watu wanapiga hatua mara uanze kulaumu ooo fulani kasoma sana na amepewa cheo kikubwa sasa upewe cheo wakati hujafika vigezo vya kupewa
ndio maana mazungu yanatuzidi majitu yanapiga hatua huku watu wakijadili udini
Miezi michache
iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa
katika vijiji vya Handeni.
Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika
mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.
Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete.
Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji
vimeteketezwa.
Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya
risasi.
Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana
waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na
askari.
Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga
baada ya kukutwa porini.
Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.
Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa
Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa
porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande
walioshambuliwa na askari pasi na sababu.
Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor
Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa
Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.
Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja
katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha
kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''
Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh
Chanmbuso.
Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na
maadamano yoyote.
Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na
habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina,
Dibungo na Lwande.
Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji
vilivyoshambuliwa.
Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti
maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na
kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam
zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.
Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.
PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.
Mods asifute ila mtuache nyie Wakristu ili sie Waislam tufundishane maana inaonekana chuki ya mtu binafsi inatumika kidini. Nani haoni kuwa sie Waislam ndio tunanufaika na bado tunazidi kulalama. Angalia ndugu zetu wa Zenji wanavyonufaika na huu muungano lakini wale siasa khali wanayao. Ukweli utabaki ukweli dini ni kitu cha kimapokeo mtu anaweza iacha hii akajiunga na nyingine. Huyu ndugu yangu MS ana yake ila anatafuta mgongo wa dini ili akalipize. Nitatoa hoja zangu baadayeMods futa huu uzi umeletwa na Gaidi MS..
It is well stated, kwamba ni vita dhidi ya ugaidi. Mtoa mada uko so biased. Na people like you ndo mnaospoil peace.
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.
Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.
Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.
Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya risasi.
Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.
Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga baada ya kukutwa porini.
Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.
Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari pasi na sababu.
Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.
Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''
Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Chanmbuso.
Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na maadamano yoyote.
Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.
Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.
Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.
Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.
PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.
Mleta mada MS ni gaidi..
mkuu madawa ya kulevya husambazwa na ukristo?? mbona hoja yangu ya awali hujajibu?
Nasikia nchi za kislam ndo zinatengeneza madawa ya kulevya!!hata hapa bongo sheikh anakula milungi!!
Dini ambayo kwangu mimi kama mwafrika ina mantiki ni ile ambayo ukirudi nyuma vizazi vitano hadi saba iliyokuwa wakiiabudu,yaani hao bau na bibi zetu kabla hawajavamiwa na hawa mashetani na mijitu mikatili ya kiarabu na wazungu..ile ndio dini iliyotambua uafrika wetu. kwa ufupi tu kama kuna vitu ambavyo vimechangia kutufanya watu weusi tuwe ma-zombie ni hizi dini, hizi dini mnazoziabudu ndio zinazotufanaya tuchukiane, tuuane wenyewe kwa wenyewe eti kisa dini yangu ni bora kuliko yako,yule anamuita mwenzake kafir na majina mengine ya ajabu ajabu kisa tu dini ya muarabu au mzungu?dini unazozipenda ni dini zilizoletwa na watu wa rangi gani?
Na nini maana ya kuletwa?
Mods futa huu uzi umeletwa na Gaidi MS..
Ntuzu,
Umepanua uwanja wa majadiliano.
Hapa mimi nimeleta taarifa za watu ambao hata gazeti la siku hawasomi.
Watu wa vijijini ambao hawajamdhuru mti yoyote wala hawajui ugaidi ni kitu gani.
Nina uwezo wa kjadili hayo na kwa kweli nimepata kutoa mada ya ugaidi katika
Afrika Mashariki Chuo Kikuu cha Ibadan.
Lakini hapa si mahala pake.
Mbunge mkristo hatowasaidia.na hili tayizo jengine la waislam bado tunaendelea kuwachagua hawa !! Lazima tubadilike iwe fundisho sehemu za waislam kuwa na mbunge mkristo hatawasaidia hata siku moja