Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Wewe huna elimu ndio sababu ukaandika uliyo andika!
Ohh mimi mkiristo kabisa!
Kwanza hapo tu! Ni nani aliyekuambia wewe "uwe mkiristo"? Hio si mmebuni tu nyie!
Cha pili ulitegemea huo MFUMO KRISTO UWE NA OFISI HAPO DAR NDIO UUJUE KUWA UPO?
Unajisifu kuwa umesoma halafu unaongea utumbo namna hii!
Eti.mi SIDHANI...bla..bla...bla..!
We kwa akili yako watu wanaishi KWA KUDHANI??

Nyie ndio maana yule MNAFIKI PAULO hakupata tabu kuwa Convince kuwa japo yeye aliuwa mamilioni ya WAKRISTO WA KWELI eti alioteshwa kuwa yeye ni Nabii!
Na nyie mambulula wooote mkamkubali

We kaa na elimu yako ya kata!
Watanzania wengine wenye busara na elimu watafahamh nini kinaongelewa hapa.

Mimi sijakuja hapa JF kutukanana wala kukejeliana...kutoa maoni kwa uhuru. nimekuja kujifunza na kundisha wengine..... ikitokea hukubaliani na maoni yangu bora ukapuuzia tu..... maana kunitukana na hata bila kuelimisha kwa njia inayoeleweka....... haitanifanya nibadili mtazamo na maoni yangu kuhusiana na kitu hicho cha kufikirika ukiitacho eti mfumo kristo..... mara nyingi watu wanakuuliza jinsi mfumo huo ulivyo na unavyofanya kazi..... wewe unaishia kutukana tu ...... tunashindwa kuelewa lengo lako ni nini sasa.

Pia nakumbuka niliwahi kukuambia kuwa lete ushahidi wa kuonesha jinsi Nyerere baba wa Taifa alivyokuwa akiwapendelea wakristo na kuwachukia waislam na kuifanya nchi kuwa ya kikristo... wewe unajibu kwa matusi...

Nilikuambia kuwa nitaleta ushahidi kuonesha Nyerere alipigania nchi kuwa isiyo na dini...secular country... ukatoa kejeli.....

lingine ni kuwa unapenda sana kutoa kejeli kuhusiana na shule za kata.... siyo jambo jema.. kwa maana huo ni mwanzo mzuri wa kuelimisha watanzania...... licha ya changamoto zake...lakini kuna kitu kimefanyika...... mimi kijiji ninachotoka kuna kijana ambaye alisoma shule ya kata sasa anafanya masters pale Ujerumani....... hivyo si vyema kuzibeza...ni mwanzo mzuri, kwani sasa hatuongelei kujenga madarasa....bali kuongeza waalimu.... cha msingi ni kushauri namna ya kuziboresha......

Mwisho ni kuwa dharau, jazba na kejeli hazijengi... na pia Mwenyezi Mungu nina uhakika hafurahishwi nayo.... mbali na yote ukatae usikatae sisi wote ni watanzania tuna shida zile zile.... kama ni magonjwa, ufisadi, ambazo haziangalii imani tulizonazo... cha msingi tupendane woote.... na penye tofauti au matatizo tuzungumze.... kwa hakuna jambo lisilo zungumzika...

Nyie mmefanya utafiti gani?
Uko wapi?

Hilo ni swali umemaanisha au ni katika mwendelezo wa chuki zilizojaa sababu ya dini?

Eiyer
Kumbuka huyo unayejadili uzi wake tayari keshaandika vitabu vya Historia ya nchi yako na yaliofichwa,
Kuwa mkweli, kama kapotosha ukweli wa Historia ya nchi yako, kwanini asishughulikiwe wakati anafahamika hadi kwake?

Na sijabahatika kuona andiko japo la karatasi mbili kupinga aliyoyaandika juu ya ukweli wa alichokiandika, badali yake ni matusi na kejeli,

Unakoelekea ni kutaka kunipa utata wa elimu yako,

Hivi hapa jukwaani ni pahala pa mtu kulala na kuamka akaleta kitu anavyojisikia bila tafiti...?!

Tafuta hoja ili watu wapate faida kwani wengi wanafuatilia usidhani u-peke yako.
 
jihadi ndio suluhisho
Nakubaliana nawe kuwa:
jihadconcept.png
 
Waislamu na malalamiko bandia, tukiwaambia tushirikiane kuwang'oa maccm mnakataaa nakufungamana na maccm au chama cha mamwinyi wa ukanda wa Pemba a.k.a cuf.
tambueni adui yenu, hapo mtajikomboa kirahisi
 
I liked the answer of this German Muslim scholar when he was asked on a live TV show about terrorism and Islam. He said:
Who started the First World War? Was it Muslims?
Who started the Second World War? Was it Muslims?
Who killed about 20 million Aborigines in Australia? Was it Muslims?
Who sent the nuclear bombs to Hiroshima and Nagasaki? Was it Muslims?
Who killed more than 100 million Indians in North America? Was it Muslims?
Who killed more than 50 million Indians in South America? Was it Muslims?
Who took about 180 million of African people as slaves, of whom 88% died and thrown in the Atlantic? Was it Muslims?
No, they weren¡¯t Muslims! First, you have to define terrorism properly. If a non-Muslim does something bad, it is a crime. But if a Muslim commits the same act, he is a terrorist.
First remove this double standard,and then come to the point!"
Kiongozi mmoja wa juu wa serikali ya Marekani alizungumza hadharani na kusema we are not fight against terrorism rather we are fighting against Islam. Haya maneno aliyazungumza wakati wa uvamizi wa majeshi ya Marekani kule Iraq. Uislamu umekuwa so special sana duniani tangu uje kuhuishwa na Mtume Muhammad Salama na amani zimfikie jambo linalohatarisha ustawi wa dini nyingine hasa za kishetani kama ufremasonic. Uislamu hauna uadui na Uyahudi wala ukristo ila chakushangaza uadui walionao watu wa dini nyingine dhidi ya uislamu inatia huzuni na mashaka makubwa sana. Ukipitia vifungu mbalimbali vya mafundisho ya uislamu unakuta jinsi ilivyoelekezwa kuishi na asiekuwa muislamu na pia kuheshimu imani yake bila kumlazimisha imani ya uislamu lakini vita imekuwa ni kubwa sana kuushambulia uislamu. Hapa ndio ninapokuja na kuyakumbuka miongoni mwa maneno ya Mungu na mtume wake kuhusu dini nyingine jinsi zitakavyouangalia uislamu karne hizi. Mifano ni mingi ndani ya Quruani kuhusu haya ya uadui wa wakristo na mayahudi na vipote vyengine vitokanavyo na dini hizi mbili. Kuna hadith moja mimi naiita ya utabiri wa Mtume Muhamad Salama na amani zimfikie kuhusu uadui wao dhidi ya uislamu. Hadith ameipokea Imamu Tirmith r.a Mtume asema "YANAKARIBIA KUITANA MATAIFA MBALIMBALI DHIDI YENU(waislamu) KAMA WAITANAVYO WALAJI WANAPOIZUNGUKA SAHANI YA CHAKULA, WAKAULIZA MASWAHABA MUNGU AWAWIE RADHI, JE HIYO ITAKUWA SABABU YA UCHACHE WETU ZAMA HIZO WATAKAPOITANA DHIDI YETU EWE MTUME WA MWENYEZI MUNGU? MTUME AKAWAJIBU HAPANA, BALI NYINYI ZAMA HIZO NDIO MTAKUWA WENGI DUNIANI LAKINI WINGI WENU UTAKUWA KAMA POVU LA BAHARI(many for nothing). Akaendelea kusema MWENYEZI MUNGU ZAMA HIZO ATAONDOA KATIKA NYOYO ZA MAADUI WENU WOGA WA KUWAOGOPA NA ATAINGIZA KATIKA NYOYO ZENU WAHANI(kupenda duniani na kuchukia mauti)" leo maneno hayo yaliotamkwa karne ya 7 na sasa ni ya 21 tunaona ukweli wake. Imetangazwa kuna magaidi kule Mtwara vijana wale 11 Tanzania nzima imezizima na watu wote wakawa mstari wa mbele kulaani kikundi kile japokuwa mwisho wamegundilika ni wachoma mkaa tu, waislamu kule Handeni wameuwawa kama kuku watanzania wote kimya hakuna taarifa wala mwenye kulaani kitendo kile. Wameuliwa waislamu kule Pemba Mwaka 95/2000 baada ya uchaguzi watu kimya kisa waislamu lakini Mwangosi tu Tanzania na dunia nzima imejua, the list goes on. Hili ndio linaloisumbua dunia kwasasa. Vita dhidi ya uislamu na waislamu. Ugaidi ni kivuli tu. Matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yalipaswa kulaaniwa yote lakini kitendo cha kuchagua kinaleta hostility kubwa sana na kuacha majeraha yasiotibika. Usimuone muislamu akaamua kujilipua na kuua ovyo ni kwakuwa watu wanachoka kuonewa na uvumilivu kuwaisha. MUNGU IBARIKI TANZANIA. Cc kahtaan, Ritz, THE BIG SHOW et al.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ningependa ukiulizwa Swali utolee majibu Kutokana na Swali jinsi lilivyo!

Mimi niko Bado juu ya amri Kwa vyombo vya dola hutoka Kanisani Au serikini?

Alafu nilikua Nasema tangu mwanzo Kua huu mfumo Wa kimataifa Au ni Tz tu! Kuujadili kimataifa unakataa lkn ktk maelezo yako unayaangiza mataifa ya nje na hii inaonesha wazi km huu mfumo asili Yake si Tz! Ebu Kua muwazi ili mada iwe pana Zaidi!

Ntuzu,
Nimechukua muda kueleza tatizo na nimekupa rejea za kusoma ili upate ufahamu
zaidi.

Ikiwa unataka nikujibu kwa staili za ''ndiyo'' ''hapana'' mimi si wa hivyo.
Lakini nimejifunza jambo kwako.

Wewe ni mgeni katika mambo haya ingawa unapenda kujadili.
 
Sijaona hoja hata moja ya hawa watu yenye mashiko
Naona wanakuwa kama wanawake,hawaishi kulalamika

Mahali hawa watu ni dhaifu wanajidai wanaonewa ili watimize azma yao
Mahali ambapo wana nguvu ni marufuku kuhubiri imani tofauti na yao

There is no different between Islam and Nazism by Ali Sina!![Alisina.org]

Utaweza vipi kukubali hoja za wapinzani wako wakati wewe ni katika wakereketwa?

Na ujuwe hapa ni uwanja wa kuweka mambo wazi yaliyofichwa/kupotoshwa si pahala pa kulalamika,

Wewe unamsaada gani juu ya hao watu?
Wakati wewe mwenyewe ni mkereketwa na pindi yawapatapo hao wapinzani ndo furaha kwako?

Kumbuka lengo la kuweka uwazi na mambo yafichwayo ni kuwa ipo siku hao WAONEWAJI watasema kwa matendo tumechoka na nyuma haturudi hata moja hatua,

Sasa hizo kejeli ndipo itakuwa mwisho wake na hayo usemayo hijaona hoja ndipo utakiri kuwa zilikuwa hoja na ni hoja mpaka sasa.
 
conclusion:

ni wazi vita dhidi ugaidi ni crusade. Ni vita dhidi ya uislam,waislam ,dhidi ya mila , desturi na utamaduni wao .USA walikua na nia ya dhati kabisa kupambana na uislam mara baada ya kuona Taifa la USSR limeporomoka pamoja na itikadi nzima ya ukomonisti. Marekani ikabaki kuwa Taifa pekee lenye nguvu duniani na ubabe bila ya kupingwa na yoyote.
kuafatia hatua hii aliyekua rais wa marekani Reagan alitangaza rasmi kuwa sasa Marekani haina adui mwengine ila uislam.alisema madhali kitabu hiki(yaani quraan) kingalipo basii hatutaweza kutawala dunia kwa kupumua hivyo lazima tuwapige vita.hapa tunazungumzia mara baada ya kina Sheikh Osama kwa ufadhili wa Marekani hao hao kuweza kuwaondoa USSR kule Afghanistan.
kutokana na kauli hizi...ikafatia na mapinduzi ya Iran na kusimikwa Serikali ya kiislam ya Iran chini ya Khomeini, hii ni mara tu baada ya Reagan Kuondoka.
Taifa hilo likaanza kujenga chuki na waislam kwa kusaidia madektecta kama Sadaam KUIVAMIA kwanza iran..ambapo marekani walimsaidia kuishambulia iran na waliweza kumpa silaha za maangamizi na ruhusa ya kuzitumia dhidi ya iran na wa kurd.
vita ile mbali ya kuua watu zaidi ya million hasa wa iran ilii filisi iraq na marekani akampa go ahead kuivamia kuwait.
hapo ikapatikana sababu ya kupigwa sasa sadam na iraq.
hii yote ilikua ni crusade lakini inapigwa kwa ustadi mkuu.
haya yakiendelea yale makundi yao kama al qaeeda yakaanza kugombana na wafadhili wao .hawakukubaliana na marekani kuipiga iraq wao walitaka itafutwe suluhu...lakini kwa vile marekani wapo kwenye crusade hawakutaka suluhu na sadam akapigwa.
nao kikundi chao alqaeda wakashambulia kambi za jeshi marekani.na kilichofata ni kama TOM AND JERRY kati ya Alqaeda na mfadhiliwao....akipiga huko na wao wanapiga kule..mpaka hapa kwetu ubalozi wao ukanyukwa na kule kenya.

na wao wakapiga makambi yao kule tora bora..mwisho wa mambo ukahitimishwa september 11...kwa kupigwa majengo pacha ya world trade centre.

mashambulizi yale yalitoa mwanya kwa marekani kwani sasa wamepata sababu nia walikua nayo tangu enzi za reagan ya kuunza rasmi vita dhidi ya uislam.Bush alisema maneno haya..."This crusade, this war on terrorism, is going to take a while."
yaani hii ni vita ya kanisa dhidi ya uislam (crusade)na itachukua muda kumalizika( ukitilia maanani anapigana na dini ya Allah na zaidi ya watu billion moja)
hivyo hapo ndio tulipo anza alitangaza rasmi mataifa yote lazima yaungane na yeye kwenye crusade yake na yaliyo kataa basi nao wako na waislam...
japo walikua wakitumia neno war on terorism lakini lengo ni kuwapiga vita waislam kidogo kidogo .
  • alianzia afghanistan..mpaka leo wapo bado wanaua.
  • wakaenda iraq bado waislam wana kufa
  • somali nako hawakua salama wameingiliwa
  • yemen nako kila siku drones zinawaangamiza
  • kenya nako waislam walikamatwa bila ya sababu
  • tanzania napo kwanza tukakubali kuwa mshirika wa marekani katika vita hii dhidi ya wailam yaani crusade kwa kutunga sheria ya 'ugaidi' ambayo neno kwa neno limeko piwa..copy and paste ya sheria ya patriotic act ya marekani. wasomi mbali mbali walisema sheria hii si sawa hapa kwetu ..inakusudia kuwaangamiza waislam na ni ya hatari lakin i Rais mkapa alikataa na kuwatisha wasomi hao kwa kuwambia mmesomeshwa na ccm basi nyamazeni.
  • tangu ianze hapa tanzania imetumika kukamata kutia watu ndani bila ya sababu..na wote ni waislam tu.
hivyo hitimisho ni kuwa taifa letu limepotoka kwa kukubali kuingia katika vita ya marekani kupigana na waisalm popote pale , sisi hatukuangalia taifa ni la waislam pia..lakini tukawadharau na kukubali kutumiwa na crusaders...
askari wamepewa mafunzo na master crusader...na nani anajua mafunzo hayo yanahusu nini ? lakini inawezekana moja ni kuwa wewe usiulize kitu unapofanya operation ambayo imetangazwa ni ya kupambana na kigaidi wewe vunja piga ua...hata kama kuna uongo ...ndio kama hii iliyo tokea Tanga Huko Kilindi......askari wale wakajazwa upepo na wakakumbuka mafunzo yao....

ndio maana hata rasimu ya katiba inayo kuja haitoi uhuru na haki za maana kwa raia...katiba bado itakua iko chini ya sheria ya ugaidi .aka.uislam.
tuache kutukana ..hakuna ugomvi kati ya raia wa dini hizi lakini kuna vibaraka na mawakala wakanisa amabo wao wana ona labda ukibamizwa uislam ndio njia ya wao kupanuka......ni akili mbovu tu kufikiria hivo kwani sasa watu dini wanasoma na kuchambua kujua ukweli na sio kufata kwa sababu ya urithi wa wazee.
 
waislamu na malalamiko bandia, tukiwaambia tushirikiane kuwang'oa maccm mnakataaa nakufungamana na maccm au chama cha mamwinyi wa ukanda wa pemba a.k.a cuf.
Tambueni adui yenu, hapo mtajikomboa kirahisi

afadhali hawa nyie si ndio mayahudi kabisa...
 
Waislamu na malalamiko bandia, tukiwaambia tushirikiane kuwang'oa maccm mnakataaa nakufungamana na maccm au chama cha mamwinyi wa ukanda wa Pemba a.k.a cuf.
tambueni adui yenu, hapo mtajikomboa kirahisi

Bahati mbaya sana mdogo wangu unaendelea kuchelewa kujitambua,
Sisi Waislaamu tulishazinduka muda mwingi sana sana,

Sasa hatuna muda wa kupoteza bahati mbaya kubwa ni hiyo ya matumizi mabovu ya muda,

Kwetu sisi hujifunza mazuri navkuyafanyia kazi na mabaya na kuyaepuka, yaliyosahaulika katika mazuri tukayaunganisha,

Chama si muhimu sana kwetu, muhimu ni haki kuchukua mkondo wake,
Hicho chama kaa nacho wewe ambaye upo usingizi wa nusu kaputi,

Ushirika waliuanza wazee wa kiungwana wa Kiislaamu/wazee wetu si wewe leo wa kutudhihaki na matumizi yako mabaya juu ya muda,

Hayo mabandiko bandia kumbuka ni ya wale ambao mlidhani hawajasoma na kuwakeli hawataki kusoma,
Hilo la kutokusoma leo si hoja tena,
Hoja leo eti ni bandiko bandia...c

Ha ha ha haaa.....!

Kijana tengua shuka kumepambauka na haki yaelekea kudhihiri ndo wasi wasi ukakujaeni mithali ya kuvimbiwa,

Dhulma haidumu na ikidumu hainufaishi.
 
Hilo ni swali umemaanisha au ni katika mwendelezo wa chuki zilizojaa sababu ya dini?
Nimemaanisha na wala sina chuki yoyote ile kama unadhani ninayo hilo ni tatizo lako
Eiyer
Kumbuka huyo unayejadili uzi wake tayari keshaandika vitabu vya Historia ya nchi yako na yaliofichwa,
Historia ya nchi yangu ipi?
Yapi yamefichwa?
Yeye kayagunguaje?
Kuwa mkweli, kama kapotosha ukweli wa Historia ya nchi yako, kwanini asishughulikiwe wakati anafahamika hadi kwake?
Kupotosha na kushughulikiwa ni vitu viwili tofauti

Wale mafisadi waliofisidi hela za EPA mbona hawajashughulikiwa?
Je kutokushughulikiwa kwako kunawafanya kuwa hawana hatia au walisingiziwa?
Na sijabahatika kuona andiko japo la karatasi mbili kupinga aliyoyaandika juu ya ukweli wa alichokiandika, badali yake ni matusi na kejeli,
Nani kamtusi?

Mbona tumeshampinga hapa mara nyingi tu?
Au unataka hadi waraka uandikwe na serikali ndio ujue kuwa kapingwa?

Kama ana ushahidi wowote wa madai yake mbona hataki kuuweka hapa?
Au hana?
Unakoelekea ni kutaka kunipa utata wa elimu yako,
Wewe kupata utata wa elimu yangu hakuwezi kuifanya elimu yangu kutokuwepo au kutokuwa na maana
Hilo ni tatizo lako

Unaposhindwa kuielewa sentensi kwa sababu huwezi kusoma kisukuma sio tatizo la sentensi bali ni tatizo lako la kushindwa kusoma kisukuma
Hivi hapa jukwaani ni pahala pa mtu kulala na kuamka akaleta kitu anavyojisikia bila tafiti...?!
Kabisa
Huyu ni mfano mmojawapo
Kama ana ushahidi alete hapa
Tafuta hoja ili watu wapate faida kwani wengi wanafuatilia usidhani u-peke yako.
Kabla sijasema lolote kuhusiana na mada nimeomba ushahidi kitu ambacho mtoa mada hajakifanya hadi sasa
Unadhani kuna hoja ya msingi hapa?

Hizi ni porojo tu za mtu mwenye wivu na maendeleo na watu wengine

Mtu anakuja hapa na kusema waislam wamefanyiwa hivi au vile bila kusema ni kwanini anawataja kwa imani zao lakini kikubwa zaidi ni kutokutoa ushahidi wa hao kutendwa aliyodai wametendwa kwa mujibu wa dini zao

Huyu kuna haja hata ya Serikali kumjibu kweli?
 
I liked the answer of this German Muslim scholar when he was asked on a live TV show about terrorism and Islam. He said:
Who started the First World War? Was it Muslims?
Who started the Second World War? Was it Muslims?
Who killed about 20 million Aborigines in Australia? Was it Muslims?
Who sent the nuclear bombs to Hiroshima and Nagasaki? Was it Muslims?
Who killed more than 100 million Indians in North America? Was it Muslims?
Who killed more than 50 million Indians in South America? Was it Muslims?
Who took about 180 million of African people as slaves, of whom 88% died and thrown in the Atlantic? Was it Muslims?
No, they weren¡¯t Muslims! First, you have to define terrorism properly. If a non-Muslim does something bad, it is a crime. But if a Muslim commits the same act, he is a terrorist.
First remove this double standard,and then come to the point!"
Kiongozi mmoja wa juu wa serikali ya Marekani alizungumza hadharani na kusema we are not fight against terrorism rather we are fighting against Islam. Haya maneno aliyazungumza wakati wa uvamizi wa majeshi ya Marekani kule Iraq. Uislamu umekuwa so special sana duniani tangu uje kuhuishwa na Mtume Muhammad Salama na amani zimfikie jambo linalohatarisha ustawi wa dini nyingine hasa za kishetani kama ufremasonic. Uislamu hauna uadui na Uyahudi wala ukristo ila chakushangaza uadui walionao watu wa dini nyingine dhidi ya uislamu inatia huzuni na mashaka makubwa sana. Ukipitia vifungu mbalimbali vya mafundisho ya uislamu unakuta jinsi ilivyoelekezwa kuishi na asiekuwa muislamu na pia kuheshimu imani yake bila kumlazimisha imani ya uislamu lakini vita imekuwa ni kubwa sana kuushambulia uislamu. Hapa ndio ninapokuja na kuyakumbuka miongoni mwa maneno ya Mungu na mtume wake kuhusu dini nyingine jinsi zitakavyouangalia uislamu karne hizi. Mifano ni mingi ndani ya Quruani kuhusu haya ya uadui wa wakristo na mayahudi na vipote vyengine vitokanavyo na dini hizi mbili. Kuna hadith moja mimi naiita ya utabiri wa Mtume Muhamad Salama na amani zimfikie kuhusu uadui wao dhidi ya uislamu. Hadith ameipokea Imamu Tirmith r.a Mtume asema "YANAKARIBIA KUITANA MATAIFA MBALIMBALI DHIDI YENU(waislamu) KAMA WAITANAVYO WALAJI WANAPOIZUNGUKA SAHANI YA CHAKULA, WAKAULIZA MASWAHABA MUNGU AWAWIE RADHI, JE HIYO ITAKUWA SABABU YA UCHACHE WETU ZAMA HIZO WATAKAPOITANA DHIDI YETU EWE MTUME WA MWENYEZI MUNGU? MTUME AKAWAJIBU HAPANA, BALI NYINYI ZAMA HIZO NDIO MTAKUWA WENGI DUNIANI LAKINI WINGI WENU UTAKUWA KAMA POVU LA BAHARI(many for nothing). Akaendelea kusema MWENYEZI MUNGU ZAMA HIZO ATAONDOA KATIKA NYOYO ZA MAADUI WENU WOGA WA KUWAOGOPA NA ATAINGIZA KATIKA NYOYO ZENU WAHANI(kupenda duniani na kuchukia mauti)" leo maneno hayo yaliotamkwa karne ya 7 na sasa ni ya 21 tunaona ukweli wake. Imetangazwa kuna magaidi kule Mtwara vijana wale 11 Tanzania nzima imezizima na watu wote wakawa mstari wa mbele kulaani kikundi kile japokuwa mwisho wamegundilika ni wachoma mkaa tu, waislamu kule Handeni wameuwawa kama kuku watanzania wote kimya hakuna taarifa wala mwenye kulaani kitendo kile. Wameuliwa waislamu kule Pemba Mwaka 95/2000 baada ya uchaguzi watu kimya kisa waislamu lakini Mwangosi tu Tanzania na dunia nzima imejua, the list goes on. Hili ndio linaloisumbua dunia kwasasa. Vita dhidi ya uislamu na waislamu. Ugaidi ni kivuli tu. Matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yalipaswa kulaaniwa yote lakini kitendo cha kuchagua kinaleta hostility kubwa sana na kuacha majeraha yasiotibika. Usimuone muislamu akaamua kujilipua na kuua ovyo ni kwakuwa watu wanachoka kuonewa na uvumilivu kuwaisha. MUNGU IBARIKI TANZANIA. Cc kahtaan, Ritz, THE BIG SHOW et al.

Mkuu Chamviga nimekupata kwelikweli! Sasa Mkuu unalalamika juu dhuluma yeyote Kwa Watz na wakati Kutwa. Ndugu Yangu unaeneza propaganda za Ccm!

Hili swala umelielezea vizuri Kua hili ni la Dunia nzima na ndugu zangu nimekua nawambia Kua hili swala la kimataifa wamekua hawanipi majibu na kubaki Kusema Tz tu na wakati hili swala liko wazi Kua asili Yake si hapa!

Umezungumza juu ya Unabii na umesema Kua Yale yaliyosemwa karne ya 7 sasa yanaanza kutimia! Kwa Hiyo hili swala ni swala la Imani dhidi ya MUASI na si serikali! Nandio maana hapo nyuma Mimi Nimesema mamlaka zote Duniani zinamafungamano na MUASI. Lakini ktk hoja hizo sioni Watu kujikita Zaidi. Naona Watu wanalaumu tu! Na wakati tatizo kubwa hapa ni Shetani!

Hili Jambo si la kujadili bila maandiko!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa zinaa hawezi kujificha!
Mnapewa elimu za bure, badala ya kutoa shukranj kwa mwalimu Mohamed said. Mnamwaga uharo wenu.

Halafu hasa nyie wenye menu ya kuungua! Ni kabila lenye laana!
Nimeskia asili yenu ni ile kabila kutoka congo ya wala mavi na vibudu.!!

Wakati wasomi wanafundisha hapa jukwaani kuhusiana na how the system works along with MFUMO KRISTO we ulikuwa unabatizwa??

Au ulikuwa.nyuma ya madhabahu unasamehewa.dhambi na mchungwaji??

Nchi hii inaangamia kila siku kwa sababu ya misukule kama wewe!
Halafu siku za nyuma ulijigamba kuwa wewe ni mwanasheria!!😕😕
Sasa kama mwanasheria ana akili.mbivu kiasi hiki!
Sijui hao wahalifu watakuwa.na akili namna gani!!
Teh teh teh teh!
ha ha ha ha! hivi wakati baba na mama yako wanakutengeneza ulishuhudia? au ndiyo unajishuku kuwa kuwa u mtoto kharamu? hizo elimu peaneni na akina FaizaFoxy!
 
Utaweza vipi kukubali hoja za wapinzani wako wakati wewe ni katika wakereketwa?

Na ujuwe hapa ni uwanja wa kuweka mambo wazi yaliyofichwa/kupotoshwa si pahala pa kulalamika,

Wewe unamsaada gani juu ya hao watu?
Wakati wewe mwenyewe ni mkereketwa na pindi yawapatapo hao wapinzani ndo furaha kwako?

Kumbuka lengo la kuweka uwazi na mambo yafichwayo ni kuwa ipo siku hao WAONEWAJI watasema kwa matendo tumechoka na nyuma haturudi hata moja hatua,

Sasa hizo kejeli ndipo itakuwa mwisho wake na hayo usemayo hijaona hoja ndipo utakiri kuwa zilikuwa hoja na ni hoja mpaka sasa.

Unachanganya madawa
Nimesema sijaona hoja yenye mashiko na sio kukubali

Kukubali ni pale ambapo mtu ameshaleta hoja
Nyie hamjaleta hoja hapa
Mmeleta malalamiko tu bila ya ushahidi wa hayo

Au hujuo hata hoja ni nini?
 
Mtoto wa zinaa hawezi kujificha!
Mnapewa elimu za bure, badala ya kutoa shukranj kwa mwalimu Mohamed said. Mnamwaga uharo wenu.

Halafu hasa nyie wenye menu ya kuungua! Ni kabila lenye laana!
Nimeskia asili yenu ni ile kabila kutoka congo ya wala mavi na vibudu.!!

Wakati wasomi wanafundisha hapa jukwaani kuhusiana na how the system works along with MFUMO KRISTO we ulikuwa unabatizwa??

Au ulikuwa.nyuma ya madhabahu unasamehewa.dhambi na mchungwaji??

Nchi hii inaangamia kila siku kwa sababu ya misukule kama wewe!
Halafu siku za nyuma ulijigamba kuwa wewe ni mwanasheria!!😕😕
Sasa kama mwanasheria ana akili.mbivu kiasi hiki!
Sijui hao wahalifu watakuwa.na akili namna gani!!
Teh teh teh teh!
ha ha ha ha! hivi wakati baba na mama yako wanakutengeneza ulishuhudia? au ndiyo unajishuku kuwa kuwa mtoto kharamu?
 
Ntuzu,
Nimechukua muda kueleza tatizo na nimekupa rejea za kusoma ili upate ufahamu
zaidi.

Ikiwa unataka nikujibu kwa staili za ''ndiyo'' ''hapana'' mimi si wa hivyo.
Lakini nimejifunza jambo kwako.

Wewe ni mgeni katika mambo haya ingawa unapenda kujadili.

Mkuu Mimi si mgeni Wa mambo haya km ulivyosema! Na pia umenipa rejea ndio Lakini km hizo rejea zitakua zinaonesha Adui wenu ni serikali zitakua na mapungufu! Kwasababu Adui yenu mkubwa ni mwakilishi Wa shetani duniani na si serikali Hizi!

Mkuu Mimi ni mkristo! Na haya mambo yote nayajua Kutokana na maandiko! Naelewa hapo zamani kulikua na nini! Na Tuko wapi sasa na kutatokea nini hapo badae kabla ya mwisho Wa Dunia! Naelewa Unabii Wote dhidi ya Dunia na Uasi Yani shetani!

Kitu ambacho unaona km tunabishana Naona ktk hoja zenu km kuna vitu vinapungua na haviko wazi na serikali si ya kulaumiwa ktk haya!
Kuna post moja nimetuma hapo nyuma nikisema ni vema mtu kumwabudu na kushika Imani yake mwenyewe na si kutegemea serikali.
 
Unachanganya madawa
Nimesema sijaona hoja yenye mashiko na sio kukubali

Kukubali ni pale ambapo mtu ameshaleta hoja
Nyie hamjaleta hoja hapa
Mmeleta malalamiko tu bila ya ushahidi wa hayo

Au hujuo hata hoja ni nini?

Madawa mmeyachanganya ninyi na sasa yanakuvurugeni na dawa halisi ni haya yanayowekwa wazi,

Mada
KWELI TUNAPIGA VITA UGAIDI AU NI VITA DHIDI YA UISLAMU?

Sasa twende ambapo pamekutatiza na si ulete porojo.
 
Ndugu yangu Eiyer....... usipoteze muda wako kubishana na watu ambao siku zote wanamtafuta wa kumlaumu ikitokea kuna tatizo.....

Binafsi mimi ni mkristo kabisa..... lakini hakuna siku ambao ukristo wangu ulinisaidia kufanikisha mambo yangu.... katika maana ya kuwa mfumo kristu haujawahi kunisaidia kufanikisha jambo hata moja......haujawahi..... kamwe... Ninachojua maendeleo ya mtu ni juhudi za mtu binafsi..... bila kujali dini yake..... mimi nimeona.... jamii ya kiislam pegine inakuwa nyuma kielimu kwa kuiga desturi za kiarabu..... maana utaona watoto badala ya kuwapeleka shule wasome ili wapate elimu itakayo wasidia kupambana na changamoto za mazingira yanayowazunguka wao huwapeleka madrasa..... wapelekeni watoto shule...ili wapate ujuzi wa kupambana na maisha.....

wewe kuna watanzania kibao wanahangaika na maisha bila kujali imani zao.... kwa nini mfumo huo kristo usiwasaidie wakristo kibao ambao wanapigika na maisha..... watu wanaoleta udini wamefilisika kisiasa..... nao ni wa kuwaepuka kama ukoma.....

Ila sifichi..... kuna sehemu ukabila ulinitoa kimtindo..... kuna watu walitaka kuniwekea kauzibe lakini mkabila mwenzangu akawapangua basi nikapeta kimtindo ..... (samahani hili jambo nalisema si kwa kujisifu...ila kwa kuona aibu..... maana si jambo jema kuendekeza ukabila)
Mbona haueleweki kwanza umesema Ukirsto waka haujakusaidia halafu hapo hapo unakiri ukabila umekusaidia kama ukabila umekusaidia kupata kazi kwa nini Ukirsto wako ushindwe kukusaidia.
 
Hivi Alshaabab wale wanaojilipua kule wake ni Wakristo na mayahudi eeh!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom