Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nenda kawahi seat kwa Mkapa tuwashangilie mwiko nyuma wapate angalau pointi moja maana hadi sasa hawa hawana goli wala point.Mechi hii Simba alitakiwa ashinde si chini ya goli 2 za maana lakini kutokana na uwezo wao mdogo ndio ivyo ni aibu hii🤔
Ndio ndumba zenyewe hizo Ile ya kugonga mwamba kweli ilikuwa chuma ileMANARA hakukosea kusema utopolo wenye akili ni wawili tu,Sasa kama unasema Jwaneng waliiroga Wydad Ugenini,wanashindwaje kuiroga Simba wakiwa kwao Botswana? Pengine ndo sababu shot ya Chama imegonga Mwamba kipa alishapotea,au hata hilo hukuona?
Teh teh tehOnana
kwahyo walitumia ndumba kwa wydad ila kwa simba ni uwezo wa simba mdg ? waafrika tuwe makin na maneno yetuAma kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma!
Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani!
Mechi hii Simba alitakiwa ashinde si chini ya goli 2 za maana lakini kutokana na uwezo wao mdogo ndio ivyo ni aibu hii[emoji848]
Kweli wenye uwezo mkubwa yanga wamempiga al ahly 5 taifa na wanaongoza kundi.Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma!
Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani!
Mechi hii Simba alitakiwa ashinde si chini ya goli 2 za maana lakini kutokana na uwezo wao mdogo ndio ivyo ni aibu hii[emoji848]
Dah![emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh View attachment 2831609
Kwaiyo unalinganisha kiwango Cha Aly ahly na hao makirikiri?? Unacheza na timu ya ovyo iyo unashindwa kuifunga? Mpira Gani mmecheza huo aisee!Kweli wenye uwezo mkubwa yanga wamempiga al ahly 5 taifa na wanaongoza kundi.
Umeangalia mpira tofauti labda na tulioungalia sisi, Aina ya mpira walioucheza Simba na ukubwa wake wote na aina ya wachezaji walionao ukilinganisha na jwaneng ni aibu kutoa droo na timu ya aina Ile, Kama wameshindwa kupata point kwa jwaneng hii watazipata kwa timu Gani sasa?kwahyo walitumia ndumba kwa wydad ila kwa simba ni uwezo wa simba mdg ? waafrika tuwe makin na maneno yetu
Sio kweli hiyo team hata kujilinda sio nzuri sana mbna simba walikua wana wafungua mpka wanaingia kwenye box lao? Hiyo Tim ni mbovu sanaHujui mpira wewe,ha a jamaa wanajua kujilinda ...ogopa sana kucheza na Timu aina hii,unawexa kulia!
Ikitaka kujua uchawi upo check vzr game ya leo ya tp mazembe na mamerods masandawane wamekosa goli mbil za waz zinagonga mwamba