Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma!
Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani!
Mechi hii Simba alitakiwa ashinde si chini ya goli 2 za maana lakini kutokana na uwezo wao mdogo ndio ivyo ni aibu hii🤔