Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?

Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.

WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
 
Inategemea unataka huduma gani, barua zinapokelewa Dar kila wiki zinakwenda Dodoma.
 
Nataka kibali cha kampuni ya uwakala wa kazi ( recruitment agency company)
 
Anzia Dar kwanza watakwambia utaratibu.

Mfano immigration kuna huduma unapata Dar na kuna huduma mpaka uende Dodoma.

Ndio madhara ya kuwapa Urais vichaa haya.
 
Magufuli alikuwa kichaa?
Mtu wa Kasulu yeye mbona hakulalamika kupata huduma kama hizo DSM?

Ukiambiwa kuhamia dodoma ni uamuzi na takwa la CCM na wala sio la mtu mmoja utabisha?
Puuuuumbavu
 
Back
Top Bottom