Inategemea unataka huduma gani, barua zinapokelewa Dar kila wiki zinakwenda Dodoma.Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?
Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.
WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Anzia Dar kwanza watakwambia utaratibu.Nataka kibali cha kampuni ya uwakala wa kazi ( recruitment agency company)
Magufuli alikuwa kichaa?Anzia Dar kwanza watakwambia utaratibu.
Mfano immigration kuna huduma unapata Dar na kuna huduma mpaka uende Dodoma.
Ndio madhara ya kuwapa Urais vichaa haya.