Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Hayo malori ya mafuta yakiingia Kenya Haimaanishi yanauza mafuta Yao Kenya, mafuta yote ambayo yanauzwa Kenya yanasambazwa na Kenya pipeline ukitaka kujua ukweli Nenda mpaka wetu na Uganda utajua hayo magari yote yanaelekea Rwanda na DRC Congo yanapita Kenya cause ruti ni ya karibu kuliko kutumia ruti ya ndani ya Tanzania kama huamini Nenda mpakani busia au malaba utaona magari ya mafuta mengi yenye usajili wa Tanzania yakiingia Uganda kwelekea zao Congo democratic republic na Rwanda.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
 
Amani na ukarimu wa watz ndo kivutio tosha kwa majiran kuja kurelax
 
Wako waKenya wengi sana wakimiminika Bongo kufanya utalii.

Juzi nilipokuwa hapo nilikua nao na uzuri wao ni kwamba they are jumbe and down to mother earth. Tatizo ni hawa wachache hapa wenye vichwa ngumu, lakini hata wapige kelele vipi hawataweza kuzuia wenzao kwenda Bongo kula raha.
Video mbalimbali za vloggers wa Kenya wakiwa Tanzania


Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Walete wakenya wazidi kumiminika Tanzania hadi tanga
 
Tanga yazidi kung'aa soon itakuwa tanga vs Mombasa
 
Sasa wanapesa au Tanzania inavivutio vizur ndio maana wanazidi kumiinika kama sababu Pesa kwanini wasiende A. Kusini au hata hapo hapo Kenya hamna sehem amboyo ukaenda ukatumia Pesa zako zikaisha? Mda mwengine muuache unafiki tunakuwa hatuelewi kama huyu alieandika mzima au ndo karongwa tena.
 
Wewe mgeni hapa EA forum !!huwa tunaandika hivyo kuwavuta kwenye Uzi wakija ndaniyake wanayakuta na hayo uliyo yasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…