Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hayo malori ya mafuta yakiingia Kenya Haimaanishi yanauza mafuta Yao Kenya, mafuta yote ambayo yanauzwa Kenya yanasambazwa na Kenya pipeline ukitaka kujua ukweli Nenda mpaka wetu na Uganda utajua hayo magari yote yanaelekea Rwanda na DRC Congo yanapita Kenya cause ruti ni ya karibu kuliko kutumia ruti ya ndani ya Tanzania kama huamini Nenda mpakani busia au malaba utaona magari ya mafuta mengi yenye usajili wa Tanzania yakiingia Uganda kwelekea zao Congo democratic republic na Rwanda.Kenya inategemea Tanzania kwa % kubwa katika biashara, pamoja na kwamba Kenya inae Uganda mdau mkubwa katika bandari yake ya Mombasa lakini bado Kenya inategemea sana Tanzania kibiashara, nimeshangaa kuona juzi msururu wa oil tankers bandari ya Tanga zikibeba mafuta kupeleka Kenya
Haya mambo awali hayakuwepo kabisa tulizoea kuona malori ya bidhaa za vyakula na malighafi za viwandani lakini saivi tankers za mafuta na gas ya kupikia yanatoka Tanzania kuelekea Kenya kwa wingi.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app