Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,927 Jun 22, 2025 #1 Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini utakuja kunishukuru Nb: Tazama video mpaka mwisho. View: https://youtu.be/mTVOK9qS-vQ?si=NZppmwU5H3xVVpfZ
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini utakuja kunishukuru Nb: Tazama video mpaka mwisho. View: https://youtu.be/mTVOK9qS-vQ?si=NZppmwU5H3xVVpfZ
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,467 Reaction score 3,496 Jun 22, 2025 #2 Mkuu achana nazo njoo apa kitambaa cheupe karibu na Dj.
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,927 Jul 30, 2025 Thread starter #3 Nilipe nisepe said: Mkuu achana nazo njoo apa kitambaa cheupe karibu na Dj. Click to expand... Kuliko kuhangaika na degree ni bora kushinda kitambaa cheupe, unaweka ukakutana na mtu wa maana akakupa connection muhimu.
Nilipe nisepe said: Mkuu achana nazo njoo apa kitambaa cheupe karibu na Dj. Click to expand... Kuliko kuhangaika na degree ni bora kushinda kitambaa cheupe, unaweka ukakutana na mtu wa maana akakupa connection muhimu.