Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Mtu kuamua kuwa mchepuko wa mtu utasema yamekufika?? Ni maamuzi binafsi tu..
Nina maana kwamba kupenda(pamoja na mambo mengine ya kiuchumi) ndiko kunaweza kumfika mtu akaingia kwenye mchepuko bila kujitambua. Wahenga walisema Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo..
 
Back
Top Bottom