Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Proof kusoma PCM ni useless, haitakusaidia chochote in law school, aliyeleta mada ana pointAcha kupotosha umma na mawazo yako ya kukata tamaa. Mtu aliyemaliza form six PCM anaweza kusomea hata sheria akitaka tofauti na mtu aliyetoka diploma.
Form 4 na form 6 hawana tofauti sana, wote wana uwanja mpana wa kuchagua taaluma, form 4 aliosomea sayansi na yeye anaweza kuchagua taaluma ya biashara, sheria, sayansi, n.k.Acha kupotosha umma na mawazo yako ya kukata tamaa. Mtu aliyemaliza form six PCM anaweza kusomea hata sheria akitaka tofauti na mtu aliyetoka diploma.
Wewe mpenda shortcut usipopingwa utapotosha watu. Sio kila mtu anasoma ili aje kuajiriwa mshahara usiofika hata 20m kwa mwaka mzima.Form 4 na form 6 hawana tofauti sana, wote wana uwanja mpana wa kuchagua taaluma, form 4 aliosomea sayansi na yeye anaweza kuchagua taaluma ya biashara, sheria, sayansi, n.k.
Form 4 ana advantage kubwa zaidi akianza chuo mapema, mfano kachagua kusomea biashara - Certificate ya mwaka moja anaweza kusomea marketing, Diploma ya miaka miwili anaweza kusomea procurement, Degree ya miaka mitatu anaweza kusomea uhasibu
form 6 anaeingia degree akichagua kusomea marketing hawezi kubadili mpaka miaka mitatu iishe arudie upya degree nyingine
umeelewa ??
Nyie wapenda shortcut kwenye maisha hizo mnazoona ni point ziishie kwenye familia zenu.Proof kusoma PCM ni useless, haitakusaidia chochote in law school, aliyeleta mada ana point
Wewe una hoja dhaifu mno. Inaonekana unataka kampani kwenye huo ujinga wako. Kuna kila dalili kuwa labda hukufanya vizuri form 4 au six lakini pia labda ulimaliza chuo ukakosa kazi kwahiyo unawaza ujinga.English ni janga la taifa, Hadi Ndalichako aliewahi kuwa waziri wa elimu kapitia form 6, vyeti vyake vya sekondari vina ufaulu mzuri hadi kwenye english lakini kuna video yake ilitrend kiingereza kinampiga chenga vibaya mno.
Elimu inayotakiwa ni Form 4 >> chuo, Ndio maana wakenya waliotuzidi kielimu walishaifuta form 6
Kulikuwa na mashindano ya airtel uni challenge miaka ya 2005 enzi hizo udsm karibu wote form 6 lakini waliburuzwa vibya mnoo !
Leta hoja, nimekujibu kwa hoja uje na hoja.Wewe mpenda shortcut usipopingwa utapotosha watu. Sio kila mtu anasoma ili aje kuajiriwa mshahara usiofika hata 20m kwa mwaka mzima.
Nayaongea haya nikiwa nimepiga A - level form 6 nikamaliza na Division 2 yangu. nikaingia rasmi degree, huko chuoni tulikutana na diploma na wengi tulikuwa tunawakimbiza kwasababu enzi hizo diploma wengi wanaojisomesha walikuwa hawana sifa za kwenda a level, Lakini mwisho wa siku tunahitimu vyuo, CV za wenzetu zilikuwa zimeshiba Certificate, Diploma + Degree.Wewe una hoja dhaifu mno. Inaonekana unataka kampani kwenye huo ujinga wako. Kuna kila dalili kuwa labda hukufanya vizuri form 4 au six lakini pia labda ulimaliza chuo ukakosa kazi kwahiyo unawaza ujinga.
We jamaa una akili timamu? Sasa kama mtu ana vigezo vya kusoma degree anakosaje vigezo vya kusoma certificate na diploma? Au ulitaka mtu akimaliza form 6 akaanze certificate badala ya kwenda degree direct?Leta hoja, nimekujibu kwa hoja uje na hoja.
Ulikuja na mabishano kwamba form 6 ana uwanja mpana wa kuchagua kozi nimekupinga kwa hoja kwamba Form 4 aliesomea sayansi na form 6 aliesome PCM wote wanawaeza kuchagua kusoma chuoni uhasibu, sheria, uhandisi, n.k. isipokuwa form 4 anaweza kusomea vitu vitatu tofauti hadi certificate, diploma na degree wakati form 6 anasomea kitu kimoja tu degree.
Kuhusu swala la mshahara Nimeshakueleza ya kwamba ikitokea Diploma na Form 6 wote hawana ada / mkopo wa kuendelea masomo yao Degree, Yule form 6 haweza kupata kazi yoyote ya kitaaluma, Diploma hata kama analipwa laki 7 kazidiwa na degree anaelipwa milioni 1, Si haba kusongesha !! Pia form 6 mwenye degree hatakiwi kuomba kazi za diploma na certificate, mwenzake waliesoma nae degree akikosa kazi za degree anaweza kupata kazi za diploma na certificate maisha, ni heri kupata chochote kuliko kukosa kabisa.
NIJIBU KWA HOJA ZENYE POINTS !!
Mtu aliemaliza form 6 akasomea degree haruhusiwi kuomba kazi za certificate na diploma hana vigezo, Kwahio yule form 4 alieanza chuo mapema ana uwanja mpana wa ajira, akikosa kazi ya degree anaweza kupata ya certificate au diploma, hujaelewa wapi labda ??We jamaa una akili timamu? Sasa kama mtu ana vigezo vya kusoma degree anakosaje vigezo vya kusoma certificate na diploma? Au ulitaka mtu akimaliza form 6 akaanze certificate badala ya kwenda degree direct?
Kuna kazi mbili:Paragraph yako ya pili ndo msingi wa wewe kuandika huu upuuzi. Elewa sio kila mtu anasoma ili akapate ajira ya laki 7 kwa mwezi. Siku hizi hata kwenye siasa mwenye elimu kubwa ana nafasi nzuri ya kutoboa. Faida ya elimu sio kupata ajira ya laki 7 tu. Nakusihi sana achia akili yako itazame mambo kwa picha kubwa zaidi. Acha kujifungia kwenye hicho kiboksi cha kuwaza laki 7 mshahara. Pata elimu nzuri kwanza na GPA kali mambo mengine yatakuja.
UJNGA MTUPU, KWAHYO UNAPGIA PROMO CHEAP LABOUR?Mtu aliemaliza form 6 akasomea degree haruhusiwi kuomba kazi za certificate na diploma hana vigezo, Kwahio yule form 4 alieanza chuo mapema ana uwanja mpana wa ajira, akikosa kazi ya degree anaweza kupata ya certificate au diploma, hujaelewa wapi labda ??
Kuna kazi mbili:
Pepsi - Diploma mshahara laki 7
Coca - Degree mshahara milioni 1
Form 6 mwenye degree pamoja na mwenzake form 4 mwenye Diploma na degree wanaenda Coca kuomba nafasi ya degree, kwa bahati mbaya wote wanaikosa kazi ya degree, Lakini yule form 4 mwenye Diploma na degree anaweza kuomba na kuipata kazi ya Pepso mshahara laki 7, Yule mwenzake form 6 mwenye Degree anarudi mtaani, Heri kidogo kuliko sifuri
Huna points za kuweza kupinga hoja zangu, umepanik kilichobaki ni kutukana tu.UJNGA MTUPU, KWAHYO UNAPGIA PROMO CHEAP LABOUR?
NCHI GAN UNAYOIJUA WW IMEENDELEA DUNIANI HAINA A-LEVEL TUANZIE HAPAHuna points za kuweza kupinga hoja zangu, umepanik kilichobaki ni kutukana tu.
Kipi kina unafuu
- Ukose kazi ya degree mshahara milioni 1 na kurudi mtaani
- Ukose kazi ya degree lakini ukaomba na kupata kazi ya diploma mshahara laki 7
Nchi zilizoendelea zina High School Diploma sio hii yetu form 5 na 6 ya kikoloni.NCHI GAN UNAYOIJUA WW IMEENDELEA DUNIANI HAINA A-LEVEL TUANZIE HAPA
SAWA ZITAJE HZO NCHI ZENYE HIGH SCHOOL DIPLOMA NA UTOFAUTISHE, HIGH SCHOOL DIPLOMA NA ADVANCED SECONDARY SCHOOL HAPAHAPA, MWSHO KABSA TUSAIDIE KUCHAMBUA KENYA EDUCATION SYSTEM HAPA ILI UJIUONE ULIVO MJNGANchi zilizoendelea zina High School Diploma sio hii yetu form 5 na 6 yetu ya kikoloni.
Kenya hapo waliifuta form 5 na 6, ukimaliza form 4 yayari una high school diploma ni moja kwa moja chuoni
Mkuu huna points kabisa ndio maana unachoweza ni kutukana tu 😀😀SAWA ZITAJE HZO NCHI ZENYE HIGH SCHOOL DIPLOMA NA UTOFAUTISHE, HIGH SCHOOL DIPLOMA NA ADVANCED SECONDARY SCHOOL HAPAHAPA, MWSHO KABSA TUSAIDIE KUCHAMBUA KENYA EDUCATION SYSTEM HAPA ILI UJIUONE ULIVO MJNGA
Mkuu huna points kabisa ndio maana unachoweza ni kutukana tu
Mkuu huna points kabisa ndio maana unachoweza ni kutukana tu
Form 5 na 6 ya bongo ni ya kikoloni ya miaka haina taaluma yoyote ile, haina kazi yoyote.Ushauri wa hovyo kabisa kutokea siku za karibuni hapa! Dunia na taifa linahitaji aina zote za wasomi na kufeli kwa mfumo wetu wa elimu haina maana high school imekosa umuhimu. Nchi haiwezi kuwa na mafundi mchundo na watu wa cadre za kati na chini wote. Elimu yetu inatakiwa kutengenezwa iwape watu uwezo wa kuyashinda mazingira yao kwa kuwa na ufahamu na skills katika kila eneo na sio kufuta madarasa!