Leta hoja, nimekujibu kwa hoja uje na hoja.
Ulikuja na mabishano kwamba form 6 ana uwanja mpana wa kuchagua kozi nimekupinga kwa hoja kwamba Form 4 aliesomea sayansi na form 6 aliesome PCM wote wanawaeza kuchagua kusoma chuoni uhasibu, sheria, uhandisi, n.k. isipokuwa form 4 anaweza kusomea vitu vitatu tofauti hadi certificate, diploma na degree wakati form 6 anasomea kitu kimoja tu degree.
Kuhusu swala la mshahara Nimeshakueleza ya kwamba ikitokea Diploma na Form 6 wote hawana ada / mkopo wa kuendelea masomo yao Degree, Yule form 6 haweza kupata kazi yoyote ya kitaaluma, Diploma hata kama analipwa laki 7 kazidiwa na degree anaelipwa milioni 1, Si haba kusongesha !! Pia form 6 mwenye degree hatakiwi kuomba kazi za diploma na certificate, mwenzake waliesoma nae degree akikosa kazi za degree anaweza kupata kazi za diploma na certificate maisha, ni heri kupata chochote kuliko kukosa kabisa.
NIJIBU KWA HOJA ZENYE POINTS !!