Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

Acha kupotosha umma na mawazo yako ya kukata tamaa. Mtu aliyemaliza form six PCM anaweza kusomea hata sheria akitaka tofauti na mtu aliyetoka diploma.
Proof kusoma PCM ni useless, haitakusaidia chochote in law school, aliyeleta mada ana point
 
Acha kupotosha umma na mawazo yako ya kukata tamaa. Mtu aliyemaliza form six PCM anaweza kusomea hata sheria akitaka tofauti na mtu aliyetoka diploma.
Form 4 na form 6 hawana tofauti sana, wote wana uwanja mpana wa kuchagua taaluma, form 4 aliosomea sayansi na yeye anaweza kuchagua taaluma ya biashara, sheria, sayansi, n.k.

Mfano form 4 aliesomea sayansi akichagua kusomea sheria mapema atakuwa na certificate na diploma kabla ya kuingia degree pamoja na wale waliomaliza form 6 waliosomea PCM ambao hawana taaluma yoyote ile, Yule form 4 anaenda kuongeza taaluma, Form 6 anaenda kuanza taaluma, ni utofauti mkubwa sana.

Form 4 ana advantage kubwa zaidi akianza chuo mapema, mfano kachagua kusomea biashara - Certificate ya mwaka moja anaweza kusomea marketing, Diploma ya miaka miwili anaweza kusomea procurement, Degree ya miaka mitatu anaweza kusomea uhasibu

form 6 anaeingia degree akichagua kusomea marketing hawezi kubadili mpaka miaka mitatu iishe arudie upya degree nyingine

umeelewa ??
 
Form 4 na form 6 hawana tofauti sana, wote wana uwanja mpana wa kuchagua taaluma, form 4 aliosomea sayansi na yeye anaweza kuchagua taaluma ya biashara, sheria, sayansi, n.k.

Form 4 ana advantage kubwa zaidi akianza chuo mapema, mfano kachagua kusomea biashara - Certificate ya mwaka moja anaweza kusomea marketing, Diploma ya miaka miwili anaweza kusomea procurement, Degree ya miaka mitatu anaweza kusomea uhasibu

form 6 anaeingia degree akichagua kusomea marketing hawezi kubadili mpaka miaka mitatu iishe arudie upya degree nyingine

umeelewa ??
Wewe mpenda shortcut usipopingwa utapotosha watu. Sio kila mtu anasoma ili aje kuajiriwa mshahara usiofika hata 20m kwa mwaka mzima.
 
English ni janga la taifa, Hadi Ndalichako aliewahi kuwa waziri wa elimu kapitia form 6, vyeti vyake vya sekondari vina ufaulu mzuri hadi kwenye english lakini kuna video yake ilitrend kiingereza kinampiga chenga vibaya mno.

Elimu inayotakiwa ni Form 4 >> chuo, Ndio maana wakenya waliotuzidi kielimu walishaifuta form 6

Kulikuwa na mashindano ya airtel uni challenge miaka ya 2005 enzi hizo udsm karibu wote form 6 lakini waliburuzwa vibya mnoo !
Wewe una hoja dhaifu mno. Inaonekana unataka kampani kwenye huo ujinga wako. Kuna kila dalili kuwa labda hukufanya vizuri form 4 au six lakini pia labda ulimaliza chuo ukakosa kazi kwahiyo unawaza ujinga.
 
Wewe mpenda shortcut usipopingwa utapotosha watu. Sio kila mtu anasoma ili aje kuajiriwa mshahara usiofika hata 20m kwa mwaka mzima.
Leta hoja, nimekujibu kwa hoja uje na hoja.

Ulikuja na mabishano kwamba form 6 ana uwanja mpana wa kuchagua kozi nimekupinga kwa hoja kwamba Form 4 aliesomea sayansi na form 6 aliesome PCM wote wanawaeza kuchagua kusoma chuoni uhasibu, sheria, uhandisi, n.k. isipokuwa form 4 anaweza kusomea vitu vitatu tofauti hadi certificate, diploma na degree wakati form 6 anasomea kitu kimoja tu degree.

Kuhusu swala la mshahara Nimeshakueleza ya kwamba ikitokea Diploma na Form 6 wote hawana ada / mkopo wa kuendelea masomo yao Degree, Yule form 6 haweza kupata kazi yoyote ya kitaaluma, Diploma hata kama analipwa laki 7 kazidiwa na degree anaelipwa milioni 1, Si haba kusongesha !! Pia form 6 mwenye degree hatakiwi kuomba kazi za diploma na certificate, mwenzake waliesoma nae degree akikosa kazi za degree anaweza kupata kazi za diploma na certificate maisha, ni heri kupata chochote kuliko kukosa kabisa.

NIJIBU KWA HOJA ZENYE POINTS !!
 
Tupate maoni kwa mtu aliefaulu form 4 kuendelea na kupata cheti cha form 6
na yule alioneokana kafeli na akaamua kutafuta cheti cha diploma
Kati hawa yupi ana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri ?
 
Wewe una hoja dhaifu mno. Inaonekana unataka kampani kwenye huo ujinga wako. Kuna kila dalili kuwa labda hukufanya vizuri form 4 au six lakini pia labda ulimaliza chuo ukakosa kazi kwahiyo unawaza ujinga.
Nayaongea haya nikiwa nimepiga A - level form 6 nikamaliza na Division 2 yangu. nikaingia rasmi degree, huko chuoni tulikutana na diploma na wengi tulikuwa tunawakimbiza kwasababu enzi hizo diploma wengi wanaojisomesha walikuwa hawana sifa za kwenda a level, Lakini mwisho wa siku tunahitimu vyuo, CV za wenzetu zilikuwa zimeshiba Certificate, Diploma + Degree.

Kwa enzi kwenda form 6 ilikuwa bora zaidi kwasababu ilikuwa cheap na mikopo tulikuwa tunapewa form 6 tu, halafu enzi hizo ajira zilikuwepo sio kama siku hizi, watu walikuwa wanaacha ajira kisa ipo mkoani, anaipiga chini anaomba nyingine.

Siku hizi mambo yamebadilika, Ajira zimekuwa ngumu inabidi ujiwekee mazingira ya kuijenga zaidi cv yako kwa kuwahi mapema kusomea taaluma, Siku hizi form 4 division 1 wanaenda direct vyuoni zamani ilizoeleka ni wale walioshindwa kwenda a level, The scene has changed.
 
Leta hoja, nimekujibu kwa hoja uje na hoja.

Ulikuja na mabishano kwamba form 6 ana uwanja mpana wa kuchagua kozi nimekupinga kwa hoja kwamba Form 4 aliesomea sayansi na form 6 aliesome PCM wote wanawaeza kuchagua kusoma chuoni uhasibu, sheria, uhandisi, n.k. isipokuwa form 4 anaweza kusomea vitu vitatu tofauti hadi certificate, diploma na degree wakati form 6 anasomea kitu kimoja tu degree.

Kuhusu swala la mshahara Nimeshakueleza ya kwamba ikitokea Diploma na Form 6 wote hawana ada / mkopo wa kuendelea masomo yao Degree, Yule form 6 haweza kupata kazi yoyote ya kitaaluma, Diploma hata kama analipwa laki 7 kazidiwa na degree anaelipwa milioni 1, Si haba kusongesha !! Pia form 6 mwenye degree hatakiwi kuomba kazi za diploma na certificate, mwenzake waliesoma nae degree akikosa kazi za degree anaweza kupata kazi za diploma na certificate maisha, ni heri kupata chochote kuliko kukosa kabisa.

NIJIBU KWA HOJA ZENYE POINTS !!
We jamaa una akili timamu? Sasa kama mtu ana vigezo vya kusoma degree anakosaje vigezo vya kusoma certificate na diploma? Au ulitaka mtu akimaliza form 6 akaanze certificate badala ya kwenda degree direct?

Paragraph yako ya pili ndo msingi wa wewe kuandika huu upuuzi. Elewa sio kila mtu anasoma ili akapate ajira ya laki 7 kwa mwezi. Siku hizi hata kwenye siasa mwenye elimu kubwa ana nafasi nzuri ya kutoboa. Faida ya elimu sio kupata ajira ya laki 7 tu. Nakusihi sana achia akili yako itazame mambo kwa picha kubwa zaidi. Acha kujifungia kwenye hicho kiboksi cha kuwaza laki 7 mshahara. Pata elimu nzuri kwanza na GPA kali mambo mengine yatakuja.
 
Mtu aliemaliza form 6 akasomea degree haruhusiwi kuomba kazi za certificate na diploma hana vigezo, Kwahio yule form 4 alieanza chuo mapema ana uwanja mpana wa ajira, akikosa kazi ya degree anaweza kupata ya certificate au diploma, hujaelewa wapi labda ??

Kuna kazi mbili:

Pepsi - Diploma mshahara laki 7
Coca - Degree mshahara milioni 1

Form 6 mwenye degree pamoja na mwenzake form 4 mwenye Diploma na degree wanaenda Coca kuomba nafasi ya degree, kwa bahati mbaya wote wanaikosa kazi ya degree, Lakini yule form 4 mwenye Diploma na degree anaweza kuomba na kuipata kazi ya Pepso mshahara laki 7, Yule mwenzake form 6 mwenye Degree anarudi mtaani, Heri kidogo kuliko sifuri
 
UJNGA MTUPU, KWAHYO UNAPGIA PROMO CHEAP LABOUR?
 
Huna points za kuweza kupinga hoja zangu, umepanik kilichobaki ni kutukana tu.

Kipi kina unafuu
  1. Ukose kazi ya degree mshahara milioni 1 na kurudi mtaani
  2. Ukose kazi ya degree lakini ukaomba na kupata kazi ya diploma mshahara laki 7
 
NCHI GAN UNAYOIJUA WW IMEENDELEA DUNIANI HAINA A-LEVEL TUANZIE HAPA
 
Nchi zilizoendelea zina High School Diploma sio hii yetu form 5 na 6 ya kikoloni.

Kenya hapo waliifuta form 5 na 6, ukimaliza form 4 tayari una high school diploma ni moja kwa moja chuoni

Elimu yetu Tanzania ipo nyuma sana, ni heri uwahi chuoni usomee kazi
 
Nchi zilizoendelea zina High School Diploma sio hii yetu form 5 na 6 yetu ya kikoloni.

Kenya hapo waliifuta form 5 na 6, ukimaliza form 4 yayari una high school diploma ni moja kwa moja chuoni
SAWA ZITAJE HZO NCHI ZENYE HIGH SCHOOL DIPLOMA NA UTOFAUTISHE, HIGH SCHOOL DIPLOMA NA ADVANCED SECONDARY SCHOOL HAPAHAPA, MWSHO KABSA TUSAIDIE KUCHAMBUA KENYA EDUCATION SYSTEM HAPA ILI UJIUONE ULIVO MJNGA
 
Mkuu huna points kabisa ndio maana unachoweza ni kutukana tu 😀😀

Kiufupi elimu yetu ipo nyuma mno, hauhotaji kucomplicate mambo kwenye elimu yetu ya sekondari ya kikoloni, ukimaliza form 4 ni vema zaidi kuanza kusomea kazi mapema kwa kuanza kusomea taaluma chuoni

Tupo zama za teknolojia na computers lakini hadi leo hakuna kombi ya maana ya computer form 6, zipo lakini ni za mchongo sana na hata shule hazina facilities za kutosha kama internet, generators, kuruhusu wanafunzi wawe na laptops, n.k. ni heri mtu aende chuoni kujifunza IT, computer science, n.k.
 
Ushauri wa hovyo kabisa kutokea siku za karibuni hapa! Dunia na taifa linahitaji aina zote za wasomi na kufeli kwa mfumo wetu wa elimu haina maana high school imekosa umuhimu. Nchi haiwezi kuwa na mafundi mchundo na watu wa cadre za kati na chini wote. Elimu yetu inatakiwa kutengenezwa iwape watu uwezo wa kuyashinda mazingira yao kwa kuwa na ufahamu na skills katika kila eneo na sio kufuta madarasa!
 
Form 5 na 6 ya bongo ni ya kikoloni ya miaka haina taaluma yoyote ile, haina kazi yoyote.

Kenya walifuta hizo 5 na 6, ukimaliza form 4 tayari ni high school na wameelimika zaidi, mbali mno.
 
Back
Top Bottom