Sijasema tuwayanyase watoto madam, kamwe sitalikubali. Ila jua mtu aliyekuwa tayari kutoka nje ya ndoa yake, hajali chochote kile nikama msukule. Sasa wewe ambaye unakuwa upo na mawazo yenye akili bado unamfuata msukule ilihali ukiolewa hutaki mume wako afanye hayo. Huoni kuwa unajivisha uwendawazimu kwakujitakia maana mwenzako kashajiita mwendawazimu. Sasa ukiumia utamlaumu mwendawazimuπππYeah muongezewe tu watoto mpasuke kabisa. Unanyanyasaje mtoto under 6?
Wenye roho mbaya wapo. Aliyefiwa na mama aje, ila kama mama yake yupo hai akija tusilaumiane kwa kweli.Hilo linatambulika lakin imekua too much mnawafanyia mpaka waliofiwa na mama zao, sio haki hata kama upendo hauwezi kulingana na mama mzazi kuna mambo sio vizuri kumfanyia mtoto wa mwanamke mwenzio.
Kama ni hivyo basi ni kitu kitakuwepo ndani yangu nimeumbwa hivyo I can't fake.Kwani hiyo nature haiwezi kuwa ndiyo roho mbaya?
Sawa Demi acha nature iamueWenye roho mbaya wapo. Aliyefiwa na mama aje, ila kama mama yake yupo hai akija tusilaumiane kwa kweli.
Sitamtesa lakini nature itaamua. ..naweza nika.mpenda au nisimpenda itategemea na mambo mengi.
Hapo ni wendawazimu wawili wanatembeaSijasema tuwayanyase watoto madam, kamwe sitalikubali. Ila jua mtu aliyekuwa tayari kutoka nje ya ndoa yake, hajali chochote kile nikama msukule. Sasa wewe ambaye unakuwa upo na mawazo yenye akili bado unamfuata msukule ilihali ukiolewa hutaki mume wako afanye hayo. Huoni kuwa unajivisha uwendawazimu kwakujitakia maana mwenzako kashajiita mwendawazimu. Sasa ukiumia utamlaumu mwendawazimuπππ
NimekupendaWanawake waache kuzaa na waume za watu
Na nyie muache pia sio kukojoa hovyo hovyoNimekupenda
Nimekupenda zaidi[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Na nyie muache pia sio kukojoa hovyo hovyo
.....Ohooo!!!.....Na nyie muache pia sio kukojoa hovyo hovyo
πππ mmoja tu ndio full mwendawazimu mwingine majanga yakishamtokea uwendawazimu huisha ila huyu mwingine still hajali na ataenda kusababisha janga lingine nje maana yeye ni msaka starehe.Hapo ni wendawazimu wawili wanatembea
Huyo mtoto akibaki peke yake bila mtetezi atalipuka yeye.Unabomu halafu unataka kuanzisha mabomu mengine. Watanzania bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Naongelea Mama wa mtoto.Hapana. Jamaa ana uwezo wa kutunza mtoto wa mchepuko, shida ni kwamba kuna ukatili umeingia
Hiyo ni kweli!Huyo mtoto akibaki peke yake bila mtetezi atalipuka yeye.
Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Unajua wanawake wa ktz wanapenda sana kuzaa sana Yaan yeye ni kuzaa tu ilimradi Kazaa watoto riziki itakuja mbele kwa mbele watoto wanaishia kutesekaHii ndiyo point ya msingi