Wanawake hatupendaniIli kupunguza mawasiliano..!!
Sema kuna kitu sikielewei kwa wanawake.
1. Kwanini mama wa kambo wengi hutesa watoto?
2. Kwanini MARA NYINGI ugomvi unakuwa kati ya mama mkwe na mke wa mtoto, NA SI KWA BABA MKWE NA MUME WA MTOTO?
Naomba maelezo ya kina toka kwa Nakadori, Lenie, Bantu Lady, Detective J, Accumen Mo, Manyanza, Equation x etc
Na kondomu je?Kwakweli bila ndani tuahirishe tuu
Kupima hakuzuii mimba banaa..!! Na ukumbuke wakati unatakiwa kuchomoa, ndo muda ambao almost unakuwa kama zezeta, wengine wanashindwa kushikilia mate hadi yanakuwa udenda unaochuruzika, wengine wananena kwa lugha etc saa ngapi utakumbuka kuchomoa..!!??SIWEZI
tupime tupime tu mengine yafwate.
CalenderKupima hakuzuii mimba banaa..!! Na ukumbuke wakati unatakiwa kuchomoa, ndo muda ambao almost unakuwa kama zezeta, wengine wanashindwa kushikilia mate hadi yanakuwa udenda unaochuruzika, wengine wananena kwa lugha etc saa ngapi utakumbuka kuchomoa..!!??
Afu umejibu kwa CAPITAL LETTERS
Kalenda na bia huwa havipatani. Na wengine mnahesabugi na vidole kabisaaaa lakini unakuta imoo, na mwingine utamsikia BAO LIMENIPONYOKACalender
Bantu Lady WEWE MAONI YAKO YANASEMAJE KUHUSU KUMWAGIA NDANI AU NJE?Kwakweli bila ndani tuahirishe tuu
Ni heri kukaa na simba au dubu kuliko kukaa na mwanamke mwenyeroho mbaya.Wewe una akili
Wengine wanatesa watoto wao ili wake zao wapate amani
Labda wote muwe si wanywaji..!! Yaani nimetoka zangu kugonga mi K-vant na nyeghe zipo on point, uje uanze kuniletea habari za ETI LEO SI SALAMA..!! UtabakwaMe sio mnywaji
Halafu akija ambiwa kuwa baba yake alikuwa ana uwezo wa kumtunza, ATAWACHUKIWA WOTE WA KWA BABAMtoto anaonekana kama chokoraa
Hiv hajui kwamba huyu mtoto akiwa ovyo hata yeye anaonekana ana roho nzito
YaniiHalafu akija ambiwa kuwa baba yake alikuwa ana uwezo wa kumtunza, ATAWACHUKIWA WOTE WA KWA BABA
Hapana. Jamaa ana uwezo wa kutunza mtoto wa mchepuko, shida ni kwamba kuna ukatili umeingiaHapa tatizo ni umaskini.
No Mimi ni muhanga wa hii kitu madam [emoji4] ndo maana nimeshangaa [emoji848] mi na mzee copy right wale wa ndani wala hata hamna kitu