Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Wewe ndio umeongea,kuna mabinti wanawapenda waume za watu kisa tu ".......wanajua kulea........" na wanajua wapo kwenye ndoa.Yaani tamaa tu wanawakataa mabachela wenzao kisa hali yao ya kiuchumi sio nzuri.

Hata wanaume pia wanatakiwa waache kuzaa kwingine ni jukum la kila mtu
 
Kuna mmoja wanae wa mke anaeishi nae anasomesha private, hao wa ujanani (ndio watoto wakubwa/wakwanza) wanasoma kayumba na the way wanavyotendewa ni tofauti kabisa na hao wa mke wa ndoa. Very sad watoto wanakua wakiyashuhudia haya
Mungu fundi ngoja wakue wawe na maisha kimazabe mazabe halafu alalamike kama hasaidiwii
 
Hata wanaume pia wanatakiwa waache kuzaa kwingine ni jukum la kila mtu
Sijakataa ila ww mwanamke ndio upo kwenye nafasi nzuri ya kucontrol mimba, sasa unajua huyu ni mume wa mtu then unashika mimba,unategemea nini wewe kama umeamua kumchuna mchune,ila husijaribu kumbebea mimba.
 
Halafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
Sijui kwann inakuwaga hivi
 
Ki ukweli huo ni ukatili kwa watoto lkn msababishaji mkuu ni nani ni wazazi. Mama anajua fika baba ni mume wa mtu kwa nini akubali kuzaa naye. Wamama wengi wanaoacha watoto kwa waume zao kwa maana ya mchepuko wake baadhi huwa wanademand mahitaji makubwa kwa kigezo mke wako naye si unamuhudumia. Sasa mwanaume asipofanya hivyo ndo yale nakuletea mtoto uleee na mke wako.

Na usikute ndo wakati wanabebishana anadiriki hadi kuchukua namba ya mke na kuanza kumpa matusi.

Ishawahi kutokea kesi moja baba ana mchepuko wake wamezaa mtoto mmoja. Baba akawa anamuhudumia mchepuko kwa kila kitu baadae kipato cha yule baba kikapungua,,so na mahitaji yakapungua. Sasa mchepuko akitumiwa hela kidogo kelele hazitoshi mahitaji. Mwisho wa siku kachukua mtoto kampeleka kazini kwa huyo baba anamwambia nenda kalee mtoto na mke wako.

Mtoto akienda kunyanyasika anayelaumiwa mama wa kambo. Kuna wakati sisi wanawake akili hazitutoshi.

Tuna akili zetu fulani tu kuwa mwanaume wa mtu akinitongoza na kuniajali basi tunaona sifa kuwa hampendi mke wake kumbe ni tamaa tu wanaume kutorodhika na mwanamke mmoja.

Mi nampa big up kaka deepond laiti wanaume wote wangekuwa kama yeye,,,basi kusingekuwa na watoto wengi wanaozaliwa nje ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msirushie wanawake lawama
We ulipokojolea ndani hukujua mimba itakuja?? Tumia ndom kuepuka haya. Kama ukiruhusu azaliwe simama pambania mtoto. Mbona wapo wanaume wanahudumia vizuri watoto wao wa nje? Wabinafsi tu ndo wanawachukua.
 
Vipi mzee anakutreat kama wa ndani? Vipi bi mkubwa wa kambo nae anakufagilia?
No mzee alikufa 2016 nikiwa form 1 mke wa ndoa alichukua mali zote wapo Nairobi sasaivi

Lkn maza angu alikuwa na uwezo pamoja na bibi ndo wamenilea mm mpaka hapa nilipo chuo

Namshukuru Mungu kwa hilo asee sijui njaa ni nn na sijasoma govt ni private tu

Nachukulia picha kama bibi na maza wangekuwa makapuku duu sijui ingekuwaje 🤔🤔
 
Pole
Sheria ya mtoto ya mwaka.2009 inamtambua mtoto wa nje ya ndoa so wa sasa hivi haki zao wanapata.
KABLA ya hapo watoto wa nje ya ndoa waliteseka sana
 
Muhimu ni mipangilio tu, mtoto anatakiwa abaki kwa ***** huku baba akishirikiana na mama kumlea.
Baba kumtoa mtoto kwa ***** ni kosa kubwa sana; kuzaa tuendelee, kuzaa hakuna shida, muhimu ni kutoa matunzo kwa mtoto akiwa kwa mama yake.​
 
Back
Top Bottom