uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Issue ni mtoto, na mwenye mbegu ndo mwenye mtoto fala wewe.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Wewe ndio umeongea,kuna mabinti wanawapenda waume za watu kisa tu ".......wanajua kulea........" na wanajua wapo kwenye ndoa.Yaani tamaa tu wanawakataa mabachela wenzao kisa hali yao ya kiuchumi sio nzuri.
Mungu fundi ngoja wakue wawe na maisha kimazabe mazabe halafu alalamike kama hasaidiwiiKuna mmoja wanae wa mke anaeishi nae anasomesha private, hao wa ujanani (ndio watoto wakubwa/wakwanza) wanasoma kayumba na the way wanavyotendewa ni tofauti kabisa na hao wa mke wa ndoa. Very sad watoto wanakua wakiyashuhudia haya
Sijakataa ila ww mwanamke ndio upo kwenye nafasi nzuri ya kucontrol mimba, sasa unajua huyu ni mume wa mtu then unashika mimba,unategemea nini wewe kama umeamua kumchuna mchune,ila husijaribu kumbebea mimba.Hata wanaume pia wanatakiwa waache kuzaa kwingine ni jukum la kila mtu
Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Sijui kwann inakuwaga hiviHalafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
Na ndivyo huwa inavyokuwa mara nyingi, kupitia mateso na manyanyaso huwa wanajitambua mapema sana kuzidi wale wengine.Mungu fundi ngoja wakue wawe na maisha kimazabe mazabe halafu alalamike kama hasaidiwii
Msirushie wanawake lawamaKi ukweli huo ni ukatili kwa watoto lkn msababishaji mkuu ni nani ni wazazi. Mama anajua fika baba ni mume wa mtu kwa nini akubali kuzaa naye. Wamama wengi wanaoacha watoto kwa waume zao kwa maana ya mchepuko wake baadhi huwa wanademand mahitaji makubwa kwa kigezo mke wako naye si unamuhudumia. Sasa mwanaume asipofanya hivyo ndo yale nakuletea mtoto uleee na mke wako.
Na usikute ndo wakati wanabebishana anadiriki hadi kuchukua namba ya mke na kuanza kumpa matusi.
Ishawahi kutokea kesi moja baba ana mchepuko wake wamezaa mtoto mmoja. Baba akawa anamuhudumia mchepuko kwa kila kitu baadae kipato cha yule baba kikapungua,,so na mahitaji yakapungua. Sasa mchepuko akitumiwa hela kidogo kelele hazitoshi mahitaji. Mwisho wa siku kachukua mtoto kampeleka kazini kwa huyo baba anamwambia nenda kalee mtoto na mke wako.
Mtoto akienda kunyanyasika anayelaumiwa mama wa kambo. Kuna wakati sisi wanawake akili hazitutoshi.
Tuna akili zetu fulani tu kuwa mwanaume wa mtu akinitongoza na kuniajali basi tunaona sifa kuwa hampendi mke wake kumbe ni tamaa tu wanaume kutorodhika na mwanamke mmoja.
Mi nampa big up kaka deepond laiti wanaume wote wangekuwa kama yeye,,,basi kusingekuwa na watoto wengi wanaozaliwa nje ya ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
No Mimi ni muhanga wa hii kitu madam 😊 ndo maana nimeshangaa 🤔 mi na mzee copy right wale wa ndani wala hata hamna kituSi huwa mnawakana??
Ndo mana Mungu anaweka photocopy huko tumboni kwa mwanamke
No mzee alikufa 2016 nikiwa form 1 mke wa ndoa alichukua mali zote wapo Nairobi sasaiviVipi mzee anakutreat kama wa ndani? Vipi bi mkubwa wa kambo nae anakufagilia?
Tatizo utamu koleaWanawake waache kuzaa na waume za watu
PoleNo mzee alikufa 2016 nikiwa form 1 mke wa ndoa alichukua mali zote wapo Nairobi sasaivi
Lkn maza angu alikuwa na uwezo pamoja na bibi ndo wamenilea mm mpaka hapa nilipo chuo
Namshukuru Mungu kwa hilo asee sijui njaa ni nn na sijasoma govt ni private tu
Nachukulia picha kama bibi na maza wangekuwa makapuku duu sijui ingekuwaje 🤔🤔