Duh!Uongo
Mpe ujauzito, wakifika watoto wa4 njoo utupe mrejesho kama anakuzidi akili.Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha.
Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi maarufu kwao ya soksi na vest au boksa kama atajiongeza sana basi jua, gharama ya kununua vitu hivyo atairudisha kwake na faida juu.
Jua siku za hapo karibu au kama hana aibu siku hiyo hiyo aliyokupa zawadi atatengeneza tukio la kukuomba pesa kubwa zaidi ya gharama zake alizotumia kukununulia zawadi, kama katumia 20000 anaweza kuomba Elfu, 30, 40 au 50 kabisa na wewe kwa sababu ya furaha ya zawadi ukampa usijue kakuuzia zawadi kwa gharama mara 2 au 3 ya gharama aliyonunulia.
Wanawake ni wajanja sana, wanajua kucheza na ufahamu wa wanaume waweze kula fedha zao.
🤣🤣🤣🤣🤣Maparagraph yote haya kisa kupigwa ef20😤
Wanaume wanataka wakukute tu umeng’aa bila kujua imekuwaje! Na wanatamani waliopendeza tu ndio ujue wana maajabu yao!Sasa jaman mnaishije na hao wanawake zenu? Mnapenda kuwaona wanapendeza Sasa huko kupendeza kwakwe hutaki kuchangia? Au nyie ndo mnakaa na wake zenu hela ya kusuka mpaka shughul itokee
Mulemule wala hujaenda OPUanaume ni pamoja na kuwa na uwezo wa kumuhudumia mwanamke
Samahani kama nime Comment nje ya mada
ndo ushangae,, mtu anampa zawadi kwa upendo ila ye anawaza ni mtegoSiku hizi vijana wamekuaje???
Nakumbuka miaka hiyo tulikuwa tunatongwa na bahasha. Unapewa bahasha ndani Ina laki na namba ya simu.
Sasa hapa zawadi upewe wewe na kulalamika wewe aisee.
Yani kwa kifupi hataki zawadi ya soksi, anataka mtoe sawa au wewe uzidishe kidogo😬Siku hizi vijana wamekuaje???
Nakumbuka miaka hiyo tulikuwa tunatongwa na bahasha. Unapewa bahasha ndani Ina laki na namba ya simu.
Sasa hapa zawadi upewe wewe na kulalamika wewe aisee.