The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 6,048
- 18,347
Ubahili tu linaweza.🤣🤣🤣Hilo lipiga nyeto sugu😂
Ubahili tu linaweza.🤣🤣🤣Hilo lipiga nyeto sugu😂
Maneno mengi matendo hakuna!!Kaa lijinga 😄
yani kuliko kutoa basi ni bora wamalize shida zao wenyewe, secretarybird anaharibu vijana kwa kuwafundisha nyeto! 🙌🏾Ubahili tu linaweza.🤣🤣🤣
Ondoka kwangu Shetani, Ngoja kwanza watu wa Imani tumalize funga zetu. Nikuletee mafundisho ya wanikolai.🤣🤣🤣😁😁😁😁Sasa Kuna mahusiano gani hapo na wewe, Open those sexy legs watu wapige raaaaaaaaaaaaa
Bwana anataka ujipambanie mpaka nauli baadaye aanze kukutangaza uko cheap ukiitwa unapeleka uke tu🚮Ampe maua yake....
Shower gell elfu25, Vaseline elfu 7000 nauli ya kumfuata bwana alipo 5000. Chenchi yake iliyobaki imetumika vizuri kanunuliwa soksi analia.
secretarybird Mbaga Jr min -me funga zikiisha muwe wapya nyie vijana wenye sura za wazeeyani kuliko kutoa basi ni bora wamalize shida zao wenyewe, secretarybird anaharibu vijana kwa kuwafundisha nyeto! 🙌🏾
Mimi kwenye mambo ya nyeto nitoe kabisa , warembo wa kila aina wamejaa sina sababu ya kufanya hivyo.
vijana hawataki kutoa kabisa siku hizi wanataka kupewa🫢
Ukiwa umelewa usiwe unatuambia mambo yako sasa🤣🤣🤣Mimi kwenye mambo ya nyeto nitoe kabisa , warembo wa kila aina wamejaa sina sababu ya kufanya hivyo.
Hahaha vya ulevi achana navyo 🤣Ukiwa umelewa usiwe unatuambia mambo yako sasa🤣🤣🤣
Wine in, truth out...Hahaha vya ulevi achana navyo 🤣
Wewe mkurya unakariri😅Wine in, truth out...
Na ujipambanie ufike umependeza uko sexy halafu ajisifie demu wangu kashasoma torati zangu sio maskini haombi Hela hovyo.Bwana anataka ujipambanie mpaka nauli baadaye aanze kukutangaza uko cheap ukiitwa unapeleka uke tu🚮
Huu ni ukweli kabisa.acha tumkele tu na thread yakeNafikiri mada za hivi huwa zinawekwa kwa sababu ya kuwa na wadau wengi tu ila kihalisia watu wana honga kimya kimya na watu wanaohonga mpaka tone la mwisho huwa na tabia ya kulalamika sana 😆
Vijana ndio mnagundua sasa hivi. Ni jambo la kawaida katika maisha uamuzi ni wako upokee zawadi na baadae utoe mara mbili au tusitoe. There's no free lunch for men. Kila kitu tunanunua na sisi ni fursa kwa wanawake. Hakikisha hata kama utalipa mara mbili basi malipo yatoke kwenye pesa yako ya ziada.Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha.
Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi maarufu kwao ya soksi na vest au boksa kama atajiongeza sana basi jua, gharama ya kununua vitu hivyo atairudisha kwake na faida juu.
Jua siku za hapo karibu au kama hana aibu siku hiyo hiyo aliyokupa zawadi atatengeneza tukio la kukuomba pesa kubwa zaidi ya gharama zake alizotumia kukununulia zawadi, kama katumia 20000 anaweza kuomba Elfu, 30, 40 au 50 kabisa na wewe kwa sababu ya furaha ya zawadi ukampa usijue kakuuzia zawadi kwa gharama mara 2 au 3 ya gharama aliyonunulia.
Wanawake ni wajanja sana, wanajua kucheza na ufahamu wa wanaume waweze kula fedha zao.
Kwani si kweli, mara nyingi inakua ni mtego, wadada wachache ndo zawadi zao zinatoka moyoni, wengi wanapigia hesabu ya hela uliowahi kumpa, kama tangu umjue ushawahi mpa elf 60, atatafta zawadi ya tsh elf 25 au elf 10..bajeti ya hela ya zawadi atakayokupa inatoka kwenye hela ile ile uliowahi kumhonga win-onendo ushangae,, mtu anampa zawadi kwa upendo ila ye anawaza ni mtego
We hiyo zamani ulikuwepo?Wanaume wa sikuhizi sijui wamepigwa sindano gani! Hawako kama wanaume wa zamani aisee! Wana chembe chembe fulani hivi za ajabu ajabu tu!
You are wise….Vijana ndio mnagundua sasa hivi. Ni jambo la kawaida katika maisha uamuzi ni wako upokee zawadi na baadae utoe mara mbili au tusitoe. There's no free lunch for men. Kila kitu tunanunua na sisi ni fursa kwa wanawake. Hakikisha hata kama utalipa mara mbili basi malipo yatoke kwenye pesa yako ya ziada.