Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

Kwani si kweli, mara nyingi inakua ni mtego, wadada wachache ndo zawadi zao zinatoka moyoni, wengi wanapigia hesabu ya hela uliowahi kumpa, kama tangu umjue ushawahi mpa elf 60, atatafta zawadi ya tsh elf 25 au elf 10..bajeti ya hela ya zawadi atakayokupa inatoka kwenye hela ile ile uliowahi kumhonga win-one
ujue kitu unavyo kifikiria ndo kitakuja hivyo hivyo,,, yawezekana bby wako ni miongoni mwa hao wadada wanaotoa zawadi kutoka moyoni,,, na ushukuru hata huyo anaekununulia zawadi kwenye pesa ulompa maana mmegawana hajaifaidi pekeake kijana
 
You are wise….

I will teach my son this, ziada.
Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.

Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
 
na ushukuru hata huyo anaekununulia zawadi kwenye pesa ulompa maana mmegawana hajaifaidi pekeake kijana
Sasa iyo sio zawadi, hiyo ni biashara, naamini zawadi inatakiwa itoke toka kwenye moyo wenye nia safi..from a part of thoughtfulness kwamba aah I like this shoe, hope my partner ataipenda ngoja nimpelekee, sio uwaze huyu ashawahi kunipa elf 30 kwenye hela yake ngoja nimpelekee kitu cha kaki, iyo si zawadi ni biashara na manipulation win-one
 
sasa baliq biashara ipo wapi hapo? hivi mimi nmekuletea saa bila wew kuomba wala kutegemea kama nitakuletea ndo mnaita biashara eeh
 
Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.

Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
Watakwama! Unipe ef 10 nikupe ef 7 utakuwa umenipa eft 3 ambayo ni matusi kwangu!
 
Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.

Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
Afu we umebadilika sana, umepata mpenzi anakupenda nini siku hizi 😅

Anyways iko hivi, reciprocation ni muhimu kwenye kila kitu… ila sio hii vijana wanayoidai.

Lakini pia kuna wanawake wenzetu wanafanya vingi sana kwa wanaume kiasi kwamba wanaume wengine wanaona walionao hawafanyi lolote, Bila kujua kuna kitu kinaitwa riziki/ deserving… Malalamiko mengi yanatokaga from a place of comparison bila kujua wewe individually una deserve nini. I hope this helps

Nachoona mimi ni imbalance katika jamii likija suala la mahusiano. Nani hajulikani afanye nini, nani hajulikani afanye nini.
 
Mkome!🤣🤣🤣
Mtakoma nyie sisi zama zetu zimepita, nyakati zetu kugongeana haikua kama saivi na hata ukigongewa inakua siri ya ndani, kwa kiasi flan mapenzi yalikua na ladha yake wanawake wapo real, unakaziwa mwaka mzima siku ukipewa unakuta mali piruuuu unaizindua unamfundisha kuanzia denda mpaka kuikalia.
 
Khaaa! Nimeishiwa maneno mkuu🫢

Kwahiyo we ndio unamfundisha mpaka kuikalia? Sikuhizi ukiend ahujui kitu unaonekana mzigo aisee!😬
Siku hizi ukigongewa unakuta sledi zako mtu anajisifia zake humu🥴
 
Afu we umebadilika sana, umepata mpenzi anakupenda nini siku hizi 😅

Anyways iko hivi, reciprocation ni muhimu kwenye kila kitu… ila sio hii vijana wanayoidai.

Lakini pia kuna wanawake wenzetu wanafanya vingi sana kwa wanaume kiasi kwamba wanaume wengine wanaona walionao hawafanyi lolote, Bila kujua kuna kitu kinaitwa riziki/ deserving… Malalamiko mengi yanatokaga from a place of comparison bila kujua wewe individually una deserve nini. I hope this helps

Nachoona mimi ni imbalance katika jamii likija suala la mahusiano. Nani hajulikani afanye nini, nani hajulikani afanye nini.
Hahaha haya bana binti kiziwi
 
Back
Top Bottom