AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
BoyaMaparagraph yote haya kisa kupigwa ef20😤
BoyaMaparagraph yote haya kisa kupigwa ef20😤
BoyaHawa mademu wa kizazi cha mkapq ni wezi sn
Wanapenda ndevuWhat went wrong.. manhood, masculine, boldness imekua Compromised.. Ndo nasema wale wanaume waliokua wanaenda vitani walibaki huko huko wote? tumebakishiwa nyie? Wanaume sikuhizi wamekua depressed na vitu vya kijinga sana 🤣🤣🤣
Eti soksi, kaazi kweli🤦🏽♀️What went wrong.. manhood, masculine, boldness imekua Compromised.. Ndo nasema wale wanaume waliokua wanaenda vitani walibaki huko huko wote? tumebakishiwa nyie? Wanaume sikuhizi wamekua depressed na vitu vya kijinga sana 🤣🤣🤣
Nani sasa mimi au mleta mada?Boya
Heri tuu ndoa za jinsia moja zianzishwe tuepukane na haya majambazi ya kike.Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha.
Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi maarufu kwao ya soksi na vest au boksa kama atajiongeza sana basi jua, gharama ya kununua vitu hivyo atairudisha kwake na faida juu.
Jua siku za hapo karibu au kama hana aibu siku hiyo hiyo aliyokupa zawadi atatengeneza tukio la kukuomba pesa kubwa zaidi ya gharama zake alizotumia kukununulia zawadi, kama katumia 20000 anaweza kuomba Elfu, 30, 40 au 50 kabisa na wewe kwa sababu ya furaha ya zawadi ukampa usijue kakuuzia zawadi kwa gharama mara 2 au 3 ya gharama aliyonunulia.
Wanawake ni wajanja sana, wanajua kucheza na ufahamu wa wanaume waweze kula fedha zao.
Unapenda ndevu au unapenda hela? Kumbuka ndevu haziondoi nyegeNani sasa mimi au mleta mada?
Pesa pesa pesa….✍🏽Unapenda ndevu au unapenda hela? Kumbuka ndevu haziondoi nyege
Provider hio kwio, asiefanya kazi na asile, Sasa wewe tegemea kupewa tuu utakufa njaaAikooo..These days dudes be talking straight dumb shit..like fr, it's nonsense, as a man u gotta know first and foremost JD zako hapa Dunia ni kuwa provider.. wale wanaume waliokuwa wanaenda vitani wako wapi, 🫠🫠
Pesa haziondoi nyege piaPesa pesa pesa….✍🏽
Na roboDuh hatari sana na noma na nusu
Wewe zamani ulikuwepo?????? Fanya kazi asiefanya kazi na asile, na mwanamke asie na akili sehem zake za Siri huumia.Wanaume wa sikuhizi sijui wamepigwa sindano gani! Hawako kama wanaume wa zamani aisee! Wana chembe chembe fulani hivi za ajabu ajabu tu!
Naweza kujiondolea mwenyewe!Pesa haziondoi nyege pia
Inasikitisha sana 😃Mwenzenu ndio huyo baba kulialia😃
Duu kwa hiyo na ndevu zote hizo ulizonazo unataka nawewe uoleweHeri tuu ndoa za jinsia moja zianzishwe tuepukane na haya majambazi ya kike.
Wanawake wote washakuwa majini, mashetwani, hayakamatiki
Heri hata mashoga wana utu na hawana tamaa za kipumbavu kama wanawake.
Acha miwanawake ioane yenyewe Kwa yenyewe ikomeshane huko ichunane pesa zao huko huko yenyewe.
Na sisi wanaume tuishi kivyetu
We mbwa koma kuniquote tena ukomeee leo!! Shenz wewe!!Wewe zamani ulikuwepo?????? Fanya kazi asiefanya kazi na asile, na mwanamke asie na akili sehem zake za Siri huumia.
Msitegemee wanaume, hata hao mnao wategemea kama wanaume zenu na wao Wana mabwana zao wanaliwa kama ninyi.
***** hilo la siku nyingi usisumbuke nalo!Duu kwa hiyo na ndevu zote hizo ulizonazo unataka nawewe uolewe