Kijana wangu Mbaga Jr tafuta gheto lako mshangaz haukutaki tena😂
View: https://www.instagram.com/reel/DV-07OhDR8C/?igsh=bHlsbDdpM2hyYzZp
Kuhusu nyeto n till I die
Mshangazi hujali kam haujafunika kidude chako yeye yuko busy na fundi tu🤣Dah siku sio nyingi nakuwa mtoto wa mtaani 😂
Ana dharau nyingi sana anataka watu waone Utamu wake ninaoumilikiMshangazi hujali kam haujafunika kidude chako yeye yuko busy na fundi tu🤣
Dharau gani wewe bana mwanamke kashajipata hapo, we ni takataka tu kwake na ukisepa analetwa mwingine😂Ana dharau nyingi sana anataka watu waone Utamu wake ninaoumiliki
Yah! Wacha nikujaribu kwenye hii holiday ijayo kisha nione Kipenzi Changu. 😀Shadeeya unaweza kunijaribu na hii principle, uone kam utapata mara 2
🤣🤣Maparagraph yote haya kisa kupigwa ef20😤
Anahofia ataombwa mara mbili eti. 🤣🤣Siku hizi vijana wamekuaje???
Nakumbuka miaka hiyo tulikuwa tunatongwa na bahasha. Unapewa bahasha ndani Ina laki na namba ya simu.
Sasa hapa zawadi upewe wewe na kulalamika wewe aisee.
Ubavu wa kukataa zawadi ya mwanamke unatoka wapi!!! Majukumu tu ndo hayatakiAnahofia ataombwa mara mbili eti. 🤣🤣
Nawaza sa si angeikataa.
Wanataka tushindane sasa watoto wa 2000 wamegoma!!!!!Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.
Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
Milio mingi huduma hakuna..... Dawa kidogo ya kumtuliza mwanamke duniani ni sapampa na matunzo. Inabidi jando lirudi liokoe jahaziNa ukimcheat anabaki kushangaa, sijui wanashangaaga nini😃
Dah em ngoja nikapige nyeto kwanzaDharau gani wewe bana mwanamke kashajipata hapo, we ni takataka tu kwake na ukisepa analetwa mwingine😂
Mwenzenu ndio huyo baba kulialia😃Hata Eden zawadi ya tunda kutoka kwa mwanamke ilileta madhara, ila sisi wanaume ni provider tuache kulalamika hata hainogi eti mwanamke ananihonga 😁🤌
Wana vitu vingi sana vya kujifunza, hii generation lialia si mchezo!Milio mingi huduma hakuna..... Dawa kidogo ya kumtuliza mwanamke duniani ni sapampa na matunzo. Inabidi jando lirudi liokoe jahazi
Hufanya hivyo kwa wanaume maboya tu sio wale wanaume waliowafia real for real, hii nimeshuhudia kuna manzi wewe anaweza akawa anakukubari kinyama hakufanyii mizinguo ila kuna mabaazazi na madunya yanayomuwinda anayafanyia unyambilisi wa hatari hakunaWanawake ni wajanja sana, wanajua kucheza na ufahamu wa wanaume waweze kula fedha zao.
What went wrong.. manhood, masculine, boldness imekua Compromised.. Ndo nasema wale wanaume waliokua wanaenda vitani walibaki huko huko wote? tumebakishiwa nyie? Wanaume sikuhizi wamekua depressed na vitu vya kijinga sana 🤣🤣🤣Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.
Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P